Monday, 15 February 2021

Video : NYANDA MADIRISHA WABHADO 'MALIGANYA' - HELA YABHULAGA BHUDUGU

...

Malunde1 blog inakualika kutazama video mpya ya Msanii wa Nyimbo za Asili Nyanda Madirisha Wabhado "Nyanda Maliganya' huyu pia ni mdogo wake na marehemu Msanii Nyanda Madirisha aliyefariki mwezi Agosti mwaka 2016 wakati akijiandaa kufanya show mkoani Simiyu.


Baada ya kifo cha Nyanda Madirisha 'The Super Star' ,wadogo zake ambao ni Nyanda Maliganya na Nyanda Nchaina waliamua kurithi mitindo ya uimbaji wa kaka yao Nyanda Madirisha.
Tazama hapa chini Video hii ya Nyanda Maliganya 'Nyanda Madirisha Wabhado' inaitwa Hela Yabhulaga Bhudugu imetengenezwa Asili yetu Africa Studio.
Share:

Related Posts:

0 comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © 2025 MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger