Kambi
Rasmi ya Upinzani Bungeni jana ilimlipua mbunge kutoka kambi yao, Zitto
Kabwe ikimhusisha na ufisadi wa Sh119 milioni kutoka Shirika la Taifa la
Hifadhi ya Jamii (NSSF) na Shirika la Hifadhi za Taifa (Tanapa).
Hii ni
mara ya kwanza kwa kambi ya upinzani kumhusiaha mbunge 'mwenzao' na
tuhuma za ufisadi tofauti na kawaida yao ya 'kuwashughulikia' ubadhirifu
katika Serikali.
Spika wa
Bunge, Anne Makinda amesema muda wa Bunge utaongezwa ili kutoa nafasi
kwa serikali kuwasilisha Muswada wa Marekebisho ya Sheria ya Kodi ya
Mapato (VAT).
Haya
niliyapata kutoka kwa mshauri wa masuala ya mahusiano, ndoa na vijana
Frederick Kyara. Hizi ni baadhi tu nakuwekea hapa japo kuna vitu pia
wanawake hawavipendi kutoka kwa wenzi wao wanaume.Nayo ni haya hapa, ungana nami kujadili jambo hili ambalo kwangu nimeona ni changamoto au niseme sikujua.
1. Wanaume hawapendi kuambiwa cha kufanya na wenzi waoMwanamke
unapotaka mwanaume afanye jambo usimwambie alifanye bali fanya kama una
mpa ushauri. Kwamba John hivi kwa nini tusiweke balbu hapa kwenye
korido maana kuna giza kweli. Badala ya hivi wewe John huoni hapa kwenye
korido kuna giza balbu imeungua mwezi sasa hujabadilisha kwa nini? Weka
balbu bwana. Atafanya au asifanye kabisa kwa sababu umemwambia cha
kufanya.
2. Wanaume hawapendi mwenzi mwenye makelele, mlalamishiYeye
ni kulalamika kuanzia Jumatatu hadi Jumapili. Japo wanawake nao
wanasema kuna wanaume walalamishii balaaa. Na wenye gubu wanasusa kula
mpaka kuongea wanawanunia wake zao mmmmh!
Msanii
kutoka Tanzania House of Talent Msami Giovanni ambaye kwa wakati huuana
hit na ngoma yake ya Sound Track kwa wakati huu inasemekana eti yuko
katika dimbwi zito la mahaba na muigizaji maarufu wa Bongo Movie Irene
Uwoya
Kupitia You heard ya XXL Clouds FM ilikua ni stori kuhusu
uhusiano wa Msami wa THT na mwigizaji toka Bongo Movie Irene Uwoya na
jana alisikika Msami ambaye alikanusha uhusiano lakini mpenzi wake
Rehema aliweka wazi kuwa ni kweli Msami ana uhusiano wa kimapenzi na
Irene Uwoya. Sasa
May 29 2014 ishu hii imeendela ambapo katafutwa Irene Uwoya na kuulizwa
na Soudy Brown kama ni kweli ana uhusiano wa kimapenzi na Msami na
swali la kwanza lilitaka kujua uhusiano wao umekuepo toka lini? Irene Uwoya: ‘Siku nyingi’ Soudy Brown: Msami kama namuona, unampa huduma zote? Irene Uwoya: ‘Sanaaa kila kitu’ Soudy Brown: Uhusiano wenu utadumu au ndio kama wa Ndikumana? Irene Uwoya: ‘Yakudumu kwa sababu nampenda’. Soudy brown alimpa Irene taarifa kuwa mpenzi wa zamani wa Msami
amekasirika kwa sababu Irene kaingilia mapenzi yao jibu kutoka kwa Irene
likawa >>> ‘hiyo haijalishi kwa sababu nampenda’
Nasikitika kwamba katika hali niliyonayo ya kumwuguza mama yangu naingizwa kwenye siasa za majitaka.
Kampuni ya LekaDutigite inamilikiwa na
wasanii. Gombe Advisors ni kampuni isiyofanya faida (Company limited by
guarantee) na haina maslahi yeyote ya kibiashara.
AMA kweli
dunia ina mambo na mambo yenyewe ndiyo haya! Katika hali ya kushangaza,
mwanaume aliyefahamika kwa jina la Ramadhan Ally, mkazi wa Kata ya
Mbuyuni Manispaa ya Morogoro amewashangaza wengi kufuatia uamuzi wake wa
kukodi ngoma ya asili kwa lengo la kwenda kumfumania mkewe
aliyejulikana kwa jina moja la Asha.
Mwanadada aliyetambulika kwa jina la Asha baada ya kufumaniwa akisindikizwa na ngoma.
Tukio
hilo lililofunga mtaa lilijiri asubuhi ya saa 3:14 Jumatatu iliyopita
eneo maarufu kwa jina la Sultani baada ya mwanaume huyo kutonywa kuwa,
mke wake alikuwa amelala kwa rafiki yake kipenzi, Abdallah Elias.
Baadhi
ya wananchi waliobahatika kuwasili katika eneo la tukio walishuhudia
mwenye mali akiwashushia kichapo kikali ‘wasaliti’ hao ambapo vurugu
zikapamba moto.
KHAA! Katika hali ya kushangaza, dada wa
kazi za nyumbani (hausigeli) mkazi wa Tabata jijini Dar aliyetambulika
kwa jina moja la Aneth, amejikuta kwenye wakati mgumu baada ya kudai
kuwa bosi wake ambaye ni Mzungu amemlazimisha kufanya mapenzi na mbwa
wake.
Mapolisi wakiwa wametinga nyumbani kwa mzungu na silaha. Kushoto ni hausigeli.
Mzungu huyo ambaye jina tunalihifadhi,
alidaiwa kufanya tukio hilo la kinyama Mei 26, mwaka huu na inadaiwa
Aneth alipomkatalia, alimtimua nyumbani hapo kwa kumtupia virago.
MSANII wa filamu Bongo, Elizaberth
Michael ‘Lulu’ hivi karibuni aliwashangaza watu baada ya kuvukwa na
gauni alilokuwa amevaa na kulazimika kutembea huku sehemu kubwa ya kifua
chake ikiwa wazi. Tukio hilo lilitokea hivi karibuni katika kiwanja
kimoja kichopo mjini Arusha ambapo mmoja wa watu aliyemtia machoni Lulu
aliyeomba hifadhi ya jina lake alisema:
Msanii wa filamu Bongo, Elizaberth Michael ‘Lulu’.
MAJANGA! Mwenyekiti wa Klabu ya Bongo
Movie, Steven Mengere ‘Steve Nyerere’ na muigizaji Adam Haji ‘Baba Haji’
nusura wazichape baada ya kupishana kauli.
Mwenyekiti wa Bongo Muvi, 'Steve Nyerere' (aliyeshika chupa ya maji) akilia kwa uchungu katika msiba wa Recho.
‘Uwanja wa vita’ ulikuwa ni kwenye msiba
wa mwigizaji mwenzao Sheila Haule ‘Recho’, Sinza-Palestina, jijini Dar
ambapo chanzo kilishuhudia mtiti huo, kilidai tatizo liliibuka mara
baada ya Steve Nyerere kumchimba mkwara Baba Haji asijiweke karibu na
Jacob Steven ‘JB’.
KIFO cha msanii wa filamu, Rachel Haule
kimewaumiza wengi lakini baadhi yao ni wasanii wenzake, Halima Yahaya
‘Davina’ aliyeachiwa hausigeli wa marehemu katika mazingira ya ajabu
huku Wastara Juma akiumizwa na viatu na pochi alivyopewa na Rachel kabla
hajafariki dunia.
Msaniii wa Bongo Movie Halima Yahaya ‘Davina’ akiwa na simanzi kubwa.
Akizungumza na Ijumaa juzi, Davina
alisema alihangaika sana kumtafutia Rachel hausigeli ili atakapojifungua
asipate shida lakini siku moja kabla ya kifo, alipompigia simu akitaka
ampelekee mtu wake simu haikupokelewa hadi alipopata taarifa za kifo.
NJAA NJAA NJAA"HAYA NI MANENO YA WANAFUNZI SUA-MARA NILIPOONANA NAO" HUKU WENGINE WAKISEMA TUMECHOKA NA PASI NDEFU,WENGINE PIA WAKISEMA MAISHA MAGUMU. HUKU WENGINE WAKISEMA "NITAWEZAJE KULA KWA FOLENI PECAM?",NA MWINGINE AKISEMA NITATUMIA MOZILA FIRE FOX HADI LINI???
WANAFUNZI WA CHUO KIKUU CHA KILIMO SOKOINE KILICHOPO MJINI MOROGORO WANAISHI KATIKA MAZINGIRA MAGUMU KUTOKANA NA KUTOKUWA NA PESA YA CHAKULA.
WAKIZUNGUMZA KWA NYAKATI TOFAUTI BAADHI YA WANAFUNZI WA CAMPUS YA MAZIMBU NA MAIN WAMESEMA KUWA HADI SASA HAWAJUI HATIMA YAO NI NINI KUTOKANA NA KUTOKUWA NA HATA SENTI TANO YA KULA HUKU WAKIENDELEA KUMUOMBA MUNGU KILA SIKU WAAMKE VIZURI.
Tulieleza
jinsi wabunge 55 walivyotaka kuirudisha Serikali ya Tanganyika na jinsi
baadhi yao ‘walivyonyamazishwa’ kwa kupewa uwaziri na Mwalimu Julius
Nyerere alivyozima hoja.
BAADHI
ya viongozi wa dini nchini wamesema kwamba Watanzania wengi wamekuwa na
imani na mambo ya kishirikina wakiamini kuwa wanaweza kubadili maisha
kwa njia ya kuwa wanachama wa Imani ya Freemason badala ya kutumia akili
huku wakiweka imani kwa Mungu.
LILE
penzi la msanii wa filamu na mtangazaji, Lulu Mathias na mchezaji mpira
wa zamani, Amani limesambaratika baada ya hivi karibuni mwanaume huyo
kuondoka na kilicho chake huku akimwacha mwanadada huyo ndani ya nyumba
peke yake.