Monday, 24 November 2025

SERIKALI YAWAHAKIKISHIA WANANCHI USALAMA IFIKAPO DISEMBA 9

...


Na Mwandishi Maalum, Dar

Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Msemaji wake mkuu Gerson Msigwa imesema kuwa inatambua uwepo wa fununu kuhusu Maandamano yanayotajwa kufanyika Disemba 9.2025

Msigwa amesema hayo leo Novemba 23.2025 Jijini Dar es salaam alipokuwa katika Mkutano wake na Waandishi wa Habari

Aidha amesisitiza kuwa Serikali imejapanga kama ilivyokawaida siku zote kuhakikisha siku hiyo pia usalama utakuwepo pia endapo vitatokea viashiria vya Vurugu mbalimbali ipo kuwalinda Watanzania na mali zao


Share:

0 comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger