Sunday 15 March 2015

NEWS:NACTE YAKARIBISHA MAOMBI YA NAFASI ZA UALIMU 2015/16-WAHUSIKA NI KIDATO CHA NNE WALIOMALIZA OCTOBER 2014 NA WENYE SIFA WOTE-MASWAYETU BLOG

...
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
 
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEi4NL2mYCfjqaQhwgQ8ag_q457SQXAc_iooBDVe4c0o9YsV_lVNYLJeVKRo6xl3TSH33hZziwyiJLdyyvkBbP0CApd29YtrIPa-eN1eEG1J7N3IXFD7PwRFqj8jmuEyM_mhgK_BLxhCXdLh/s1600/unnamed+(28).jpg
  Katibu mtendaji wa baraza la taifa nacte atangaza rasmi leo tarehe 15 march,uombaji wa nafasi za ualimu mwaka wa masomo 2015/16
kwa vijana waliomaliza kidato cha nne october 2014 na wengine wenye sifa mbalimbali kama zinavyotambulika na baraza la taifa la elimu(nacte).
Amesema kwamba waombaji watakaofanikiwa kuomba nafasi hizo kabla ya tarehe 10 april 2015 watafanikiwa kujiunga na vyuo mbalimbali vya ualimu mnamo april 15 2015. 
DOWNLOAD FORM HIYO HAPA
Share:

0 comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger