Sunday, 3 February 2019

JIKO LAUA WATOTO WAWILI TARIME

Jiko la mkaa lililokuwa ndani limesababnisha vifo vya watoto wawili baada ya kukosa hewa wakati wakiwa wamelala usiku. Tukio hilo limetokea usiku wa kuamkia leo Jumapili Februari 3, 2019, katika mtaa wa Kebaga, wilayani Tarime mkoani Mara kwa watoto hao Witness Machugu (1) na Christina Marwa mwenye...
Share:

BALOZI WA TANZANIA UJERUMANI AMVAA TUNDU LISSU

Balozi wa Tanzania nchini Ujerumani, Dk Abdallah Possi ametoa tamko akijibu madai ya Mbunge wa Singida Mashariki (Chadema), Tundu Lissu aliyoyatoa hivi karibuni nchini humo alipokuwa akihojiwa katika kipindi cha News Africa cha kituo cha televisheni cha Deutsche Welle (DW). Lissu ambaye kwa sasa...
Share:

MANARA AWAPA POLE WANA SIMBA KICHAPO CHA 5G

Afisa Habari wa klabu ya Simba, Haji Manara ameibuka kwa mara ya kwanza kufuatia kichapo cha pili mfululizo cha mabao 5-0 dhidi ya Al Ahly ya nchini Misri. Kupitia ukurasa wake wa Instagrma, Haji Manara amewapa pole mashabiki wa klabu hiyo na kuwapa ahadi kuwa Simba lazima ipate pointi 6 za nyumbani...
Share:

RAIS WA TFF AOMBA RADHI

Rais wa TFF, Wallace Karia amesema alimfananisha Mbunge Tundu Lisu na Richard Wambura kutokana na mambo wanayoyafanya. Wambura akisoma hotuba yake kwenye Mkutano Mkuu wa TFF jana Jumamosi jijini Arusha alisema watu wanaojifanya kina Tundu Lisu kwenye mpira hawatapewa nafasi. “Nilisema hivyo nikimfananisha Wambura na Tundu Lisu kutokana na namna watu hao wanavyozungumza kila siku. Kama kuna baadhi...
Share:

MBUNGE BOBALI ATISHIA KUJIUZULU

Sakata la ununuzi wa korosho limeendelea kuwasha moto bungeni baada ya Mbunge wa Mchinga (CUF), Hamidu Bobali kusema yupo tayari kujiuzulu ubunge iwapo itathibitika kwamba wakulima hawalipwi Sh2,640 kwa kilo badala ya Sh3,300 iliyotangazwa na Rais John Magufuli. Akichangia taarifa za kamati za Bunge za Bajeti na ya Uwekezaji wa Mitaji ya Umma (PIC) jana, Bobali alisema kwa taarifa zilizotolewa na...
Share:

AUAWA KWA KUKATWA MAPANGA AKITETEA MIFUGO ISILE MAZAO YAKE

Mkazi wa Kijiji cha Makole aliyetambulika kwa jina moja la Ally ameuawa kwa kukatwa mapanga. Kamanda wa Polisi mkoani Tanga, Edward Bukombe amethibitisha kutokea mauaji hayo yaliyofanyika kijiji cha Makole, Kata ya Kwalukonge wilayani Korogwe. Kamanda Bukombe alisema mauaji hayo yalitokea baada...
Share:

BASI LA FRESTER LAPATA AJALI BUKOBA

Abiria waliokuwa wakisafiri kutoka Bukoba mkoani Kagera kuelekea jijini Dar es salaam wamenusurika kifo huku watu wanane wakijeruhiwa sehemu mbalimbali za miili yao baada ya basi la Frester kupata ajali katika Kata ya Katahoka wilayani Biharamulo mkoani humo. Gari hilo limetambulika kwa namba za...
Share:

MAITI YAKUTWA IMESHIKILIA SAHANI YA WALI MKONONI

Kumetokea kisa cha ajabu mjini Matuu Kaunti ya Machakos nchini Kenya baada ya mfanyabiashara maarufu eneo hilo kukutwa katika gari lake akiwa amefariki huku ameshikilia sahani ya wali na pembeni kukiwa na chupa ya chai moto. Wengi walioshuhudia walipatwa na mshtuko mkubwa na haijabainika iwapo...
Share:

RAIS WA TFF AITIBUA CHADEMA KAULI YA "TABIA ZA U - TUNDU LISSU', WAMTAKA AOMBE RADHI

 Kauli ya Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Wallace Karia kumfananisha mbunge wa Singida Mashariki (Chadema) na Michael Wambura kwa kupinga hoja, kumeiibua Chadema na kumtaka rais huyo kuomba radhi hadharani. Chama hicho kikuu cha upinzani nchini kimetaja mambo manne kinachoazimia...
Share:

Saturday, 2 February 2019

WAARABU AL AHLY WAICHAPA SIMBA 5 - 0...KIPIGO CHA MBWA KOKO

Dakika 90 za Mchezo wa Ligi ya Mabingwa hatua ya Makundi kati ya Simba SC na Al Ahly zimemalizika kwa Simba SC kuambulia kichapo cha Bao 5 - 0....
Share:

Picha : UVCCM MKOA WA SHINYANGA WASHEHEREKEA MIAKA 42 YA CCM KWA BONANZA KUBWA

Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi UVCCM mkoa wa Shinyanga umefanya Bonanza lililohusisha michezo mbalimbali kwa lengo la kusherehekea miaka 42 ya Chama Cha Mapinduzi CCM. Bonanza hilo limefanyika leo Februari 2,2019 katika uwanja wa mpira wa CCM Kambarage uliopo mjini Shinyanga  Akizindua...
Share:

DAKIKA 45 ZA MWANZO : AL AHALY 5,SIMBA 0

...
Share:

TIMU YA NJOMBE MJI YASHINDWA KUTAMBA MBELE YA NAMUNGO FC UWANJA WA NYUMBANI

Na.Amiri kilagalila Timu za NJOMBE MJI FC na NAMUNGO FC zimegawana pointi moja, baada ya kumaliza dakika tisini za mchezo wa Ligi Daraja la Kwanza Tanzania Bara uliofanyika kwenye uwanja wa Sabasaba mjini Njombe mkoani mkoani humo, matokeo ambayo yamewafanya mashabiki wa soka wa Njombe mji kutoa lawama za wazi kwa waamuzi wanaochezesha michuano hiyo. Penati iliyochezwa dakika tatu kabla mpira haujamalizika...
Share:

RAIS MAGUFULI AMJULIA HALI CHARLES KITWANGA ALIYELAZWA HOSPITALI MUHIMBILI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Magufuli amemjulia Mbunge wa Jimbo la Misungwi, Charles Kitwanga aliyelazwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili Jijini Dar es Salaam. January 31 mwaka huu alisafirishwa kutoka Dodoma kwenda Hospitali ya Taifa ya Muhimbili kwa matibabu zaidi....
Share:

MCHIMBAJI WA MADINI AFARIKI KWA KUFUKIWA KIFUSI

Mtu mmoja aliyefahamika kwa jina la Joachimu Kibinda, (48), mchimbaji wa madini na mkazi wa Songambele, wilayani Simanjiro, amefariki dunia baada ya kuangukiwa na kifusi cha udongo akiwa anachimba madini.  Kamanda wa Polisi mkoani Manyara, Augustino Senga, alithibitisha kutokea kwa tukio hilo...
Share:

ABIRIA WANUSURIKA KIFO KATIKA AJALI YA BASI BIHARAMULO

Biharamulo, Na mwandishi wetu Abiria waliokuwa wakisafiri kutoka Bukoba kuelekea mikoani wamenusurika kifo huku Watu wanane wakijeruhiwa sehemu mbalimbali za miili yao baada ya kupata ajali wakiwa katika basi la Frester linalofanya safari zake Bukoba kwenda Dar es Salaam kisha kuacha njia na kupinduka katika kata ya Katahoka wilayani Biharamulo mkoani kagera. Gari hilo limetambulika kwa namba za...
Share:

NABII MTATA ANAYEPAA ANGANI AKAMATWA

Nabii mwenye utata raia wa Afrika Kusini Shepherd Bushiri wa kanisa la Enlightened Christian Gathering Church (ECG) ametiwa nguvuni.  Bushiri alikamatwa Ijumaa, Februari 1, jijini Rustenberg, Afrika Kusinia na kulingana na taarifa kutoka kanisa lake nabii huyo na mke wake wanatuhumiwa kwa ulanguzi...
Share:
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © 2025 MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger