Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Dkt. Leonard Chamuriho,akizungumza wakati akifungua maadhimisho ya 18 ya siku ya wahandisi nchini yaliyofanyika leo September 2,2021 jijini Dodoma.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi (Sekta ya Ujenzi), Mhandisi Joseph Malongo, akisisitiza jambo kwa wahandisi...
Mwenyekiti wa bodi wa NHIF Juma Muhimba akizungumza kuhusiana na na ushauri wa bodi unavyofanya kuweza kufanya vizuri katika utendaji ili kutoa huduma bora kwa wanachama, jijini Dar es Salaam.
Mwenyekiti wa umoja wa watoa huduma za afya Binafsi (AFTA) Dkt. Egina Makwabe akizungumza kuhusiana na...
Picha ya Mchungaji Cyril Utomi
Mchungaji Cyril Utomi kutoka Nigeria ameyachoma mawigi na vipodozi vya muumini wa kike kwa madai asingeweza kukutana na Yesu akiwa na nywele na vitu vingine vya bandia ikiwa ni pamoja na viatu virefu.
Utomi alichoma vitu hivyo katika mkutano wa mahubiri ulioandaliwa...
Emmanuel Charahani
Na Salvatory Ntandu - Kahama
Emmanuel Charahani ameibuka mshindi katika kinyang’anyiro cha kura za maoni katika Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika mkutano mkuu wa jimbo la Ushetu wilayani Kahama mkoani Shinyanga kwa kupata kura 442 na kuwashinda wenzake 18.
Akitangaza matokeo...
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga Bi. Nice Munissy
Mkurugenzi wa Shirika la TVMC Bw. Musa Ngangala
Na Josephine Charles - Shinyanga
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga Bi. Nice Munissy amezitaka Asasi za Kiraia kuwashirikisha Vijana wanaendesha Pikipiki za biashara...
Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) imeongeza muda wa uombaji mikopo kwa siku 15 zaidi kuanzia Septemba 1 hadi 15 mwaka huu ili kuwapa fursa kwa waombaji mikopo ambao wamejisajili katika mfumo kukamilisha maombi yao.
Mkurugenzi Mtendaji wa HESLB, Abdul-Razaq Badru ametangaza uamuzi...
Rais Samia Suluhu Hassan
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, amesema kuwa tozo za miamala ya simu zitaendelea kuwepo kama kawaida ili kupata fedha za kuendeleza miradi ya maendeleo na kujiepusha kuwa kwenye mikono ya wafadhili.
Kauli hiyo ameitoa leo Septemba 2, 2021, wakati...
POST ASSISTANT LECTURER (INSURANCE AND RISK MANAGEMENT) – 1 POST POST CATEGORY(S) ENVIRONMENTAL SCIENCES AND GEOGRAPHY TAXATION AND SOCIAL PROTECTION EMPLOYER Institute of Accountancy Arusha (IAA) APPLICATION TIMELINE: 2021-08-31 2021-09-13 JOB SUMMARY N/A DUTIES AND RESPONSIBILITIES i. To teach up to NTA Level 8 (Bachelor Degree); ii. To prepare learning resources for tutorial exercises;...
POST LECTURER (BANKING) – 1 POST POST CATEGORY(S) BANKING, ECONOMICS AND FINANCIAL SERVICES EMPLOYER Institute of Accountancy Arusha (IAA) APPLICATION TIMELINE: 2021-08-31 2021-09-13 JOB SUMMARY N/A DUTIES AND RESPONSIBILITIES i. To teach up to NTA Level 8 for Master’s Degree holders and up to NTA Level 9 for PhD holders; ii. To guide and […]
This post Lecturer (Banking) at Institute of Accountancy...
About Standard Chartered We are a leading international bank focused on helping people and companies prosper across Asia, Africa and the Middle East. To us, good performance is about much more than turning a profit. It’s about showing how you embody our valued behaviours – do the right thing, better together and never settle […]
This post Relationship Manager, Local & Mid Corporates...
Katibu Mkuu Mtendaji wa Umoja wa Posta Afrika, (PAPU) anayemaliza muda wake Ndugu Younouss Djibrine ( kushoto) akikabidhi Ofisi kwa Katibu Mkuu Mtendaji Mpya Ndugu Sifundo Chief Moyo kwenye Ofisi za PAPU Jijini Arusha, leo Tarehe 1 Septemba 2021. Wanaoshuhudia ni Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia...
Niite Anita, mimi ni mama ambaye nimekuwa mgonjwa kwa muda mrefu mno na tumetumia kiasi kukubwa cha hela kwa matibabu yangu bila mafanikio.
Madaktari bandia wamekula hela zetu wakidanganya kuwa wana uwezo wa kunitibu lakini wote ni matapeli tu.
Nilizaliwa nikiwa mzima kabisa na hata...