Friday, 1 February 2019

SERIKALI YAONGEZA USALAMA WA TAARIFA ZAKE

Naibu waziri wa nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma Dokta Marry Mwanjelwa amezitaka taasisi za umma kuhakikisha suala la usalama wa taarifa za serikali linakuwa la lazima wakati wa kubuni,kusanifu,kujenga,kusimika na kuendesha mifumo ya TEHAMA. Dokta Mwanjelwa alitoa agizo hilo jiji Dodoma wakati akifungua kikao kazi cha pili cha serikali mtandao. Amesema njia moja wapo ya kujihakikishia...
Share:

MSAIDIZI WA ASKOFU KKKT AREKODIWA VIDEO AKIFANYA MAPENZI NA MTOTO WA MCHUNGAJI MWENZAKE KWENYE GARI

Mkuu wa Wilaya ya Iringa Mjini Richard Kasesela Mkuu wa Wilaya ya Iringa Mjini Richard Kasesela amelishauri Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania KKKT Dayosisi ya Iringa kumuondoa /kutomfumbia macho aliyekuwa Msaidizi wa Askofu wa Dayosisi hiyo mchungaji Yusto Kinyori kwa tuhuma ya kufanya mapenzi...
Share:

ALIYEMLA MWENZAKE AKAMATWA AKIJIFANYA DAKTARI

Raia mmoja nchini Urusi, Boris Kondrashin mwenye umri wa miaka 35, amekamatwa na polisi akijifanya daktari, baada ya kubainika kufanya tukio la mauji miaka 20 iliyopita, na kunywa damu ya mtu aliyemuua. Boris alikamatwa baada ya kupata taarifa kutoka kwa wakazi wa mji wa Chelyabinsk nchini humo,...
Share:

AKAMATWA AKISAFIRISHA MAITI YA MTOTO

Mwanaume mmoja anashikiliwa na vyombo vya usalama nchini Malawi baada ya kukutwa akisafiri na maiti ya mtoto kwenye treni. Akithibitisha kukamatwa kwa mtu huyo, Msemaji wa Jeshi la Polisi nchini humo, Joseph Sauka, amesema kwamba mwanaume huyo aliyejulikana kwa jina la James Majawa, 28, wa kijiji...
Share:

MWANAMUZIKI BOBI WINE ATANGAZA KUGOMBEA URAIS UGANDA KUMNG'OA MUSEVENI

Mwanamuziki Bobi Wine ambaye ni mbunge amesema atawania urais nchini Uganda katika uchaguzi mkuu ujao akidhamiria kumwondosha madarakani, Rais Yoweri Museveni. Bobi Wine ambaye jina lake halisi ni Robert Kyagulanyi, amekiambia kituo cha televisheni cha Marekani cha CNN kuwa amejiandaa kumkabili Rais...
Share:

SERIKALI KUONGEZA NGUVU YA SEKTA BINAFSI KUWAINUA WAJASIRIAMALI ILALA

Na Heri Shaban Serikali imesema itashirikiana na Kampuni ya Guru Planet kuwainua Wajasiriamali wa Wilaya ya Ilala. Hayo yalisemwa na Naibu Meya wa Manispaa ya Ilala Omary Kumbilamoto wakati wa ufunguzi wa tamasha la Wajasiriamali lililoandaliwa na Kampuni ya Guru Planet kwa kushirikiana na Manispaa ya Ilala Dar es Salam jana ambapo zaidi ya vikundi 300 vimeshiriki. Akizunguza katika tamasha hilo...
Share:

Uchawi Bariadi : BINTI AKUTWA CHINI YA UVUNGU WA KITANDA CHA BIBI YAKE HAJITAMBUI

Tukio la Mwanafunzi wa Shule ya Sekondari Ikinabushu (jina limehifadhiwa) kukutwa chini ya uvungu wa kitanda cha bibi yake, limetikisa viunga vya mji wa Bariadi, Simiyu.  Taarifa zaidi zinaripoti kwamba, mwanafunzi huo alitoweka katika mazingira ya kutatanisha tangu tarehe 25 Januari mwaka...
Share:

MASHETANI WEKUNDU WAMPATIA MKATABA MNONO ANTHONY MARTIAL

Mshambuliaji machachari wa Manchester United Anthony Martial amesaini kandarasi mpya na Manchester United itakayombakisha katika uga wa Old Trafford mpaka Juni 2024. Anthony Martial amefunga magoli 46  katika mechi 162 alizoichezea Manchester United. Martial mwenye miaka 23, alijiunga na United...
Share:

MAMA AVUA NGUO MAHAKAMANI ... ASHINDA KESI

Jepkosgei alikuwa akitarajia uamuzi wa kesi iliyojikokota kortini kwa muda wa miaka 10, Mama huyo aliamua kuvua nguo zote mahakamani baada ya jaji kuahirisha uamuzi wa kese hio tena kwa kudai alihitaji muda zaidi kupitia ushahidi. Alikasirishwa na jaji na kuanza kupiga kelele kortini huku akivua...
Share:

MKENYA CLIFTON MIHESO ATUA ULAYA

Aliyekuwa winga wa Afc Leopards Mkenya Clifton Miheso amejiunga na klabu ya Ureno Clube Olimpico de Montijo. Klabu hiyo ya Ureno imethibitisha kwamba imesajili mchezaji huyo wa Harambee stars ambaye alikuwa akiipigia Buildcon ya Zambia. Klabu hiyo inasema Miheso ataongeza nguvu kwenye kikosi chao. Ikumbukwe...
Share:

AFARIKI TENA BAADA YA KUFUFUKA

Hirpha Negero aliamka katika jeneza lake mwezi Novemba muda mfupi kabla ya kuzikwa. Mawanamume wa Ethiopia aliyefufuka wakati wa mazishi yake miezi mwili iliyopita amefariki dunia. Hirpha Negero alithibitishwa kufa mwezi Novemba ambapo aliwekwa ndani ya jeneza kwa saa tano, lakini wakati wa mazishi...
Share:

NANI HUDANGANYA ZAIDI KATI YA WANAUME NA WANAWAKE?

Ndiyo, wanaume huongopa zaidi ya wanawake, hayo ni matokeo ya utafiti mkubwa uliofanyika kuhusu udanganyifu. Taarifa za tafiti  565 zikihusisha watu 44,000 zilichakatwa na taasisi ya Max Planck na Technion za Ujerumani na Israel. Lakini,wanawake si wakweli kihivyo. 42% ya wanaume waligundulika...
Share:

WANNE WASHIKILIWA NA POLISI KWA MAUAJI,MWINGINE KWA KUMDHALALISHA RAIS MAGUFULI

Na Dinna Maningo, Tarime. Jeshi la Polisi mkoa wa Polisi Tarime / Rorya linamshikilia mtu mmoja kwa kosa la kumdhalilisha Rais John Magufuli kupitia mtandao wa Whatssap na  linawashikilia watuhumiwa wanne kwa kosa la mauaji. Kamanda wa Polisi mkoa wa Polisi Tarime/Rorya Henry Mwaibambe alisema kuwa januari,24, 2019 majira ya saa nne  polisi walifanikiwa kumkamata  Sabato Marwa kwa...
Share:

NYOKA WA AJABU AUA WATU WATANO SUMBAWANGA..HUUA SIKU ZA JUMAPILI

Na Gurian Adolf -Sumbawanga Maofisa Maliasili wa Halmashauri ya Wilaya ya Sumbawanga mkoani Rukwa, wameamua kushirikiana na mtaalamu wa tiba za jadi wa kijiji cha Kinambo, Tarafa ya Milepa, kumsaka nyoka wa ajabu anayedaiwa kuua watu watano kwa nyakati tofauti kijijini hapo.  Diwani wa Kata...
Share:

MBUNGE ATUPWA JELA KWA KUCHAPISHA UONGO TWITTER

Mbunge na aliyekuwa waziri wa zamani wa michezo Ivory Coast, amehukumiwa kifungo cha mwaka mmoja jela, baada ya kusambaza taarifa za uongo kupitia ukurasa wake wa Twitter. Alain Lobognan aliandika katika ukurasa wake wa Twitter tarehe 9 Januari kuwa mkuu wa upelelezi ametoa tamko la kukamatwa kwa...
Share:

Picha : WATAFITI WATAKIWA KUONGEZA NGUVU KATIKA UTAFITI WA UGONJWA WA MALARIA

Mtaalamu wa magonjwa ya Damu, Vinasaba na Saratani Professa Lucio Luzatto wa Chuo cha MUHAS akiwasiliasha mada katika kongamano la Kisanyansi la Kitafiti ambalo Mada ilikuwa ni Mchango wa Chuo Kikuu MUHAS katika mapambano dhidi ya Malaria Tanzania lililofanyika leo jijini Dar es Salaam. Picha zote...
Share:

CHADEMA WAMJIBU NDUGAI,WADAI ANAONGOPEA BUNGE NA UMMA WA WATANZANIA

Ndugu wanahabari na watanzania wote, bila shaka mmemsikia Spika wa bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh Job Ndugai tarehe 31 /01/2019 akitoa taarifa bungeni au kile alichakuwa akikiita kuwa ni ufafanuzi juu ya malalamika ya malipo ya matibabu ya Mh Tundu Lissu (MB) wa Singida Mashariki na...
Share:
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © 2025 MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger