Mhasibu wa Manispaa ya Shinyanga Seif Hamad Mande amefariki dunia leo jioni Alhamisi 18,2021 wakati akiendelea kupatiwa matibabu katika hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Shinyanga baada ya kuugua kwa muda mrefu.
Meya wa Manispaa ya Shinyanga David Nkulila amethibitisha taarifa za kifo cha Seif Hamad Mande akieleza kuwa alikuwa ameugua kwa muda mrefu.
Taarifa zaidi tutawaletea.
0 comments:
Post a Comment