Tuesday, 15 July 2025

HAYA HAPA MAGAZETI YA LEO JUMANNE JULAI 15,2025

Magazeti

Share:

MRADI WA SEQUIP WAPELEKA NEEMA MKOANI GEITA

Mwandishi wetu, Mwanza

Kupitia Mradi wa kuboresha Ubora wa Elimu Sekondari (SEQUIP) wananchi mkoani Geita wamenufaika na miundombinu ya ujenzi wa shule mpya mbili za sekondari zitakazorahisisha upatikanaji wa huduma za elimu mkoani humo.

Shule hizo ni pamoja na Shule ya Sekondari ya Wasichana Geita ambayo imejengwa katika Manispaa ya Geita huku ikiwa imeanza kutoa huduma za elimu kwa wanafunzi.

Jumla ya Shilingi Bilioni 4.1 zimetolewa na serikali kwa ajili ya ujenzi wa miundombinu mbalimbali katika shule ya wasichana Geita ikiwemo maabara, vyumba vya madarasa na ofisi, Vyoo vya waliku na wanafunzi, mabweni, nyumba za walimu, Jengo la utawala, Bwalo, Jengo la TEHAMA, na Mashimo ya maji taka.

Pia serikali inaendelea na ujenzi wa shule mpya na ya kisasa ya Amali mkoani Geita ikiwa inajengwa katika Kijiji cha Iboya katika kata na Wilaya ya Mbogwe kwa gharama ya Shilingi Bilioni 1.6

Pia ukamilishaji wa Shule mpya ya Amali ambayo inajengwa ikiwa ni utekelezaji wa sera mpya ya elimu ya mafunzo ya mwaka 2014 toleo la mwaka 2023.

Share:

Monday, 14 July 2025

HAYA HAPA MAGAZETI YA LEO JUMATATU JULAI 14,2025

Magazeti

Share:

SERIKALI YASHUSHA NEEMA MKOANI MARA//BIL 5.7 UJENZI WA SHULE YA WASICHANA NA AMALI

Serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Mhe Rais Dkt samia Suluhu Hassan imetoa kiasi cha shilingi Bilioni 5.7 kwa ajili ya ujenzi wa shule mbili mkoani Mara ambazo ni shule ya Sekondari ya Wasichana Mara pamoja na shule ya Amali Butiama (Butiama Technical Sec School).

Fedha hizo zimetolewa kwa ajili ya ujenzi hizo mbili ikiwa ni utekelezaji wa Mradi wa Kuboresha Ubora wa Elimu ya Sekondari (SEQUIP) mkoani Mara kwa ajili ya kutekeleza ilani ya uchaguzi ya ya Chama Cha Mapinduzi ya mwaka 2020-2025 kuhusu kuongeza uandikishaji wa wananfunzi wa wanafunzi kidato cha kwanza hadi kidato cha nne pia kidato cha tano na sita.

Kati ya fedha hizo jumla ya shilingi Bilioni 4.1 zimetolewa kwa ajili ya ujenzi wa miundombinu mbalimbali katika shule ya sekondari ya Mara wasichana iliyojengwa katika kijiji cha Bulamba kata ya Butimba wilayani Bunda.

Katika shule ya Sekondari ya Mara wasichana serikali imekamilisha miundombinu mbalimbali ikiwemo Jengo lenye vyumba vya madarasa 2, Majengo 3 yenye vyumba vya madarasa 2 na ofisi 1, Madarasa 2 na vyoo, Maabara ya Fizikia na chumba cha Jiografia, Maabara ya Kemia na Biolojia, Jengo la utawala, Vyoo vya wanafunzi matundu 16, chumba cha jenereta, Bwalo, Nyumba ya mwalimu yenye vyumba 3, Nyumba ya mwalimu (2 in 1), Mabweni 8, Jengo la wagonjwa pamoja na Ujenzi wa uzio.

Katika hatua nyingine serikali imetoa kiasi cha shilingi Bilioni 1.6 kwa ajili ya ujenzi wa shule mpya ya Sekondari ya Amali Butiama (Butiama Techinacal Sec School) wenye jumla ya Majengo kumi na nane 18.

Fedha hizo zinaendelea kutumika kwa ajili ya kukamilisha ujenzi wa Vyumba vinne (04) vya madarasa bila ofisi, Vyumba vinne(04) vya madarasa na ofisi, Jengo la Utawala na stoo ya site, Maabara mbili(02) Kemia na Baiolojia, Nyumba moja(01) ya mwalimu(single), Makataba moja(01), Chumba cha TEHAMA kimoja(01), Mabweni manne(04), Bwalo na Jiko, Vyoo matundu nane(08), Karakana ya Mechanics & Metal fabrications, Karakana ya Ufundi uashi na Tanki la Maji.

Na mwandishi Maalum.

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive

Copyright © MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger