Wednesday 11 March 2015

NEW READ:VIGEZO VYA UDAHILI WA WANAFUNZI WA KIDATO CHA TANO 2015 HIVI HAPA

...
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
                          Tokeo la picha la tanzania
WARAKA WA ELIMU NA 3 WA MWAKA 2015 KUHUSU VIGEZO VYA UDAHILI WA WANAFUNZI WA KIDATO CHA TANO
Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi inatoa Waraka kuhusu vigezo vya kudahili wanafunzi wa Kidato cha Tano ili kuwaongoza wamiliki wa Shule za Sekondari zenye Kidato cha Tano katika kudahili wanafunzi wa Kidato cha Tano, mwaka 2015. Waraka huu utatumika kwa shule zote, yaani za Serikali na zile zisizokuwa za Serikali. icon Waraka wa Elimu Na. 3 wa Mwaka 2015 Kuhusu Vigezo vya Udahiliwa Wanafunzi wa Kidato cha Tano (303.36 kB)
Share:

0 comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger