Habari zenu,
Maswayetu blog tunafanya usajili kwa wanafunzi wanaotaka kujiunga na vyuo mbalimbali katika kozi za afya,kilimo etc mwaka wa masomo 2017/2018.
Pia tunatoa ushauri kabla ya kufanya application kulingana na matokeo yako uliyopata.
Gharama zetu ni nafuu sana.
Kama unataka ushauri unaweza ukauliza swali lako kwa kutuma na maksi zako ulizopata,kwa kutuma kwenda namba 0652740927
Karibuni...
TANGAZO
Bodi
ya Mikopo ya Elimu ya Juu Zanzibar inawatangazia wanafunzi wote
wanaohitaji kujiendeleza katika fani mbalimbali za Elimu ya Juu kuwa
fomu za maombi ya mikopo ya elimu ya juu kwa mwaka wa masomo 2017/18
zitaanza kutolewa kwa miezi mitatu kuanzia tarehe 02/05/2017 hadi tarehe
...
THE NATIONAL COUNCIL FOR TECHNICAL EDUCATION
ADMISSION REQUIREMENTS - 2017/2018
Guidebooks
Tue May 16 2017 22:08:31 GMT+0300 (E. Africa Standard Time)
...
Treni ya abiria imepata ajali usiku saa 5 eneo la Stesheni ya Mazimbu
Morogoro ambapo mabehewa manne yameegama na matatu yameacha reli.
Ashura Mrisho aliyekuwa anakwenda Tabora amejeruhiwa kwa kuangukiwa na
mizigo. Mabehewa 13 yamerejeshwa Morogoro kuwapangia usafiri mbadala
...
Shambulizi
la kihalifu mitandaoni lililotendeka kupitia vifaa vinavyoaminika
kuibwa kutoka kitengo cha ujasusi nchini Marekani NSA limeathiri
mashirika tofauti duniani.
Kampuni
ya kulinda uhalifu wa mitandao Avast, imesema kuwa imeona kesi 75,000
za programu zinazotumika kufanya uhalifu...
BARAZA LA TAIFA LA ELIMU YA UFUNDI
(NACTE)
TAARIFA KWA UMMA KUHUSU UDAHILI WA WANAFUNZI WA ASTASHAHADA NA STASHADA KATIKA PROGRAMU MBALIMBALI KWA MWAKA WA MASOMO 2017/2018
Baraza la
Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE) ni chombo kilichoanzishwa kwa sheria
ya Baraza la Taifa la Elimu...
THE NATIONAL COUNCIL FOR TECHNICAL EDUCATION
(NACTE)
PUBLIC NOTICE
ADMISSION OF STUDENTS FOR VARIOUS CERTIFICATE AND DIPLOMA PROGRAMMES FOR ACADEMIC YEAR 2017/2018
The
National Council for Technical Education (NACTE) is a statutory body
established under the National Council for Technical...
Baraza linapenda kuwataarifu wadau wa sekta ya Mafunzo ya Ufundi na Umma kwa ujumla kuwa udahili na uchaguzi wa wanafunzi kwa ajili ya masomo ya Astashahada na Stashahada mbalimbali yanayotolewa na vyuo vyote hapa nchini, utafanyika moja kwa moja vyuoni,
isipokuwa kozi za afya na ualimu zinazotolewa...
Bodi
ya Ligi ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) imewajibu rasmi Simba SC
juu ya sakata lao la kupokwa pointi tatu za mezani walizopewa baada ya
rufaa yao dhidi ya Kagera Sugar wakidai kumcheza mchezaji Mohamed Fakhi
akiwa na kadi tatu za njano.
Kwa
mujibu wa barua kutoka...
Wanafunzi zaidi ya 20 wanahofiwa kupoteza maisha katika ajali ya basi iliyotokea wilayani Karatu leo asubuhi.
Habari zinaarifu kuwa , basi hilo limeanguka kabla ya kuingia karatu mjini na kuua watoto wengi .
Inaarifiwa
kuwa Wanafunzi hao ni wa shule inayoitwa Lucky Vicent ya Arusha ambao...