Friday, 31 July 2020

MWANAMKE AFIKISHWA MAHAKAMANI KWA KUWANYANYASA KINGONO WATOTO 7 WA KIKE

Mwanamke mmoja anayefahamika kwa jina la Irene James mwenye umri wa miaka 36 amefikishwa mahakama ya hakimu mkazi Tabora akituhumiwa kuwafanyia unyanyasaji wa kingono Watoto saba wa kike  jirani zake wenye umri kati ya miaka 4 hadi 7 kwa kuwaingizia vidole sehemu za siri. Akisoma maelezo ya...
Share:

SWALA YA EID AL - ADHA YAFANYIKA MSIKITI WA TAWQWA KIOMBOI SINGIDA...WATANZANIA WASISITIZWA AMANI KIPINDI HIKI CHA UCHAGUZI

Na Ismaily Luhamba,Singida. Waislam mkoani Singida leo wameungana na Waislam wenzao Duniani kutimiza Nguzo ya Tano ya Uislamu ya Sala ya Eid Al Adha ambapo swala hiyo mkoani Singida imefanyika kimkoa Wilayani Iramba kwenye Msikiti wa Tawqwa mjini Kiomboi. Swala hiyo iliongozwa na Kadhi wa mkoa,...
Share:

Video Mpya : NYANDA MAYEBELE - DUNIA

Msanii wa Nyimbo za Asili Nyanda Mayebele anakualika Kutazama Video ya Wimbo wake Mpya unaitwa Dunia. Tazama Hapa chin...
Share:

RAIS MSTAAFU DKT JAKAYA KIKWETE AONGOZA SWALA YA EID EL-ADHA KIMKOA LINDI

Rais Mstaafu wa awamu ya nne Dkt. Jakaya Kikwete ameongoza mamia ya waumini wa dini ya Kiislam katika swala ya Eid Al-Adha Kimkoa iliyoswaliwa leo katika uwanja wa Ilulu Lindi mjini. Dkt Kikwete ameongozana na mke wake Mama Salma Kikwete. ...
Share:

Picha: SWALA YA EID EL - ADHA YAFANYA UWANJA WA SABASABA SHINYANGA MJINI...SHEIKH BALISUSA ATAKA AMANI ITAWALE UCHAGUZI MKUU

Na Marco Maduhu - Shinyanga Shekh Balilusa Khamisi wa mjini Shinyanga, amewataka viongozi wa vyama mbalimbali vya kisiasa hapa nchini pamoja na wanachama wao, kudumisha amani katika uchaguzi mkuu, utakaofanyika Oktoba mwaka huu wa kuchagua madiwani, wabunge na Rais. Amebainisha hayo leo mara baada...
Share:

Magereza Yaruhusu Wananchi Kuanza Kutembelea Wafungwa

Na.Faustine Gimu Galafoni,Dodoma. kufuatia kupungua kwa maambukizi ya virusi vya COVID 19 Jeshi la Magereza nchini limefuta masharti ya katazo la huduma ya kuwatembelea wafungwa na mahabusu na huduma mbalimbali katika magereza ikiwamo huduma ya chakula kwa mahabusu. Akizungumza na waandishi wa habari...
Share:

Jeshi La Polisi Dar Lauwa Majambazi Watatu

JESHI la Polisi  Kanda Maalum  Dar es Salaam limewaua majambazi watatu na kukamata silaha mbili aina ya Short Gun Pump Action na Bastola aina ya Browning. Mnamo tarehe 26.07.2020 majira ya saa mbili usiku  Jeshi la Polisi Kanda Maalum lilipata taarifa kuwa huko maeneo ya Mbagala Chamanzi...
Share:

Boti yazama Ziwa Tanganyika, yaua 10

Watu kumi wamekufa maji na wengine themanini na saba wameokolewa baada ya boti kuzama katika ziwa Tangayika. Kamanda wa polisi mkoa wa Kigoma, – James Manyama amethibitisha kutokea kwa ajali hiyo katika  kijiji cha Rufugu wilayani Uvinza na kusema kuwa chanzo cha ajali hiyo ni dhoruba iliyotokana ...
Share:

Waziri Simbachawene Aitaka Polisi Kukaa Mguu Sawa Uchaguzi Mkuu, Aipongeza Rufiji Kusambaratisha Wahalifu

Na Mwandishi Wetu, MOHA, Rufiji. WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene amelitaka Jeshi la Polisi kudhibiti vurugu zozote au uvunjifu wa sheria hasa katika kipindi hiki nchi inapoelekea katika uchaguzi mkuu. Amewataka muda wote wawe tayari kwa kujipange vizuri na pia intelejensia...
Share:

Taarifa Ya Jeshi La Polisi Mkoa Wa Mbeya

KUPATIKANA NA SILAHA [GOBOLE] BILA KIBALI. Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linamshikilia AMANI MPINDULE [68] Mkazi wa Lualaje kwa tuhuma za kumiliki silaha bunduki aina ya Gobole bila kuwa na kibali. Mtuhumiwa alikamatwa mnamo tarehe 25.07.2020 majira ya saa 15:00 Alasiri huko katika Hifadhi ya...
Share:

Takukuru Manyara wamnasa Alute kwa kufanya biashara ya Mikopo Kitapeli akitumia jina la Halmashauri.

Na John Walter-Babati Taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa  (TAKUKURU) mkoa wa Manyara inamshikilia mfanyabiashara Japhet Samwel Alute kwa kukwepa kulipa kodi ya serikali na kufanya biashara bila kuwa na leseni. Mkuu wa Takukuru mkoani hapa Holle Makungu amesema kuwa mtu huyo pia anatoa...
Share:

BOTI YAUA WATU 10 KUJERUHI 100 BAADA YA KUGONGA MWAMBA ZIWA TANGANYIKA

Ziwa Tanganyika Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kigoma ACP James Manyama, amesema kuwa watu 10 wamefariki dunia huku wengine 100 wakiokolewa, baada ya Boti iliyokuwa ikitokea maeneo ya Sibosa kupigwa na dhoruba kisha kugonga mwamba na kupasuka ndani ya Ziwa Tanganyika. Kamanda Manyama ametoa taarifa...
Share:

FULL POWER, ZATI 50 NI KIBOKO YA TATIZO LA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME NA UUME MDOGO

Zati 50 Full Power Sababu za upungufu wa nguvu za kiume na maumbile madogo ya uume: ⇒Ngiri, ⇒Henia ⇒Kisukari ⇒Tumbo kujaa gesi ⇒Kutopata choo vizuri ⇒Utumiaji madawa kwa muda mrefu ⇒Unywaji wa pombe kupita kiasi ⇒Msongo wa mawazo  ⇮⇒Haya yote hupelekea mwili kutokuzalisha homoni...
Share:

AJALI YA BOTI ZIWA TANGANYIKA YAUA WATU 10

Na Mwajabu Kigaza, Kigoma WATU 10 wamekufa kutokana na ajali ya boti iliyozama katika Ziwa Tanganyika kwenye eneo la kambi ya wavuvi makakara Kijiji cha Rufugu wilaya ya Uvinza Mkoani Kigoma. Kamanda wa polisi mkoani Kigoma ACP, James Manyama alithibitisha kutokea kwa tukio hilo. Akizungumza kwa...
Share:

Waziri Wa Kilimo Atoa Siku 14 Kwa Mkurugenzi Wa Bodi Ya Nafaka Na Mazao Mchanganyiko Kukamilisha Malipo Ya Wakulima Wa Korosho

Na Mathias Canal, Wizara ya Kilimo-Arusha Waziri wa Kilimo Japhet Hasunga ametoa siku 14 kwa Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Nafaka na Mazao mchanganyiko Dkt Anslem Moshi kukamilisha malipo ya wakulima wote waliouza korosho msimu wa mwaka 2018/2019. Waziri Hasunga ametoa agizo hilo wakati alipotembelea...
Share:

Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Ijumaa July 31

...
Share:
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © 2025 MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger