Friday, 12 April 2024

HAYA HAPA MAGAZETI YA LEO IJUMAA APRILI 12,2024




Magazeti
Share:

NIMEPOTEZA NAFASI YA KUJIUNGA NA JESHI KISA MAPENZI

 


Jina langu ni Ndelekwa kutokea Arusha nchini Tanzania, ni kijana na umri wa miaka 25 kwa sasa, nakumbuka nilipomaliza kidato cha nne nilianza michakato ya kuona napataje nafasi ya kujiunga na jeshi la wananchi.

Hii ilikuwa ndoto yangu tangu nikiwa mdogo, nilikuwa napenda sana jeshi, na kwa kipindi kile ingekuwa rahisi maana nilikuwa na uwezo mkubwa wa kupigana Boxing.

Siku moja nilikutana na mpenzi wangu na kumweleza lengo langu hilo, nasikitika haikuwa vile nilivyotegemea, akanigomea kabisa kujiunga na jeshi kitu ambacho kilikuwa ni ndoto yangu.

Nilijaribu kumbembeleza ila bado hakutaka kuelewa, ikafika hatua akaniambia, "nichague jeshi au yeye". Hapa upendo ulinifanya niwe mwehu.

Niliaacha nafasi ya kujiunga na jeshi na nikafuata vile mpenzi wangu alivyopenda, basi nikaenda kusomea hotel management ili tu kulinda penzi langu kwa sababu nilimpenda sana yule binti.

Baada ya kumaliza masomo, kwa upande wangu maisha yalibadilika sana, nikawa tu mtaani bila kazi yoyote, basi yule mpenzi wangu akaniacha baada ya yeye kuwa na maisha mazuri zaidi yangu.

Jambo hili liliniumiza sana, nimepoteza nafasi ya kujiunga na jeshi na bado nimeachwa, nilijikuta naugua ghafla na kulala ndani siku nzima, rafiki zangu walikuja kunitembelea na kunijulia hali.

Mmoja wa marafiki zangu aliniambia kuwa Kiwanga Doctors wanaweza kumrejesha mpenzi wangu katika himaya yangu, ndipo akanipa namba zao (+254 769 404965), siku iliyofuata nilipiga namba ile na kuomba msaada.

Walinifanyia dawa na kuniambia baada ya muda mambo yatakuwa shwari, hazikupita siku mbili, mpenzi wangu alikuja mwenyewe nyumbani kunitembelea na kuniomba msamaha kwa yote yaliyotokea.

Tulirudiana na sasa tunaishi pamoja kama mume na mke na nimeweza kupata kazi tayari.

Siku zote kumbuka Kiwanga Doctors anatoa huduma kama kusafisha nyota, kusuluhisha migororo ya ndoa, mahusiano, mapenzi na familia, kumfunga mume au mke asitoke nje ya ndoa, anatoa tiba kwa wanaotafuta watoto.

Vilevile anatoa huduma ya kukusaidia kupata kazi au ajira, kupandishwa cheo na mshahara kazini, kuwasaidia wenye urahibu wa dawa za kulevya, sigara na pombe, kwa wanaotafuta mume au mke pia anawasaidia tena ndani ya siku chache.

Anatibu magonjwa kama kisukari, msukumo wa damu (BP), upungufu wa nguvu za kiume, miguu kuwaka moto n.k, pia anaweza kuisadia biashara yako kunawiri, na huduma zote hizi unaweza kuzipata bila kufika ofisini kwake.

Basi chukua hatua ya kuwasiliana na Kiwanga Doctors kwa namba; +254 769 404965.

Mwisho.

 



Share:

Thursday, 11 April 2024

RAIS SAMIA AWAONYA WAFANYABIASHARA WANAOKWEPA KODI


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wageni mbalimbali pamoja na Waumini wa Dini ya Kiislamu kwenye Baraza la Eid El Fitr ambalo Kitaifa limefanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC), Jijini Dar es Salaam tarehe 10 Aprili, 2024.

*Asema serikali yake ilikataa kodi za dhuluma, lakini wafanyabiashara wamegeuka na kuidhulumu serikali kodi

Aprili 11, 2024

Na Mwandishi Wetu

Rais Samia Suluhu Hassan amewaonya wafanyabiashara wanaokwepa kodi nchini, huku akisema kuwa dhuluma hiyo inachelewesha maendeleo ya nchi.


Rais amesema kuwa licha ya makusanyo ya kodi kuongezeka ndani ya miaka mitatu iliyopita, bado kuna wafanyabiashara nchini wanakwepa kodi.


Samia amesisitiza kuwa Serikali yake ya Awamu ya 6 iliachana na mfumo wa kukusanya kodi kwa ubabe ili kuimarisha uwekezaji na biashara nchini, lakini baadhi ya wafanyabiashara wanatumia vibaya nia hiyo njema ya Serikali kwa kukwepa kodi.


"Nilikataa kodi za dhuluma ili tuendane na misingi ya haki. Lakini inasikitisha kuona kwamba wafanyabiashara wetu sasa wamegeuza, tumekataa kodi za dhuluma kama serikali, wafanyabiashara wanafanya dhuluma ya kodi. Wanadhulumu kulipa kodi," Rais Samia alisema kwenye Baraza la Idi jana jijini Dar es Salaam.


Rais ameonya kuwa dhuluma ya kodi inayofanywa na baadhi ya wafanyabiashara nchini inarejesha nyuma maendeleo ya taifa.

"(Wafanyabiashara) wanadhulumu mapato ambayo yangetumiwa kuhudumia wananchi," amesisitiza.


"Wanafanya hivyo kwa sababu mbalimbali, labda za kisiasa, kiuchumi ili wapate utajiri zaidi, wapate mapato zaidi au uhujumu kwa makusudi kuendelea kuhujumu maendeleo ya wananchi. Niwasihi waache dhuluma hiyo inayochelewesha maendeleo ya nchi yetu na sote tuwe raia wema na tutimize wajibu wetu."


Rais Samia amesema kuwa licha ya ukwepaji kodi unaofanywa na baadhi ya wafanyabiashara wasiokuwa waaminifu, makusanyo ya ndani yanaendelea kuongezeka chini ya Mamlaka ya Mapato ya Tanzania (TRA).


Makusanyo ya kodi yamepanda kutoka Shilingi trilioni 18 mwaka 2020/21 wakati anaingia madarakani hadi Shilingi trilioni 24 kwa mwaka wa fedha wa 2022/23, amesema.

"Nitumie fursa hii kuwapongeza wafanyabiashara wote wanaotoa risiti wanavyouza na wananchi wote wanaoendelea kudai risiti wanaponunua bidhaa," Rais Samia amesema.

Share:

Wednesday, 10 April 2024

PINDA AKAGUA JENGO LA CCM WILAYA YA MLELE

Mbunge wa jimbo la Kavuu na Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe, Geophrey Pinda akipata maelezo ya maendeleo ya ujenzi wa jengo la Chama cha Mapinduzi (CCM) wilaya ya Mlele mkoa wa Katavi wakati akielekea jimboni kwake Kavuu tarehe 10 April 2024.

*********************

Na Munir Shemweta, MLELE

Mbunge wa Jimbo la Kavuu katika halmashauri ya Mpimbwe na Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Geophrey Pinda amekagua maendeleo ya ujenzi wa jengo la Chama cha Mapinduzi (CCM) wilaya ya Mlele mkoa wa Katavi.

Mhe, Pinda amefanya ukaguzi wa jengo hilo leo tarehe 10 April 2024 akiwa njiani kielekea jimboni kwake Kavuu halmashauri ya Mpimbwe wilaya ya Mlele mkoa wa Katavi kusheherekea Siku Kuu ya Eid El Fitri na waumini wa dini ya kiislamu katika jimbo lake sambamba na kukagua shughuli za maendeleo.

Mhe, Pinda akiambatana na Mkuu wa wilaya ya Mlele Alhaji Majid Mjengwa ameoneshwa kuridhishwa na maendeleo ya ujenzi wa jengo hilo la CCM ambalo mbali na ofisi, litakuwa na ukumbi wa mikutano.

"Niwapongeze kwa kazi nzuri, naona jengo limefikia katika hatua nzuri na muda si mrefu wilaya yetu itakuwa na jengo lake zuri, hongereni sana" alisema Mhe. Pinda.

Kwa mujibu wa Mbunge wa Jimbo la Kavuu, ujenzi wa jengo hilo la CCM wilaya ya Mlele ni juhudi binafsi za yeye pamoja na mbunge mwenzake wa jimbo la Mlele Mhe. Mhandisi Isack Kamwelwe.

Amesema, kukamilika kwa jengo hilo kutawawezesha watendaji wa Chama cha Mapinduzi wilaya ya Mlele kuwa na ofisi nzuri na hivyo kufanya kazi zao kwa ifanisi.

Akiwa jimboni kwake Mhe, Pinda mbali na kujumuika na waumini wa dini ya kiislamu katika kusheherekea Siku Kuu ya Eid El Fitri na kukagua shughuli za maendeleo katika jimbo lake pia atashiriki ziara ya Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi Balozi Dkt Emanuel Nchimbi anayetarajiwa kufanya ziara mkoa wa Katavi mwishoni mwa wiki.
Mbunge wa jimbo la Kavuu na Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe, Geophrey Pinda akikagua maendeleo ya ujenzi wa jengo la Chama cha Mapinduzi (CCM) wilaya ya Mlele mkoa wa Katavi wakati akielekea jimboni kwake Kavuu tarehe 10 April 2024.

Mbunge wa jimbo la Kavuu na Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe, Geophrey Pinda akishuka kutoka kukagua maendeleo ya ujenzi jengo la Chama cha Mapinduzi (CCM) wilaya ya Mlele mkoa wa Katavi wakati akielekea jimboni kwake Kavuu tarehe 10 April 2024.

Mbunge wa jimbo la Kavuu na Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe, Geophrey Pinda akisisitiza jambo wakati wa kukagua maendeleo ya ujenzi jengo la Chama cha Mapinduzi (CCM) wilaya ya Mlele mkoa wa Katavi wakati akielekea jimboni kwake Kavuu tarehe 10 April 2024. Katikati ni Mkuu wa wilaya ya Mlele Alhaji Majid Mjengwa
Muonekano wa maendeleo ya ujenzi wa jengo la Chama cha Mapinduzi (CCM) wilaya ya Mlele mkoa wa Katavi.
Share:

Video Mpya : KISIMA - NAHOBAKHE


Kisima Majabala anakualika kutazama video yake Mpya inaitwa Nahobakhe
Share:

KILA MWANAMKE NIKIZAA NAYE ANAPOTEA!

Jina langu ni Samson, nilikuja Mwanza, Tanzania kutokea kijijini kupambania maisha, nashukuru mambo yalienda vivuri tu, kazi nilipata na fedha pia nilipata, sio haba kusema kweli.

Kama unavyojua tena jiji la Mwanza wanawake warembo kila kona, ni kama nilikua na ngekewa kila nilipotupa ndoano ilinasa, kusema kweli nilijichanganya nilitembea na kila aina ya mwanamke niliyemtamani.

Basi katika haya mahangaiko nilikutana na dada mmoja wa Kigoma na kuanzisha naye uhusiano, huyu dada alikuja kunieleza amepata mjamzito, baada ya muda akawa ameenda kwao Kigoma kwa ajili ya kujifungua.

Nilikuwa nikituma matumizi ila ilifika mahali mawasiliano yalikufa, sikumpata tena hewani, maisha yaliendelea nikakutana tena na mwanamke kutoka Arusha, kusema kweli huyu naye mapenzi yakanoga.

Mwisho wa siku na yeye akapata ujauzito, alirudi kwao Arusha, tulikubaliana baada ya yeye kujifungua atarejea tuendelee kuishi maisha yetu, lakini cha kushangaza naye mawasiliano yalikatika ghafla nikawa simpati katika simu.

Ilipita zaidi miaka mitano hakuna mwanamke hata mmoja kati ya wale wawili aliyenitafuta, sikuwahi kubadili namba ya simu useme kuwa walinitafuta nikawa sipatikani hewani.

Roho ilikuwa inaniuma sana kwani nilitaka kuwaona sana watoto wangu, ndipo nikaanza kutafuta tiba wa waganga wa kienyeji maana nilijua kuna jambo ambalo halipo sawa kwa upande wangu, kuna mtu atakuwa ananichezea mchezo.

Mwisho wa siku nilikutana na Kiwanga Doctors kupitia mitandao ya kijamii, nilichukua namba yake (+254 769 404965) na kumpigia na kumueleza tatizo langu, aliniuliza maswali machache kuhusu familia yangu na ndipo akanifanyia tiba yake.

Nashukuru baada ya muda mfupi niliweza kuja kupata mawasiliano ya wale wanawake wote ambao nilizaa nao, yule wa kwanza tayari alikuwa ameolewa na ana mtoto wapili, mimi nilichofurahi ni kuiona tu damu yangu.

Huyu mwanamke wa pili ndiye nilikuja kumuoa na sasa tunaishi kama mume na mke.

Siku zote kumbuka Kiwanga Doctors anatoa huduma kama kusafisha nyota, kusuluhisha migororo ya ndoa, mahusiano, mapenzi na familia, kumfunga mume au mke asitoke nje ya ndoa, anatoa tiba kwa wanaotafuta watoto.

Vilevile anatoa huduma ya kukusaidia kupata kazi au ajira, kupandishwa cheo na mshahara kazini, kuwasaidia wenye urahibu wa dawa za kulevya, sigara na pombe, kwa wanaotafuta mume au mke pia anawasaidia tena ndani ya siku chache.

Anatibu magonjwa kama kisukari, msukumo wa damu (BP), upungufu wa nguvu za kiume, miguu kuwaka moto n.k, pia anaweza kuisadia biashara yako kunawiri, na huduma zote hizi unaweza kuzipata bila kufika ofisini kwake.

Basi chukua hatua ya kuwasiliana na Kiwanga Doctors kwa namba; +254 769 404965.

Mwisho.

 


Share:

KAMISHNA JENERALI LYIMO APONGEZWA KWA KUBORESHA UTENDAJI WA DCEA KUDHIBITI DAWA ZA KULEVYA

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Kassim Majaliwa ameipongeza Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) kwa namna inavyodhibiti biashara ya dawa za kulevya nchini.

Mheshimiwa Waziri Mkuu ametoa pongezi hizo Aprili 9, 2024 wakati wa hafla ya Futari aliyoiandaa kwa ajili ya watumishi wa ofisi yake na taasisi zake, Mlimwa jijini Dodoma.

"Upande wa Kamishna Jenerali wa Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya tunaye hapa, Bwana Lyimo  alishaanza kazi, amefanya kazi nzuri sana. 

Ameendesha operesheni,amekamata madawa, zaidi ya madawa tuliyowahi kuyakusanya miaka yote, ameenda shambani, mpaka kule Arusha akavuna cha Arusha chote (bangi) hongera sana", amesema Waziri Mkuu Majaliwa. 

Ameongeza kuwa, mpaka sasa Mamlaka ya Kudhibiti imepanua wigo wake kiutendaji hadi kufikia ngazi ya kanda ambapo tayari watumishi wako katika kanda hizo kutekeleza majukumu yao.

 Amesema;  "Lakini pia amefanya maboresho kwenye sekta yake, tulipotoka tulikuwa tunaboresha, lakini Kamishna Jenerali ameboresha zaidi kwamba ofisi yake haiishi makao makuu ya nchi tu, ameshusha kwenye kanda na tayari wakurugenzi wameshaenda kwenye kanda". 


Aidha waziri mkuu amesisitiza kuwa utekelezaji wa shughuli za Mamlaka utafanikiwa sana kwa sababu kamishna jenerali Lyimo ameshusha watu ambao watasimamia operesheni zote, mipango yote ya kudhibiti na kukamata wazalishaji, wasafirishaji, watumiaji na wafanyabiashara. 

Tangu ateuliwe kuongoza nafasi hiyo Machi 16, 2023 kamishna Jenerali Lyimo kwa kushirikiana na timu yake wamefanikiwa kudhibiti na kukamata shehena kubwa ya dawa za kulevya nchini zikijumlisha za viwandani, mashambani na pamoja na Kudhibiti uchepushwaji wa kemikali bashirifu.

Share:

Tuesday, 9 April 2024

HAYA HAPA MAGAZETI YA LEO JUMATANO APRILI 10,2024









        
Share:

BALOZI DKT. NCHIMBI ASHIRIKI KONGAMANO LA MAADHIMISHO YA KUMBUKIZI YA MWALIMU NYERERE

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk. Emmanuel John Nchimbi, akizungumza wakati wa hotuba ya ufunguzi wa Kongamano la Maadhimisho ya Kumbukizi ya Mwalimu Nyerere, lililofanyika Jumatatu Aprili 8, 2024 katika Ukumbi wa Utamaduni wa Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere, Kigamboni, Dar Es Salaam, ambalo lilijumuisha watu mbalimbali, ambapo kabla ya hapo, alitembelea mabanda na kujionea maonesho ya ubunifu katika masuala mbalimbali unaofanywa na wanafunzi wa chuo hicho.
Share:
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger