Monday, 31 May 2021

Africa Indigenous Landscape Program Officer at Nature Conservancy

This this content has been copied from Udahiliportal , please kindly visit udahiliportal.com to access full content A LITTLE ABOUT US Founded in 1951, the Nature Conservancy is a global conservation organization dedicated to conserving the lands and waters on which all life depends. Guided by science, we create innovative, on-the-ground solutions to our world’s toughest challenges so that nature...
Share:

NTRI Livestock Marketing Officer at Nature Conservancy

This this content has been copied from Udahiliportal , please kindly visit udahiliportal.com to access full content A LITTLE ABOUT US Founded in 1951, the Nature Conservancy is a global conservation organization dedicated to conserving the lands and waters on which all life depends. Guided by science, we create innovative, on-the-ground solutions to our world’s toughest challenges so that nature...
Share:

RAIS SAMIA ATENGUA UTEUZI WA AZZA HILAL HAMAD, PRISCA KAYOMBO RAS MPYA SIMIYU, CAMILIUS WAMBURA DCI

Aliyekuwa Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Shinyanga Mhe. Azza Hilal Hamad (CCM) akizungumza kwenye Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani mkoa wa Shinyanga Machi 8,2020 katika kata ya Iselamagazi halmashauri ya wilaya ya Shinyanga. ** RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan...
Share:

HAYA HAPA MAGAZETI YA LEO JUMATATU MEI 31,2021

...
Share:

Sunday, 30 May 2021

MKE WA PASTA ACHAPANA MAKONDE NA MWANAMKE MWENZAKE LIVE KANISANI

Video moja inasambaa kwenye mtandao wa kijamii ikiwaonyesha wanawake wawili wakipigana kanisani katika eneo la Umuahia, jimbo la Abia nchini Nigeria. Kulingana na Sunday Ogirima, ambaye alichapisha video hiyo kwenye mtandao wa Facebook, kati ya wanawake hao mmoja ni mke wa pasta na muumini wa kanisa...
Share:

WAZALISHAJI WA MAZIWA TANGA WAJIUNGA NA MFUKO WA TAIFA WA BIMA YA AFYA (NHIF) KWA KUWEZESHWA NA BENKI YA CRDB

Afisa Mkuu wa Biashara wa Benki ya CRDB Dkt. Joseph Witts kushoto akiwa Mkurugenzi wa Huduma za Wanachama wa NHIF,Christopher Mapunda kulia wakisaini  makubaliano na Wazalishaji wa Maziwa kupitia chama cha TDCU linaashiria utekelezaji wa makubaliano ambayo Benki ya CRDB na NHIF  wataweza...
Share:

Waziri Wa Maliasili Na Utalii Dkt.ndumbaro Kuwashawishi Mawaziri Kujifunza Mchezo Wa Gofu

Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt.Damas Ndumbaro aahidi kutumia ushawishi wake kuwahamasisha Mawaziri wenzake pamoja wa watu kawaida  kujifunza mchezo wa gofu kufuatia ombi la Balozi wa Ufaransa nchini Tanzania, Mhe.Frederic Clavier kufanya hivyo Ametoa kauli hiyo jana wakati wa hafla ya...
Share:

ASKARI WA UHAMIAJI WALIOMTESA ALEX WAKIDAI NI TAPELI WASIMAMISHWA KAZI

Kamishina Jenerali wa Uhamiaji Dkt.  Anna Makakala *** Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi Idara ya Uhamiaji imewasimamisha kazi wafanyakazi wake watatu kutokana na tukio la askari wa Uhamiaji kutumia nguvu dhidi ya Alex Raphael Kyai kama video fupi ilivyoonekana katika mitandao ya kijamii. Video...
Share:

KATIBU WA CHAMA CHA WASIOAMINI UWEPO WA MUNGU AJIUZULU

Chama cha Wasioamini Uwepo wa Mungu Nchini Kenya (AKS) kimepata pigo kubwa kufuatia kujiuzulu kwa katibu wao Seth Mahiga baada ya kuhudumu kwa mwaka mmoja unusu. Mahiga amejiuzulu kutoka kwa wadhifa wake akisema amekutana na Yesu na hataki tena kuendelea kupiga kampeni za kumkana Mungu nchini. Katika...
Share:

JINSI NILIVYOSAIDIA MWANANGU KUACHA KUTUMIA POMBE NA MADAWA YA KULEVYA

Wazazi tunakutana na changamoto sana kutoka kwa watoto wetu haswa unapomlea mtoto wako kwa maadili mazuri ila tunapokuwa unakuta anaanza kuwa na tabia tofauti sana. Unakuta mtoto wako anatumia madawa ya kulevya,sigara,bangi na Pombe. Akiwa anatumia hivyo vitu mtoto hawezi kukusikiliza kama mzazi...
Share:

CHAVITA KOROGWE YAENDESHA WARSHA KWA WATOA HUDUMA ZA AFYA

CHAMA cha Viziwi Tanzania (CHAVITA) wilayani Korogwe mkoani Tanga kimeendelea kutoa elimu kwa watoa huduma za Afya wilayani  ili itumike kwa watu wenye ulemavu viziwi kuweza kupata huduma bora  za Afya  pindi wanapofuatilia upatikanaji wa huduma katika  vituo vya afya. Mafunzo...
Share:

HAYA HAPA MAGAZETI YA LEO JUMAPILI MEI 30,2021

  ...
Share:

RAIS SAMIA AMTEUA AZZA HILAL HAMAD KUWA KATIBU TAWALA WA MKOA WA SIMIYU

Azza Hilal Hamad *** Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa Makatibu Tawala Mikoa. Miongoni mwa walioteuliwa ni aliyewahi kuwa Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Shinyanga Azza Hilal Hamad ambaye ameteuliwa kuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Simiyu. Lakini pia...
Share:

CHELSEA YATWAA TAJI LA MABINGWA ULAYA, YAICHAPA MAN CITY 1-0 URENO

TIMU ya Chelsea imefanikiwa kutwaa taji la Ligi ya Mabingwa Ulaya baada ya ushindi wa 1-0 dhidi ya Manchester City usiku huu Uwanja wa Do Dragão Jijini Porto, Ureno. Pongezi kwa mfungaji wa bao hilo pekee Mjerumani, Kai Havertz dakika ya 42 akimalizia pasi ya kiungo mwingine wa kimataifa wa England,...
Share:

Saturday, 29 May 2021

Breaking News: RAIS SAMIA AFANYA UTEUZI WA MAKATIBU TAWALA WA MIKOA, WATENDAJI WA TAASISI USIKU HUU... TAZAMA MAJINA YOTE HAPA

 Rais Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa baadhi ya makatibu tawala wa mikoa, kuwahamisha baadhi na wengine kuwabakiza kwenye vituo vyao vya kazi. Lakini pia amefanya uteuzi wa watendaji wakuu wa taasisi. ...
Share:
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © 2025 MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger