Mbunge wa Jimbo la Shinyanga Mjini Mhe. Stephen Julius Masele amechangia shilingi milioni 9 kwa ajili ya kusaidia ujenzi wa soko la kata ya Ndala,ujenzi wa zahanati ya Mwawaza na Masekelo katika Manispaa ya Shinyanga.
Akizungumza leo Jumanne Desemba 31,2019 wakati wa akiendelea na ziara yake ya...
Tuesday, 31 December 2019
Waziri wa Fedha Dr Mpango Atoa Taarifa Ya Hali Ya Uchumi Wa Taifa Katika Mwaka 2019

Dkt. Philip Mpango (Mb.)
Waziri wa Fedha & Mipango
31 Desemba, 2019 - DODOMA
Ndugu Waandishi wa Habari, Kwanza kabisanapenda nianze taarifa yangu kwa kumshukuru Mwenyezi Mungu, ambaye kwa rehema zake ameendelea kutujalia afya njema, amani na utulivu katika nchi yetu katika mwaka mzima wa 2019.
Pili...