Friday 20 March 2015

BREAKING NEWS:MH.ZITTO ZUBEIR KABWE ATANGAZA KUNG'ATUKA UBUNGE,ASEMA KUWA MUNGU AKISAIDIA ATARUDI BUNGENI NOVEMBER MWAKA HUU.

...
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
                        Tokeo la picha la ZITTOKABWE
Habari zilizotufikia MASWAYETU BLOG mda mfupi uliopita ni kwamba mbunge wa kigoma kaskazini MH.ZITTO ZUBEIR
KABWE SI MBUNGE tena wa jamhuri ya muungano wa Tanzania.
Ameyasema hayo leo katika bunge la leo jioni ambalo limeisha saa 3 usiku,Amesema kuwa kutokana na MH.TUNDU lLISSU mwanasheria wa CHADEMA akiwa na Katibu mkuu wa chama hicho walitangaza kuwa wameamua kumvua uanachama hivyo amemuandikia spika wa bunge Mh.Makinda kuwa Kutokana na kutangazwa kwake kuwa si mwanachama tena wa chama cha CHADEMA ameamua kuachia ubunge rasmi.

Pia Mh.zitto amefafanua kuwa kutokana na katiba ya jamhuri wa muungano wa tanzania Mbunge atakoma endapo atakama kuwa mwanachama hai wa chama husika hivyo basi hakuna haja yakuwa Mbunge tena.


Mwenyekiti wa bunge hilo Mh.IDDI AZAN amemtakia maisha mema Mh.ZITTO na kumwambia kuwa ushauri wake watauzingatia siku zote.
SOMA HAPA CHINI BARUA ALIYOMWANDIKIA SPIKA MAKINDA
 
Asante kwa kutembelea Maswayetu blog.

Share:

0 comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger