Tuesday, 14 April 2020

Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Jumanne April 14





















Share:

Monday, 13 April 2020

Wenye Virusi Vya Corona Nchini Kenya Wafika 208...40 Wamepona,9 Wamefariki

Watu wengine 11 wamegundulika kuwa na virusi vya Corona nchini Kenya na kufanya idadi ya maambukizo kufikia watu 208.

Mtu mmoja pia amethibitishwa kufariki ndani ya saa 24 zilizopita na kufanya idadi ya vifo vinavyotokana na virusi hivyo kufikia watu tisa.

Kwa mujibu wa waziri Kagwe wagonjwa wapya 11 wote ni raia wa Kenya kati yaowanawake sita na wanume watano.

Wanne kati yao walikuwa wamesafiri kutoka Falme za Kiarabu (UAE) huku waliosalia wakiwa hawana historia ya kusafiri. 

Pia takriban wagonjwa 15 waliokuwa wakiugua virusi vya corona nchini humo wamepona katika kipindi cha saa 24 zilizopita  na kufanya idadi ya waliopona kufika 40.


Share:

Video Mpya : KISIMA 'NYANDA MAJABALA' - CORONA

Nakualika kutazama video mpya ya Msanii wa Nyimbo za Asili Kisima 'Nyanda Majabala' kutoka mkoani Simiyu inaitwa Corona...
Tazama hapa chini
Share:

Wimbo Mpya : MAGULUMBATA - CORONA


Huu hapa wimbo mpya wa Magulumbata unaitwa Corona.
Usikilize hapa chini

Share:

RC Anna Mghwira Atembelea na kukagua mipaka wilayani Rombo na nchi jirani ya Kenya...Ataka Familia Zenye Watu Walioingia Nchini Kwa Kificho Zitoe Taarifa

Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Anna Mghwira amezitaka familia zilizopokea ndugu kutoka nchi jirani kupitia njia za panya na hawakukaa karantini kwa siku 14, kuwapeleka kwenye vituo vya afya ili kupimwa afya zao kama wana maambukizi ya homa ya mapafu inayosababishwa na virusi vya corona.

Mkuu huyo wa Mkoa ametoa agizo hilo leo Jumatatu Aprili 13, 2020 baada ya kutembelea na kukagua  mipaka wilayani Rombo na nchi jirani ya Kenya iliyopo Rongai, Kamwanga na Holili.

''Niziombe familia zote za Rombo ambako kuna mwingiliano na nchi jirani ya Kenya kama wana ndugu yako amekuja kutokea nchi jirani wampeleke akapime na akae siku 14 ili tuthibitishe hana maambukizi ya ugonjwa na hata kuambukiza wengine na kutupa ugumu wa kuwahudumia.”

“Lindeni afya zenu hakikisheni anayeingia ni mzima na salama na awe ametumia taratibu za afya. Akiingia msiyemtambua chukueni namba wapatieni maofisa waliopo karibu yenu. Nimemwagiza Mganga mfawidhi wa Wilaya ahakikishe hapa Rongai watu wote wanapimwa na nyie muwe wasimamizi wenyewe kwa wenyewe,” amesema Mghwira.


Share:

TFF Wasitisha Mikutano Ya Moja Kwa Moja na Waandishi Wa Habari Ili Kukabiliana Na Corona




Share:

Polisi Ecuador wakusanya mitaani maiti 800 za Waliofariki Kwa Corona na Kutelekezwa

Ecuador imesema polisi wameondoa karibu miili 800 katika wiki za karibuni kutoka katika makazi mjini Guayaquil, sehemu iliyoathiriwa kwa kiasi kikubwa na mlipuko wa virusi vya corona, baada ya ugonjwa huo kuzidi uwezo wa huduma za dharura, hospitali na kampuni za mazishi.

Wafanyakazi katika vyumba vya kuhifadhia maiti katika mji huo wa pwani wamekuwa wakishindwa kukabiliana na vifo, huku wakazi wakituma video katika mitandao ya kijamii zinazoonyesha miili iliyotelekezwa mitaani


Ecuador ambayo kisa cha kwanza cha maambukizi ya virusi vya corona kilibainika Februari 29 kwa sasa ina maambukizi 7,500 na kwamba vifo ambavyo vinahusishwa na virusi vya corona vinakadiriwa kuwa kati ya 2,500 na 3,500.


Share:

Watu 100 wafariki dunia Kwa Corona ndani ya saa 24 nchini Uturuki

Karibu vifo vipya 100  vimeripotiwa ndani ya masaa 24 siku ya Jumapili nchini Uturuki, na kusababisha jumla ya vifo vinavyohusiana na ugonjwa wa Covid19 kufikia hadi 1,198 nchini, Waziri wa Afya wa Uturuki, Fahrettin Koca ametangaza.

Mbali na vifo vipya 97, kesi 4,789 mpya za maaambukizi mapya za virusi hivi, ambayo ilitokea nchini China mwezi Desemba kabla ya kusambaa hadi nchi mbalimbali duniani, zilibainika ndani ya siku moja, na kuifanya idadi ya wagonjwa kufikia 56,956 tangu kuanza kwa janaga hilo

Katika juhudi za kupambana na virusi vya Corona, Uturuki kwa mara ya kwanza ilitangaza marufuku ya kutoka nje mwishoni mwa juma lililopita


Share:

MKUU WA MKOA WA SIMIYU ANTHONY MTAKA AOMBOLEZA KIFO CHA JOSEPHAT TORNER

Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Mhe. Anthony Mtaka ametuma  Salamu za Pole na Rambi rambi kufuatia kifo cha  Mwanaharakati wa Haki za Watu Wenye Ualbino Josephat Torner Nkwabi (40) ambaye amefariki dunia baada ya kugongwa na Hiace ‘ Daladala’ akivuka barabara jijini Mwanza.

Kupitia Mtandao wa Instagram, Mhe. Anthony Mtaka ameandika ujumbe ufuatao :


Mungu akupe pumziko la milele kaka na rafiki yangu Josephat Torner Nkwabi,-Ulikuwa mwanaharakati na mdau wa kweli wa maendeleo ya Mkoa wa Simiyu,ajali imekatiza maisha yako,mchango wako kwenye mapambano dhidi ya ukatili wa watu wenye Albino hautasahaulika,uliwasemea,uliwatetea,na zaidi ulijitoa katika kuwatunza na kuwasomesha watoto wenye Albino chini ya Taasisi yako ya "Joseph Torner Foundation" Uliuunganisha mkoa wetu na mashirika mengi ya kitaifa na Kimataifa,wakati wote Simiyu ilikaa moyoni mwako.
Natoa pole kwa familiya yako,mke na wanao,natoa pole nyingi kwa Chama cha watu wenye Albino Tanzania kwa kumpoteza mtu ambaye alijitoa kwa hali na mali kwa faida ya wenzake,zaidi nawapa pole wananchi wa Wilaya ya Busega (Nyumbani)ambao walishirikiana na Josephat katika mambo mengi ya maendeleo.
Hakika hii dunia sisi ni wapitaji,Mungu akupokee kwenye nuru ya uso wake Mbinguni.



Share:

Public Health Specialist-Epidemics – Tanzania Country Office at Save the Children

Public Health Specialist-Epidemics – Tanzania Country Office TEAM/PROGRAMME: Humanitarian Response Team LOCATION:  Dar es Salaam with frequent travel to the field GRADE:  Grade 2 CONTRACT LENGTH:  Six months Child Safeguarding: Level 3:  the post holder will have contact with children and/or young people either frequently (e.g. once a week or more) or intensively (e.g. four days in one month or more or overnight) because they work country… Read More »

The post Public Health Specialist-Epidemics – Tanzania Country Office at Save the Children appeared first on Udahiliportal.com.

Share:

Watiwa Mbaroni Kwa Tuhuma Za Mauaji Ya Mwalimu

Jeshi La Polisi mkoani Dodoma, linawashikilia watu watano kwa tuhuma za mauaji ya Mwalimu Eradius Lucas Mgaya wa Kijiji cha Chilungulu, Tarafa ya Bahi .

Hayo yalisemwa jana na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma, Gilles Muroto wakati akiongea na waandishi wa habari.

Alisema tukio hilo  lilitokea Aprili 7, mwaka huu ambapo inadaiwa kuwa watuhumiwa hao watano (hakiwataja majina)walimpiga mwalimu huyo na kitu chenye ncha kali na kumtupa kwenye shamba la shule baada ya kumvizia njiani wakati akirejea nyumbani kwake .

“Bado tunaendelea kufanya uchunguzi kuhusiana na tukio la kifo cha Mwalimu Godfrey na tunaendelea kuwashikilia watuhumiwa wa mauaji hadi hapo uchunguzi utakapo kamilika,” alisema Kamanda Muroto.

Wakati huo huo Kamanda huyo wa Mkoa wa Dodoma aliwataka wenye magari kuchukua tahadhari kuhifadhi magari yao katika mazingira salama ikiwa ni pamoja na kuepuka kuegesha magari katika mazingira yanayowavutia wahalifu kuiba.

Alisema uchunguzi wa Jeshi la Polisi mkoani hapa umebaini kuwa magari yanayowaniwa zaidi ni yale yanayotumia funguo za ‘Sensor’ ambazo hazihitaji kuchongwa .

“Tunawashauri kuchukua tahadhari zote ikibidi wafunge Car truck system kwenye magari au CCTV kamera kuongeza utambuzi wa wahalifu baada ya matukio,”alisisitiza.

Aliwataka wenye magari kuwa makini na waosha magari, mafundi wao, madereva wanaotumia kusafirisha au kusafiri nao safari za mbali .


Share:

Senior Software Engineer at Bongo Live

Senior Software Engineer (NodeJS) Location: Dar es salaam Job Summary Bongo Live is looking for a star senior software engineer to join our team and help shape the future of cloud communication services across Africa. Job Description Company Description Bongo Live is a cloud communications service provider based in Dar es Salaam with a presence across 18+ African markets… Read More »

The post Senior Software Engineer at Bongo Live appeared first on Udahiliportal.com.

Share:

Wagonjwa wa Corona Zanzibar Wafika 12....Ni Baada ya Wengine Watatu Kuongezeka Leo




Share:

ASKARI POLISI AKUTWA AMEFARIKI DUNIA MTARONI


Askari wa kituo cha polisi Kia, Sajenti Juma Ango amekutwa akiwa ametupwa mtaroni mita chache kutoka kituo cha polisi Hai Mjini mkoani Kilimanjaro.

Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya amesema watu waliokuwa wakifyeka majani kandokando ya barabara ndiyo waliokutana na mwili huo.

Sabaya amesema mwili huo umekutwa ukiwa na na jeraha kubwa kisongoni na kwamba alikuwa amepigwa na kitu chenye ncha kali.

"Taarifa zinasemekana alikuwa na askari wenzake jana hadi saa nane usiku maeneo ya Msami,"amesema Sabaya.

Share:

Project Coordinator at Vi Agroforestry (Vi-skogen)

Job Title: Project Coordinator Project: Smallholder Coffee Development Project (SCDP) Duty Station: Mwanza, Tanzania Reports to: Tanzania Vi Agroforestry Country Manager Project Period: 1st of May 2020 – 31st April 2024 About Vi Agroforestry Vi Agroforestry (Vi-skogen) is a Swedish development cooperation organisation, fighting poverty and working with sustainable agriculture and land management through agroforestry – growing trees alongside… Read More »

The post Project Coordinator at Vi Agroforestry (Vi-skogen) appeared first on Udahiliportal.com.

Share:

Assistant Representative at UNFPA

Assistant Representative  Position Number: 3113 Location: Dodoma, Tanzania Full time Fixed term Non Rotational Duration: 1 Year initially with the potential for renewal subject to performance and available funding The Position Under overall guidance of the UNFPA Representative, and direct supervision by the Deputy Representative, the Assistant Representative provides support to ensure programme quality, efficiency and effectiveness of… Read More »

The post Assistant Representative at UNFPA appeared first on Udahiliportal.com.

Share:

Marketing Officer at Sunda Investment Company

Marketing Officer  Salary Currency: Tanzanian Shilling Conduct market research to identify selling possibilities and evaluate customer needs Actively seek out new sales opportunities through cold calling, networking and social media Set up meetings with potential clients and listen to their wishes and concerns Prepare and deliver appropriate presentations on products and services Create frequent reviews and reports with… Read More »

The post Marketing Officer at Sunda Investment Company appeared first on Udahiliportal.com.

Share:
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger