Thursday, 1 April 2021

RAIS SAMIA ATAKA MAPATO YA SERIKALI KUFIKIA TRILIONI 2 KWA MWEZI, ADOKEZA UTEUZI MPYA....MAKATIBU WAKUU MATUMBO JOTO

Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan

Na Damian Masyenene
Katika kuongeza mapato ya Serikali, Rais Samia ameitaka Wizara ya fedha kutengeneza mazingira mazuri ya kukusanya kodi na kucha kutumia mabavu bila maarifa hali inayosababisha kuua bishara nyingi nchini, huku akiitaka wizara hiyo kuhakikisha inakusanya mapato yapatayo Sh Trilioni 2 kwa mwezi.

"Mwende mkatanue wigo wa kodi na kutenegeneza walipa kodi wengi zaidi, manake kwa sasa mnaua walipa kodi wengi zaidi, mnatumia nguvu zaidi kuliko akili na maarifa," amesisitiza.

Hata hivyo, Rais Samia amewapongeza viongozi hao kwa kuaminiwa kwa kurudi wote na mabadiliko kidogo katika kuliendesha jahazi ambalo linatakiwa likate mawimbi safari ifike salama.

Pia amempongeza Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Hussein Katanga kwa kuibua tatizo ndani ya utendaji wa wizara ambazo zimekuwa zikifanya kazi bila kuwa na muunganiko (Coordination), hivyo akamtaka kuhakikisha analimaliza tatizo hilo na serikali inafanya kazi kwa pamoja kwa ajili ya kuwatumikia wnaanchi.

"Coordination katika serikali yetu ni ndogo sana, kila waziri anashika lake, huo ugonjwa uliouibua ndiyo wenyewe na wewe ndiye daktari wa kuutibu.

"Serikali hii ni moja, hamna haja ya kugombana wala kuvuatana mara huyu kanichukulia instrument, kaeni muone njia gani mtaweza kufanya kazi kwa pamoja. Sisi ni watumishi wa Watanzania na nitakuwa na kipimo cha mabega, nikiona mtu mabega yamepanda juu najua huyu siyo mtumishi," ameeleza. 

ADOKEZA UTEUZI MWINGINE
KATIKA kuhakikisha kuwa anapata wasaidizi wazuri, weledi, waadilifu, wachapa kazi na watakaosaidia kufikia malengo yaliyokusudiwa, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amedokeza kuwa kutakuwa na uteuzi mwingine baada ya sikukuu ya Pasaka.

Rais Samia ametoa dokezo hilo leo Aprili 1, 2021 Ikulu ya Chamwino jijini Dodoma wakati wa kuwaapisha Katibu Mkuu Kiongozi, Mawaziri nane na naibu mawaziri nane walioteuliwa jana.

Akizungumza baada ya kuwaapisha viongozi hao, Rais Samia alianza kwa salamu na kuwatania Makatibu wa Wizara kwa kuwataka wasiwe wanyonge kwani leo haikuwa siku ya kuwafanyia mabadiliko, lakini akasisitiza kuwa siku yao inakuja.

"Makatibu wakuu msiwe wanyonge, siyo leo lakini inakuja," amesema huku akitabasamu.

Hata hivyo, akihitimisha hotuba yake katika hafla hiyo, Rais Samia amesema kuwa Jumanne baada ya Sikukuu ya Pasaka kuna uwezekano mkubwa wa kukutana tena Ikulu kuapisha viongozi wengine.

"Baada ya sikukuu ya pasaka tutakuja kuapishana hapa na wengine," amesisitiza.

Kauli hizo za Rais Samia zinakuja baada ya Makamu wa Rais, Dk. Philip Mpango kumuelekeza Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Hussein Katanga kushughulikia mivutano baina ya Makatibu wakuu na manaibu wao.

"Mawaziri na manaibu waziri kuvutana natumaini wamesikia na hili tutalifuatilia, chapeni kazi tunajenga nyumba moja hakuna haja ya kuvutana.

"Mheshimiwa katibu mkuu kiongozi kuna mivutano baina ya makatibu wakuu na manaibu wao, wapo baadhi ya makatibu wakuu ambao manaibu wao wakifanya vizuri inakuwa shida, hasa wanapopaza sauti zao juu ya matumzi ya fedha inakuwa nongwa...waambie tunafuatilia na tutachukua hatua," ameagiza Dk. Mpango.

Vile Vile, Dk. Mpango amemuagiza Waziri wa Ferdha, Mwigulu Nchemba akisaidiana na naibu wake, handisi Hamad Masauni pamoja na timu nzima kutatua masuala ya kifedha ya Muungano, huku akimtaka Waziri wa Tamisemi, Ummy Mwalimu kukusanya vyema maduhuli na kusimamia matumizi ya fedha kwani mapato kutoka kwenye taasisi na mashirika ya Serikali ni kiduchu.

KAMPENI 2025
Rais Samia ameonya pia chochoko za baadhi ya wanasiasa na viongozi ambao wameanza maneno na kufanya kampeni za mapema kuelekea mwaka 2025.

"Nafahamu 2025 ipo karibu, inapofika kipindi cha mwisho cha awamu najua kunakuwa na hili na lile, nawaambieni acheni. hili na lile yatakuja baadae, wenye nia na 2025 acheni.

"Kuna wengine wamekosa hizi nafasi kwa sababu ya rekodi zao tu, rekodi zako zitakufuata, na mimi nitawaangalia," amebainisha.

Share:

Senior Technical Advisor: Clinical and Training/Training Lead at Jhpiego

This this content has been copied from Udahiliportal , please kindly visit udahiliportal.com to access full content

Jhpiego seeks a Senior Technical Advisor: Clinical and Training/Training Lead for an upcoming Centers for Disease Control and Prevention (CDC)/PEPFAR-funded voluntary medical male circumcision (VMMC) project in Tanzania. The project aims to contribute to the PEPFAR goal of achieving HIV epidemic control through the scale-up of quality, safe VMMC services targeting adult men and high-risk […]

This this content has been copied from udahiliportal.com , please kindly visit Udahiliportalto access full original content content or click here for more details

Share:

Finance and Administration (F&A) Manager at Jhpiego

This this content has been copied from Udahiliportal , please kindly visit udahiliportal.com to access full content

Overview Jhpiego seeks a Finance and Administration (F&A) Manager to provide financial and administrative management for an upcoming Centers for Disease Control and Prevention (CDC)/PEPFAR-funded voluntary medical male circumcision (VMMC) project in Tanzania. The project aims to contribute to the PEPFAR goal of achieving HIV epidemic control through the scale-up of quality, safe VMMC services targeting adult […]

This this content has been copied from udahiliportal.com , please kindly visit Udahiliportalto access full original content content or click here for more details

Share:

Monitoring and Evaluation Lead/Strategic Information Advisor at Jhpiego April, 2021

This this content has been copied from Udahiliportal , please kindly visit udahiliportal.com to access full content

Overview Jhpiego seeks a Monitoring and Evaluation Lead/Strategic Information Advisor to provide technical leadership, oversight and strategic direction for monitoring and evaluation (M&E) activities for an upcoming Centers for Disease Control and Prevention (CDC)/PEPFAR-funded voluntary medical male circumcision (VMMC) project in Tanzania. The project aims to contribute to the PEPFAR goal of achieving HIV epidemic […]

This this content has been copied from udahiliportal.com , please kindly visit Udahiliportalto access full original content content or click here for more details

Share:

Quality Control Officer at Kazinikwetu Limited

This this content has been copied from Udahiliportal , please kindly visit udahiliportal.com to access full content

QUALITY CONTROL OFFICER Kazinikwetu Limited on behalf of a client is looking for a Quality Control Officer for a manufacturing company to be based in Dar-es salaam Tanzania Key Duties and Responsibilities Build strategic SHEQ understanding Drive quality improvement in Manufacturing Maintain safety, health and environment standards Comply with quality systems, standards and practices Ensure […]

This this content has been copied from udahiliportal.com , please kindly visit Udahiliportalto access full original content content or click here for more details

Share:

DKT. BASHIRU ALLY NA WENZAKE WAAPISHWA KUWA WABUNGE....NDUGAI AAHIRISHA BUNGE HADI APRILI 6

Spika wa Bunge Job Ndugai leo April 1, 2021 amewaapisha wabunge watatu walioteuliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan kuwa wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Wabunge hao ni Balozi Dkt. Bashiru Ally, Balozi Mbarouk Nassor Mbarouk na Balozi Liberata Mulamula ambao kwa pamoja wameapa mbele ya Spika wa Bunge.

Pia Spika Ndugai ametumia nafasi hiyo kuahirisha vikao vya Bunge hadi April 6 mwaka huu saa 3:00 Asubuhi na kuwatakia heri ya sikukuu ya Pasaka waumini wote wa madhehebu ya Kikristo.

Share:

MEL Technical Advisor at Pathfinder International

This this content has been copied from Udahiliportal , please kindly visit udahiliportal.com to access full content

Pathfinder Overview Pathfinder International is driven by the conviction that all people, regardless of where they live, have the right to decide whether and when to have children, to exist free from fear and stigma, and to lead the lives they choose. Since 1957, we have partnered with local governments, communities, and health systems in […]

This this content has been copied from udahiliportal.com , please kindly visit Udahiliportalto access full original content content or click here for more details

Share:

KATIBU MKUU KIONGOZI, MAWAZIRI 8 NA MANAIBU MAWAZIRI 8 KUAPISHWA LEO SAA 9 ALASIRI

Share:

Driver at International Organization for Migration

This this content has been copied from Udahiliportal , please kindly visit udahiliportal.com to access full content

POST DESCRIPTION I. POSITION INFORMATION Vacancy Notice Number IOM/KSU/004/2021 Position title Driver Position grade G2-Graded Duty station Kasulu, Tanzania Type of Appointment & Durations SST-6 Months with possibility of extension Job family Support Unit Organizational unit Resource Management Unit Position rated on N/A Reports directly to Procurement & Logistics Officer Overall supervision by Head of Sub […]

This this content has been copied from udahiliportal.com , please kindly visit Udahiliportalto access full original content content or click here for more details

Share:

INTERN CSA-5 at Absa Bank

This this content has been copied from Udahiliportal , please kindly visit udahiliportal.com to access full content

With over 100 years of rich history and strongly positioned as a local bank with regional and international expertise, a career with our family offers the opportunity to be part of this exciting growth journey, to reset our future and shape our destiny as a proudly African group. Job Summary To advise customers and process […]

This this content has been copied from udahiliportal.com , please kindly visit Udahiliportalto access full original content content or click here for more details

Share:

INTERN CSA-4 at Absa Bank

INTERN CSA-3 at Absa Bank

INTERN CSA-2 at Absa Bank

This this content has been copied from Udahiliportal , please kindly visit udahiliportal.com to access full content

With over 100 years of rich history and strongly positioned as a local bank with regional and international expertise, a career with our family offers the opportunity to be part of this exciting growth journey, to reset our future and shape our destiny as a proudly African group.   Job Summary To advise customers and […]

This this content has been copied from udahiliportal.com , please kindly visit Udahiliportalto access full original content content or click here for more details

Share:

INTERN CSA-1 at Absa Bank

This this content has been copied from Udahiliportal , please kindly visit udahiliportal.com to access full content

With over 100 years of rich history and strongly positioned as a local bank with regional and international expertise, a career with our family offers the opportunity to be part of this exciting growth journey, to reset our future and shape our destiny as a proudly African group. Job Summary To advise customers and process […]

This this content has been copied from udahiliportal.com , please kindly visit Udahiliportalto access full original content content or click here for more details

Share:

INTERN CSA-6 at Absa Bank

Wednesday, 31 March 2021

HAYA HAPA MAGAZETI YA LEO ALHAMISI APRILI 1, 2021

Magazetini leo Alhamis April 1 2021

R

Share:

RAIS SAMIA AMTEUA BALOZI YAHAYA KATTANGA KUWA KATIBU MKUU KIONGOZI KUCHUKUA NAFASI YA DK. BASHIRU

Balozi Hussein Yahaya Kattanga
**
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amemteua Balozi wa Tanzania nchini Japan, Hussein Yahaya Kattanga ameteuliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan kuwa Katibu Mkuu Kiongozi wa Serikali na kushika nafasi ya aliyekuwa katibu mkuu Kiongozi Dkt. Bashiru Ally ambaye ameteuliwa kuwa Mbunge.

Rais wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu leo ameteua wabunge wapya watatu ambao ni Dkt. Bashiru Ally, Mbarouk Nassor Mbarouk na Balozi Liberata Mulamula.
Share:
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive

Copyright © MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger