Thursday, 10 September 2020

MGOMBEA MWENZA URAIS CCM SAMIA SULUHU AWASALIMIA WANANCHI WA MCHINGA AKIELEKEA MTWARA

...
Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ambaye pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Wanachama wa Chama cha Mapinduzi na Wananchi wa Mchinga Mkoani Lindi alipokuwa njiani kuelekea Mkoani Mtwara kwa ajili ya mikutano ya Kampeni za Chama cha Mapinduzi CCM leo Septemba 09,2020.
Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Wanachama wa Chama cha Mapinduzi na Wananchi wa Mchinga Mkoani Lindi alipokuwa njiani kuelekea Mkoani Mtwara kwa ajili ya mikutano ya Kampeni za Chama cha Mapinduzi CCM leo Septemba 09,2020.
Share:

Related Posts:

0 comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © 2025 MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger