Sunday, 8 August 2021

Project Team Leader at CARE

Project Team Leader    CARE Tanzania-DMDP positions: CARE is a leading humanitarian organization dedicated to fighting poverty and social injustice with a special emphasis on women and girls. CARE Tanzania is part of CARE International, whose vision is to seek a world of hope, tolerance, and social justice, where poverty has been overcome and people […]

This post Project Team Leader at CARE has been posted by Udahiliportaldaily

Get more post by visiting Udahiliportal.com

know more details about Udahiliportal.com by visiting Udahiliportal.com - Find Jobs & Ajira mpya leo, ajira portal Tanzania, ajira yako, brighter Monday, mabumbe, mwananchi ajira, secretariet ya ajira, tamisemi ajira za afya, wizara ya afya, ajira Tanzania - selection za vyuo , selection, second selection vyuo, second selection, tamisemi selection, selection form one 2020/2021

This this content has been copied from udahiliportal.com , please kindly visit Udahiliportalto access full original content content or click here for more details

Share:

Project Officer-VSLA and Community Mobilization at CARE

Project Officer-VSLA and Community Mobilization     CARE Tanzania-DMDP positions: CARE is a leading humanitarian organization dedicated to fighting poverty and social injustice with a special emphasis on women and girls. CARE Tanzania is part of CARE International, whose vision is to seek a world of hope, tolerance, and social justice, where poverty has been overcome […]

This post Project Officer-VSLA and Community Mobilization at CARE has been posted by Udahiliportaldaily

Chidya Secondary School | S0105 NECTA Results ACSEE, CSEE & FTNA results, Contacts details.

About Chidya Secondary School Chidya Secondary School is a secondary school in Tanzania with The National Examinations Council of Tanzania (NECTA) registration number S0105 Chidya Secondary School NECTA Results – Check Chidya Secondary School ACSEE Results, CSEE Results & FTNA Results Access Chidya Secondary School NECTA Results – ACSEE Results, CSEE Results & FTNA Results […]

This post Chidya Secondary School | S0105 NECTA Results ACSEE, CSEE & FTNA results, Contacts details. has been posted by Udahiliportal

Get more post by visiting Udahiliportal.com

know more details about Udahiliportal.com by visiting Udahiliportal.com - Find Jobs & Ajira mpya leo, ajira portal Tanzania, ajira yako, brighter Monday, mabumbe, mwananchi ajira, secretariet ya ajira, tamisemi ajira za afya, wizara ya afya, ajira Tanzania - selection za vyuo , selection, second selection vyuo, second selection, tamisemi selection, selection form one 2020/2021

This this content has been copied from udahiliportal.com , please kindly visit Udahiliportalto access full original content content or click here for more details

Share:

Clinical Officers (4) at Tanzania Red Cross Society

 Clinical Officers – 4 Positions   TANZANIA RED CROSS SOCIETY        The Tanzania Red Cross Society (TRCS) is a voluntary humanitarian organization established as an independent National Society (NS) by the Act of Parliament No. 71 of December 1962 and amended by the Parliament of Tanzania in 2019. Tanzania Red Cross Society was recognised […]

This post Clinical Officers (4) at Tanzania Red Cross Society has been posted by Udahiliportaldaily

Get more post by visiting Udahiliportal.com

know more details about Udahiliportal.com by visiting Udahiliportal.com - Find Jobs & Ajira mpya leo, ajira portal Tanzania, ajira yako, brighter Monday, mabumbe, mwananchi ajira, secretariet ya ajira, tamisemi ajira za afya, wizara ya afya, ajira Tanzania - selection za vyuo , selection, second selection vyuo, second selection, tamisemi selection, selection form one 2020/2021

This this content has been copied from udahiliportal.com , please kindly visit Udahiliportalto access full original content content or click here for more details

Share:

Nurses Midwife (17) at Tanzania Red Cross Society

Nurses Midwife (17 Positions)   TANZANIA RED CROSS SOCIETY The Tanzania Red Cross Society (TRCS) is a voluntary humanitarian organization established as an independent National Society (NS) by the Act of Parliament No. 71 of December 1962 and amended by the Parliament of Tanzania in 2019. Tanzania Red Cross Society was recognised and admitted to the […]

This post Nurses Midwife (17) at Tanzania Red Cross Society has been posted by Udahiliportaldaily

Get more post by visiting Udahiliportal.com

know more details about Udahiliportal.com by visiting Udahiliportal.com - Find Jobs & Ajira mpya leo, ajira portal Tanzania, ajira yako, brighter Monday, mabumbe, mwananchi ajira, secretariet ya ajira, tamisemi ajira za afya, wizara ya afya, ajira Tanzania - selection za vyuo , selection, second selection vyuo, second selection, tamisemi selection, selection form one 2020/2021

This this content has been copied from udahiliportal.com , please kindly visit Udahiliportalto access full original content content or click here for more details

Share:

HAYA HAPA MAGAZETI YA LEO JUMAPILI AGOSTI 8,2021

Share:

Saturday, 7 August 2021

MAREHEMU AGOMA KUINGIA KWENYE JENEZA HADI AVALISHWE VIATU VIPYA

Waombolezaji waliofika katika boma moja eneo la Kilingili, Vihiga nchini Kenya wameachwa midomo wazi baada ya mwili wa marehemu kukataa kuingia ndani ya jeneza hadi ulipovishwa viatu vipya alivyokuwa amenunua.

 Duru zinaarifu kwamba jeneza lililetwa kisha jamaa na marafiki wa mwenda zake walimkaribia na kuubeba mwili wake kwa makini kuuweka ndani ya jeneza.

Hata hivyo, kwa mujibu wa Taifa Leo walishtuka baada ya mwili huo kuanza kufura na jeneza kuonekana kuwa dogo.

Inasemekana kwamba waliotwikwa jukumu hilo waliamua kulipanua jeneza lakini walipojaribu kuuweka mwili huo ndani ya sanduku safari hii ulirefuka.

 “Lazima kuna mtu marehemu hamtaki hapa. Haya mambo hayawezi kufanyika bila sababu,” jamaa mmoja alisikika akisema.

 Waombolezaji walipoarifiwa kuhusu kisa hicho walibaki wamepatwa na mshtuko. “Kama amekataa kuingia jenezani hata kaburini basi pia atakataa. Lazima kuna mchawi hapa,” mwombolezaji mmoja alisika akisema.

Penyenye za kijijini zilisema kwamba ilibidi wazee wa kijijini waliitwa kutegua kitendawili hicho.

“Watu wote watoke nje,” wazee waliamuru. Inaarifiwa kwamba wazee walipoachwa chumbani humo walianza kumtandika viboko marehemu. “Usipokubali kuingia ndani ya jeneza tutakutupa kama mbwa. Ingia humu mara moja,” sauti ya mzee mmoja ilisikika ikiamuru kutoka chumbani.

 Semasema zinaarifu kwamba baada ya dakika tano za adhabu kali mlango ulifunguliwa na wazee hao wakamwita mke wa marehemu.

 “Nimesikia sauti ya marehemu ikiniambia kwamba avishwe viatu vyake alivyonunua juzi,” mke wa marehemu alisema.

 Viatu hivyo vililetwa haraka na mwenda zake akavishwa na baada ya hapo waliokuwa wakiutia mwili wake ndani ya jeneza waliitwa kuendelea na shughuli hiyo.

Duru zinasema kila mmoja katika mazishi hayo alibaki mdomo wazi kwani mwili uliingia jenezani bila tatizo lolote. “Marehemu hakutaka kuacha viatu vyake nyuma,” muombolezaji mmoja alisikika akisema.

Chanzo - Tuko News
Share:

POLISI WAMKAMATA JAMAA ANAYEDAIWA KUMUUA MTOTO WAKE KWA KUHARIBU SIMU YAKE

Polisi huko kaunti ya Meru wamemkamata mwanaume anayetuhumiwa kumnyonga mwanawe wa miaka saba kwa madai ya kuharibu simu ya rununu 'Smartphone' huku jamaa akikanusha madai kwamba alimuua mvulana huyo akisema kwamba alikuwa anamtia tu adabu.

Mwanamume huyo, kulingana na ripoti ya polisi, alimkaba koo mwanawe ndani ya nyumba yao huku akimtandika huku majirani wakifika katika boma hilo kumwokoa mtoto huyo.

Mwanamume huyo, aliyetambulika kama Evans Mutwiri, aliripotiwa kuwafukuza majirani hao akiwakaripia kwa kuingilia mambo ya boma lake.

 Hata hivyo majirani hao walikataa kuondoka hadi pale ambapo polisi walifika na walipowasili walimkuta mvulana huyo akiwa amepoteza fahamu.

 “Polisi walipofika alijaribu kuwazuia kuingia ndani ya boma. Alijibu kwa jeuri na kuwaambia kwamba mvulana huyo alikuwa amelala. Polisi walilazimika kuingia ndani ya nyumba hiyo kwa nguvu na kumkuta kijana huyo akiwa amezirai, ” jirani, Florence Mwende, alisema.

Kamanda wa kituo cha polisi cha Laare Ezra Zambu, alithibitisha kukamatwa kwa mshukiwa huyo. Zambu alisema mvulana huyo alipoteza maisha yake akipelekwa katika hospitali ya Meru Level V kwani vituo vya afya vya eneo hilo havikuwa na uwezo wa kutibu kiwango cha majeraha aliyopata.

Mshukiwa hata hivyo alikanusha madai kwamba alimuua mvulana huyo akisema kwamba alikuwa anamtia tu adabu.

 Mamaake mtoto huyo alisema kuwa alisikia kutoka kwa watu waliokuwa katika kituo hicho cha polisi ambapo anafanya kazi kwamba kuliletwa mshukiwa aliyekuwa amemuua mtoto.

 Alipofuatilia ndiposa akabaini kuwa mshukiwa alikuwa ni mumewe.

 "Nilisikia kwamba kuna mtu amemuua mtoto. Na kwa sababu ninafanya kazi katika kituo hicho cha polisi kuwapa washukiwa chakula niliulizia na ndiposa nikabaini mtuhumiwa alikuwa mume wangu," alidokeza.

 Zambu aliwaonya wazazi dhidi ya kutumia nguvu kupita kiasi wakati wanapowaadhibu watoto akiongeza kwamba yeyote ambaye atapatikana na hatia ya kuwadhulumu watoto ataadhibiwa vikali kisheria. Alifichua kwamba mwili wa mtoto huyo utafanyiwa upasuaji kubaini kilichomuua.
 
Chanzo - Tuko News

Share:

Bwiru Boys’ Secondary School | S0104 NECTA Results ACSEE, CSEE & FTNA results, Contacts details.

About Bwiru Boys’ Secondary School Bwiru Boys’ Secondary School is a secondary school in Tanzania with The National Examinations Council of Tanzania (NECTA) registration number S0104 Bwiru Boys Secondary School is a School located in Bwiru Shule, ilemela, Mwanza, Tanzania . We provide secondary education for children. Our Mission:The School mission is to create well […]

This post Bwiru Boys’ Secondary School | S0104 NECTA Results ACSEE, CSEE & FTNA results, Contacts details. has been posted by Udahiliportal

Get more post by visiting Udahiliportal.com

know more details about Udahiliportal.com by visiting Udahiliportal.com - Find Jobs & Ajira mpya leo, ajira portal Tanzania, ajira yako, brighter Monday, mabumbe, mwananchi ajira, secretariet ya ajira, tamisemi ajira za afya, wizara ya afya, ajira Tanzania - selection za vyuo , selection, second selection vyuo, second selection, tamisemi selection, selection form one 2020/2021

This this content has been copied from udahiliportal.com , please kindly visit Udahiliportalto access full original content content or click here for more details

Share:

KILA MARA FAMILIA YETU ILIKUMBWA NA MIZOZO YA KILA MARA, MUME WANGU ALIZOZANA NA NDUGU ZAKE

Ndugu wanapaswa kuishi kwa amani kwa wakati wowte ule. Hili lilikuwa ni tofauti kabisa katika familia ya kina mume wangu kwani ndugu wote wane waliishi kuwa wenye ugomvi kila mara huku tusijue kile walichokuwa wakizozania kwa wakati ule. 

Nilidhania kwa wakati mwingine waligombania shamba lakini hili lilikuwa tofauti kabisa na kila mtu alikuwaq kasha pewa mgao wake wa shamba kwa usawa. 

Mali ambayo babayao aliwacha nyuma baada ya kufariki walikuwa wameigawanya kwa usawa na hakuna hata yeyote aliyewachwa nyuma ama kutengwa kwa wakati wowte ule. Sikujua chanzo haswa cha ugomvi baina yao. 

Hali ile ilipelekea hata mume wangu kutishiwa maisha yake na baadhi ya ndugu zake. Hakufahamu fika ni kwanini walitaka kumwangamiza licha yake kuwa ndugu wao wa toka nitoke. Siku zilivyosonga ndipo mambo yalizidi kuchacha hata zaidi. 

Hapo awali walikuwa wakikutana kwenye mikutano ya familia na kuzungumza mambo yaliyowasumbua kama ndugu lakini kwa wakati huu hakuna hata aliyetaka kumwona mwenzake mume wangu pia akiwemo. 

Tulijaribu kuketi chini kama wake wenye boma lile ile kutafuta mwafaka katika familia ile lakini mambo yalikuwa ni magumu zaid kwani pia mashemeji wangu walikuwa na kinyongo nisijue hata jinsi ningewakaribia. Walikuwa washaingiza kasumba ya waume zao maishani mwao. Hakuna aliyetaka hata kumwaona mwingine.

 Tulikuwa tunaishi kwenye boma moja sisi wote na hakuna aliyetaka mwanawe apatikane akicheza na watoto wengine kwani hio ilikuwa ni hatia kubwa zaid kuwahi kufanyika. Suala lile lilinipa mzongo wa mawazo kwani sikuona pia haja ya kuendelea kukaa kwenye familia ile ambayo kila mtu alikuwa na hasira na mioyo mbaya yeneye wivu. 

Nilianza kumweleza mume wangu kuwa nilikuwa katika harakati za kutaka kuondoka kwenye familia ile kwa kuwa singesubiri kukaa pale. Lakini kabla ya kuondoka kwangu, nilipatana na Eunice ambaye alisema kwamba familia yao pia ilikuwa na shida sampuli ile lakini daktari tajika wa miti shamba kwa jina Kiwanga alimaliza shida ile kabisa.

 Alinielekeza kwenye mtandao www.kiwangadoctors.com na hapo nikapatana na shuhuda ambazo nilimwambia mume wangu na hapo akakumbatia wito wa kumtembelea daktari Kiwanga kwa usaidizi. Tulifunga safari na kuenda hadi mjini Kericho ambako daktari Kiwanga alikuwa akifanyia kazi.

 Nilimwelezea shida pamoja na mume wangu na hapo akasema kuwa alikuwa amesaidia watu wengi waliokuwa na shida sampuli zile na kwamba yetu ilikuwa tu ni kitu kidogo. Alitupa dawa kama tembe ambayo alitushauri tuipande kwenye kiingilio cha boma letu. Tulirejea nyumbani na tukafanya aliyotuambia daktari Kiwanga. 

Baada ya siku tatu ama kwa hakika mambo yalikuwa ni tofauti kweli. Kila kitu kilikuwa kimeanza kurejea kwa kawaida kwani ndugu wale walianza kuzungumza.

 Baada ya wiki moja waliandaa sherehe pale nyumbani na kwenye sherehe ile ajenda ilikuwa ni kuzika tofauti zao kwenye kaburi la sahau. Mambo yakikuwa yamebadilika kwenye boma lile. Hali ya upendo ilikuwa imerejea tena. Kila aliyetaka kufanya jambo alifanya kwa ushauri wa wale ndugu wote wanne.

 Tangu siku ile maisha yalikuwa mazuri kwani tuliishi kwa amani na upendo kama familia moja kwa hisani ya daktari Kiwanga. Wanatibu magonjwa ya zinaa kama vile kaswende, kisonono na magonjwa mengine kwa muda wa siku tatu pekee. 

Wanakuwezesha kusuluhisha migogoro ya baina ya wanafamilia na kuleta umoja na upendo katika familia zile. Bishara yako inaweza kuimaraika kwa uwezo wao kwa wakati wowte ule. Kwa mengi zaidi wasiliana nao kupitia barua pepe kiwangadoctors@gmail.com ama kwenye wavuti www.kiwangadoctors.com ama waweza kuwasiliana nao kupitia nambari ya simu +254 769404965.

Share:

KARIA ANG'ARA TENA TFF...WAJUMBE WAMPA MINNE MINGINE

Rais wa TFF, Wallece Karia

Wajumbe wa mkutano mkuu wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), leo Jumamosi, wamemthibitisha Wallece Karia kuendelea kuwa Rais wa shirikisho hilo kwa kura zote 80 sawa na asilimia 100.

Wallece Karia alikuwa ndiye mgombea pekee wa nafasi hiyo.
Share:

MO DEWJI AMCHENJIA CHAMA KISA HAJI MANARA

Staa wa Simba, Clatous Chama jana jioni ameonja joto ya jiwe baada ya kuchenjiwa kibao na muwekezaji wa klabu hiyo, Mo Dewji kisa Haji Manara.

Chama akiwa Live Insta kwenye mkutano wake na mashabiki ambao Mo alikuwemo, aliulizwa swali kuhusu kuondoka kwa Haji Manara ndani ya klabu ya Simba, kwenye kujibu Chama alimsifia Haji kitendo ambacho kilionekana kumchefua Mo.

Mo alimuuliza Chama "Haji ndiye aliyekulipia ada ya uhamisho?" Chama akiwa anamjibu Mo alijibu kwa kuomba msamaha kama amemkwaza, Mo akamuuliza tena Nani aliyekulipa Ada....Haji?  baadae Chama alipotaka kujibu Mo akamwambia anatoka kwenye mkutano huo.

Hat hivyo Chama amenukuliwa akisema "Kama Miquissone akiondoka, mimi pia ikija ofa nzuri klabu ikakubali nitaondoka. Nimekaa Simba miaka mitatu, nimefanya mambo mazuri, mashabiki wajue kuwa haya ni mambo ya kawaida yanatokea. Nilishasema tangu awali kama muda ukifika na mimi nitaondoka endapo ofa itakuja na Simba ikikubali,”.

Chama ambaye amekuwa na mchango mkubwa kwa klabu hiyo tangu ajiunge nayo mwaka 2018, aliongeza: “Ukitazama miaka yangu mitatu hapa Tanzania, nadhani nimefanya vizuri kwa timu, ninauhakika mashabiki wanapaswa kuelewa, endapo kuna klabu kubwa itajitokeza tutakaa na kujadili tukikubaliana na Simba ikikubali nitaondoka.”

Kwa misimu yote mitatu ambayo ameichezea Simba, Chama ameiwezesha klabu hiyo kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu mara tatu, huku ikibeba Kombe la FA mara mbili mfululizo na kufika hatua ya robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika mara mbili.

Tayari Simba ipo katika mipango ya kuboresha kikosi chake na imeshatangaza usajili wa wachezaji wawili, winga Mmalawi Peter Banda pamoja na mshambuliaji Yusuph Mhilu kutoka Kagera Sugar.

Mtendaji Mkuu wa Simba, Barbara Gonzalez, alimwambia mwandishi wetu kuwa, bado wataendelea kutangaza usajili mpya kwa ajili ya kukiimarisha kikosi hicho kwa michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika na ile ya ndani. “Kwa sasa kazi yetu ni moja tu, kutangaza usajili, mambo mengine tunayaweka kando kwanza,” alisema.
Share:

MBISSO : TUME YA UTUMISHI WA UMMA NI MATOKEO YA MABORESHO YA SERIKALI KUUFANYA UTUMISHI WA UMMA UONGEZE UFANISI NA UWAJIBIKAJI

Kaimu Katibu wa Tume ya Utumishi wa Umma, Bw. John Mbisso (kulia) akitoa ufafanuzi wakati wa Kikao cha Kazi cha Tume na Wadau kujadili Mpango Mkakati, Mkoani Morogoro kushoto ni Bw. David Pwele, Kaimu Mkurugenzi wa Kitengo cha Mipango, Tathmini na Ufuatiliaji.
Picha ya pamoja ya Washiriki kutoka Tume ya Utumishi wa Umma na Wadau kujadili Mpango Mkakati wa Tume, Kikao kinachofanyika Mkoani Morogoro.
 ***
Kaimu Katibu wa Tume ya Utumishi wa Umma Bw. John Mbisso amesema kuwa Tume ni matokeo ya maboresho mbalimbali yaliyoanzishwa na Serikali kwa lengo la kuufanya Utumishi wa Umma uongeze ufanisi na uwajibikaji katika utoaji wa huduma kwa wananchi.

Bwana Mbisso amesema haya jana Mkoani Morogoro wakati wa Kikao kazi cha Tume na wadau kujadili Mpango Mkakati wa Tume ya Utumishi wa Umma ulioandaliwa wa kipindi cha mwaka 2021/22 hadi 2025/2026.

Amesema kuwa pamoja na malengo makuu ya Sera ya Menejimenti na Ajira ya mwaka 1999, kukabiliana na changamoto mbalimbali katika Utumishi wa Umma, Sera hii ililenga pia kuunganisha Tume tofauti zilizokuwepo na kuunda Tume moja ya Utumishi wa Umma ambayo ingesimamia taratibu zote za ajira na nidhamu katika Utumishi wa Umma.

“Madhumuni ya kuundwa kwa Tume ya Utumishi wa Umma ilikuwa ni kuhakikisha kuwa Utumishi unakuwa mmoja na watumishi wote wana taratibu za usimamizi, hadhi, haki na maslahi yanayofanana” amesema Bwana Mbisso.

“Jukumu la msingi la Tume ni kurekebu (regulate) Utumishi wa Umma nchini ili kuimarisha utawala bora na uwajibikaji kwa Viongozi na watumishi wa ngazi zote katika Utumishi wa Umma. Aidha, Tume inasimamia, kufuatilia na kutathmini uzingatiaji wa Sheria, Kanuni na Taratibu zinazosimamia Utumishi wa Umma nchini. Kazi kubwa ya Tume ni kufuatilia na kusimamia uendeshaji wa shughuli za Rasilimali Watu katika Taasisi za Umma, kuhakikisha kuwa Utumishi wa Umma unaendeshwa kwa mujibu wa Sheria, Kanuni na Taratibu, pamoja na kupokea na kushughulikia rufaa za watumishi wa umma kupinga maamuzi yaliyotolewa na Mamlaka zao za Nidhamu” alifafanua Bw. Mbisso.

Bw. Mbisso alihitimisha kwa kusema kuwa, Tume itaendelea kutekeleza majukumu yake iliyonayo chini ya Sheria ya Utumishi wa Umma Sura ya 298 (marejeo ya mwaka 2019) katika kuhakikisha kuwa Waajiri, Mamlaka za Ajira na Mamlaka za Nidhamu katika Utumishi wa Umma zinatekeleza majukumu yake kwa kuzingatia Sheria, Kanuni, Taratibu na Miongozo inayotolewa ili azma ya Serikali ya kuwa na Utumishi wa Umma uliotukuka iweze kufikiwa

Imeandaliwa na:

KITENGO CHA MAWASILIANO SERIKALINI

TUME YA UTUMISHI WA UMMA

MOROGORO

07 AGOSTI 2021
Share:

Economic Strengthening Advisor at CVPeople Tanzania

Economic Strengthening Advisor CVPeople Tanzania | Full time Dar es salaam , Tanzania | Posted on 06/18/2021 Position Purpose: The Economic Strengthening Advisor will be responsible for the design, implementation and technical quality of strategies and activities to improve the economic stability of young people and households caring for OVC. The Economic Strengthening Advisor plays […]

This post Economic Strengthening Advisor at CVPeople Tanzania has been posted by Udahiliportaldaily

Get more post by visiting Udahiliportal.com

know more details about Udahiliportal.com by visiting Udahiliportal.com - Find Jobs & Ajira mpya leo, ajira portal Tanzania, ajira yako, brighter Monday, mabumbe, mwananchi ajira, secretariet ya ajira, tamisemi ajira za afya, wizara ya afya, ajira Tanzania - selection za vyuo , selection, second selection vyuo, second selection, tamisemi selection, selection form one 2020/2021

This this content has been copied from udahiliportal.com , please kindly visit Udahiliportalto access full original content content or click here for more details

Share:

Administrative Officer at SNV

Administrative Officer   SNV  Dodoma, Dodoma, Tanzania Background SNV Netherlands Development Organisation is a not for profit international development organisation. Founded in the Netherlands 50 years ago and we have built a long- term, local presence in 39 of the poorest countries in Asia, Africa and Latin America. Our global team of local and international […]

This post Administrative Officer at SNV has been posted by Udahiliportaldaily

Get more post by visiting Udahiliportal.com

know more details about Udahiliportal.com by visiting Udahiliportal.com - Find Jobs & Ajira mpya leo, ajira portal Tanzania, ajira yako, brighter Monday, mabumbe, mwananchi ajira, secretariet ya ajira, tamisemi ajira za afya, wizara ya afya, ajira Tanzania - selection za vyuo , selection, second selection vyuo, second selection, tamisemi selection, selection form one 2020/2021

This this content has been copied from udahiliportal.com , please kindly visit Udahiliportalto access full original content content or click here for more details

Share:

Customer Success Manager at SUMET

Customer Success Manager   SUMET  Dar es Salaam, Tanzania Chief Executive Officer at SUMET The ideal candidate will have impeccable relational skills and can create win/win environments for all parties that he or she works with. This candidate will be responsible for providing an excellent customer success leadership experience and help customers success agents achieve […]

This post Customer Success Manager at SUMET has been posted by Udahiliportaldaily

Get more post by visiting Udahiliportal.com

know more details about Udahiliportal.com by visiting Udahiliportal.com - Find Jobs & Ajira mpya leo, ajira portal Tanzania, ajira yako, brighter Monday, mabumbe, mwananchi ajira, secretariet ya ajira, tamisemi ajira za afya, wizara ya afya, ajira Tanzania - selection za vyuo , selection, second selection vyuo, second selection, tamisemi selection, selection form one 2020/2021

This this content has been copied from udahiliportal.com , please kindly visit Udahiliportalto access full original content content or click here for more details

Share:
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive

Copyright © MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger