Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Angela Kairuki akizungumza wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa pili wa baraza la Wafanyakazi la Tume ya Utumishi wa Walimu (TSC) kwa mwaka 2022/23 na Uzinduzi wa Mfumo wa Kielektoniki wa Tume (TSCMIS). Uzinduzi huo umefanyika leo Machi 16,2023 katika Ukumbi wa Matokeo wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi jijini Dodoma.
Sehemu ya Wajumbe wa Baraza la Wafanakazi ala Tume ya Utumishi wa Walimu (TSC) wakimsikiliza Waziri Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Angela Kairuki alipokua akifungua baraza hilo leo.
Mwenyekiti wa Tume ya utumishi wa Walimu Tanzania (TSC), Prof. Willy Lazaro Komba akizungumza wakati wa uzinduzi wa Mkutano wa pili wa baraza la Wafanyakazi la Tume hiyo kwa mwaka 2022/23 na Uzinduzi wa Mfumo wa Kielektoniki wa Tume (TSCMIS).
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Angela Kairuki akibonyeza kitufe kuzindua rasmi Mfumo wa Kielektoniki wa Tume (TSCMIS). Uzinduzi huo umefanyika leo Machi 16,2023 katika Ukumbi wa Matokeo wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi jijini Dodoma. Waziri Kairuki aliwataka kuutumia kikamilifu mfumo huo ili ukalete ufanisi na kurahisisha utendaji wa kazi kama ulivyokusudiwa huku akiagiza uwe unaboreshwa mara kwa mara kuendana na mahitaji.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Angela Kairuki akibonyeza kitufe kuzindua rasmi Mfumo wa Kielektoniki wa Tume (TSCMIS). pamoja na viongozi wengine wa Tume ya Utumishi wa Walimu wakifurahia uzinduzi huo wa mfumo uliofanyika leo Machi 16,2023 katika Ukumbi wa Matokeo wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi jijini Dodoma.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Angela Kairuki akikabidhi zawadi kwa watumishi wa staafu wa TSC.
0 comments:
Post a Comment