Thursday, 14 March 2019

Video Mpya : CHADOGY NG'WANA MARIA - BHUTOLWA BHULAMBU

...


Hii hapa video mpya ya Msanii wa Nyimbo za asili Chadogy Ng'wana Maria inaitwa Bhutolwa Bhulambu. Imetengenezwa Hardtone studio na Director Manwell. Wimbo huu unaelezea jinsi ndoa zilivyogeuka kitendawili kwa akina dada, ndoa zimekuwa kama fashion,leo dada anaolewa na Masanja kesho na Maduhu,kesho kutwa anavunja ndoa na kuishi bila mme,anakaa weee bila kuolewa,mwisho wa siku anaanza kusingizia kurogwa, kumbe mchawi ni yeye mwenyewe.

Tazama hapa chini Video hii
Share:

Related Posts:

0 comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © 2025 MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger