Ukitaka
kujisikia raha kwenye mashamsham ya godoro, lazima ujue mengi. Mapenzi
ni matamu sana iwapo unakutana na mwenzio mwenye kujua mapenzi, nasema
hivyo kwasababu kumekuwa na malalamiko ya wanawake na wanaume
wakilalamika kutoyafurahia mapenzi ya wapenzi wao. Kwanini usiyafurahie...
Kufuatia
tangazo la kazi lililotolewa na Kamishna Mkuu wa Uhamiaji la tarehe 14
na 17 Februari, 2014 kwenye magazeti ya Habari Leo, Mtanzania na Daily
news; kuhusu kujaza nafasi ya Mkaguzi Msaidizi wa Uhamiaji,Katibu
Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi anawatangazia waombaji...
Makundi mengi ya vijana ndani ya mtandao wa facebook yamekuwa na imani kuwa msanii Rehema Chamila anaweza kuwa mtetezi wao mkubwaendapo ataamua kuingia kwenye ...
UBABE! Tofauti na inavyoaminika na wengi kuwa mfumaniwaji huwa mpole,
kibao kimebadilika, mfanyakazi wa ndani aliyejulikana kwa jina la
Niachie amegeuka mbogo na kumchoma bisibisi bosi wake, Amina ‘Mama Zai’
aliyemfumania akiwa na mumewe aitwaye...
TANGAZO
JESHI LA KUJENGA TAIFA LINAWATANGAZIA VIJANA WANAOJIUNGA NA JKT KWA
MUJIBU WA SHERIA AWAMU YA KWANZA JUNI 2014 KURIPOTI MAKAMBI
WALIYOPANGIWA HARAKA IWEZEKANAVYO KWANI MAFUNZO YATAANZA RASMI TAREHE 09
JUNI 2014.
AIDHA, LINAKANUSHA TAARIFA ZINAZOSAMBAZWA KWA KUTUMIA UJUMBE MFUPI WA
MANENO...
Promoter DMK,Diamond Platnumz,Kevin Liles,Raisi Kikwete.
Hivi
Majuzi wakati Tour ya Diamond ilipokuwa New York,Ma Promoter wake pamoja
na Yeye mwenyewe walikaribishwa na Mheshimiwa Raisi ambapo mbali na
mambo mengine Mheshimiwa alimpongeza Diamond katika mafanikio yake ikiwa
nipamoja na Kuchaguliwa...
zikiwa zimebaki siku hache kuelkea kombe la dunia nchini brazil ,ifuaayo ni ratiba nzima ya kombe hilo.
TeamsMPWDLGFGAPts
Brazil
0000000
Croatia
0000000
Mexico
0000000
Cameroon
0000000
...
Kuhusiana
na hizi picha 2 zilizoenea kwenye mitandao ya kijamii kuanzia asubuhi
ya leo, zikimuonyesha Mheshimiwa Mbunge huyo wa CCM Kapteni John Komba
akiwa kwenye mahaba na Mwanadada mmoja anayeishi Kinondoni. Mbunge
huyo amesema kwamba picha hizi zimetengenezwa na maadui...
Idara ya
Uhamiaji nchini Tanzania imegundua maficho ya wasichana waliosafirishwa
kutoka nchi za India na Nepal mjini Dar es Salaam ambao wanatumikishwa
katika biashara zisizo halali katika maeneo mbalimbali jijini humo...
Wabunge
wanawake bila kujali itikadi za vyama juzi usiku waliungana kuibana
Serikali wakishinikiza iongeze fedha za Bajeti ya Wizara ya Afya na
Ustawi wa Jamii ya mwaka 2014/15 ili kukabiliana na vifo vya kina mama
na watoto...