Monday 16 March 2015

BREAKING NEWS:VIGEZO KATIKA SELECTION(UDAHILI) KIDATO CHA TANO 2015-KUANZIA G.P.A 1.6 KUCHAGULIWA FORM FIVE-MASWAYETU BLOG

...
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY

BONYEZA HAPA KUANGALIA MAJINA YA SELECTION KIDATO CHA TANO 2015


 Hatimae wizara ya elimu imetoa barua inayotoa maelekezo kuhusu selection za kidato cha taTokeo la picha la NGAO YA TANZANIA
no mwaka huu 2015,mwongozo huu una
tokana na kubadilisha mfumo wa upangaji matokeo tofauti na ilivyozoeleka huko nyuma.
Maswayetu blog tumeidaka barua hiyo,tumeisoma na tumeamua bila hiyana kuileta hapa ili kila mtu ajionee mwenyewe kwa macho yake. 
Pia waraka huo umetoa mwongozo katika udahili wa wanafunzi wa kidato cha tano ambapo umesema kuwa makundi yafuatayo yatapewa upendeleo;
1.WASICHANA
2.WENYE MAHITAJI MUHIMU
3. MICHEPUO YA SAYANSI ,TEKNOLOJIA NA HISABATI.
Waraka umeongeza kua Wanafunzi watadahiliwa kuliangana na ushindani katika GPA zao,ambapo utaanza na Shule za kitaifa kwa wenye maksi za juu na kufuatia shule za kawaida wenye maksi za kawaida.
Click hapa kudownload barua hiyo
Kama una swali lolote tutumie kupitia 
email:innocentlugano60@gmail.com
Share:

0 comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger