Monday, 21 November 2016

HIZI HAPA KURASA ZA NDANI MAGAZETI YA LEO JUMATATU NOVEMBER 21 2016


TANO BORA ZA MASWAYETU BLOG KWENYE HABARI ZA MICHEZO LEO..




1
2
3
4
5
6
7
8
9
10
Share:

RAIS DKT MAGUFULI AMTEUA BW. CHARLES E. KICHERE KUWA NAIBU KAMISHNA MKUU WA TRA



Share:

Sunday, 20 November 2016

MPYA:NAFASI ZA KAZI KUTOKA UTUMISHI-DAR NOV 2016

Image result for SERIKALI YA TANZANIA
KUONA NAFASI ZA KAZI 
Share:

MPYA:TAZAMA MKOPO WAKO WA ELIMU YA JUU NA ASILIMIA ULIYOPATA 2016/2017

Image result for HESLB.GO.TZ 




 bodi ya mikopo ya elimu ya juu imeanza kuongeza majina ya wanafunzi wa elimu ya juu waliopata mikopo mwaka wa masomo 2016/2017,pamoja na kupanga distribution ya mkopo aliopata kila mwanafunzi(%).
Share:

New AUDIO | PInk Ft. Magufuli – Sieleweki | Download


img-20161117-wa0000djmwanga1bdownloadlogo
Share:

New AUDIO[NotOfficial] | Diamond Platnumz Ft. Ne-Yo – I Will Marry You | Download


diaHii hapa ni kazi Mpya ya Diamond Platnumz Ft. Ne-Yo SIO OFFICIAL/HAIJATOKA RASMI NA ni Badhi ya vipande Vimeunganishwa Full AUDIO[Official] itatoka ivi karibuni pamoja na VIDEO
djmwanga1bdownloadlogo
Share:

Magazeti ya Leo Jumapili NOV 20 2016


Share:

Marekani yapendekeza vikwazo dhidi ya viongozi wa Sudan Kusini


media
Mjumbe wa Marekani kwenye baraza la usalama la umoja wa Mataifa Samantha Power.
Marekani imependekeza azimio kwa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa, kutaka Sudan Kusini kuwekewa vikwazo vya kununua na kuingiza silaha.
Aidha, azimio hilo linapendekeza watu binafsi kutoka upande wa serikali inayoongozwa na rais Salva Kiir na kiongozi wa waasi Riek Machar kuwekewa vikwazo.
Marekani inasema kwamba kiongozi wa waasi nchini Sudan Kusini Riek Machar, mkuu wake wa majeshi na waziri wa habari wawekewe vikwazo na Umoja wa Mataifa kwa kuchochea vita nchini humo.
Kwa mujibu wa ujumbe uliopatikana na AFP Machar, mkuu wa majeshi ya rais Salva Kiir, Paul Malong na waziri wake wa habari Michael Makuei wako kwenye orodha nyeusi ya vikwazo.
Chini ya hatua iliyopendekezwa, Macha ambaye anapatiwa matibabu nchini Afrika Kusini na maafisa hao wawili watakabiliwa na vikwazo vya kusafiri na mali zao kuzuiwa.
Hatua hii imekuja baada ya watalaam na Umoja wa Mataifa kuonya kuwa huenda kukatokea kwa mapigano na mauaji ya halaiki nchini humo katika siku zijazo ikiwa hatua haitachukuliwa.
Azimio hilo sasa linasubiri kura kutoka kwa wanachama wa Baraza hilo, licha ya kuwepo kwa wasiwasi huenda Urusi ikatumia kura yake ya Veti na kuzuia kupitishwa kwa azimio hilo
Share:

YALIYOJIRI ZIARA YA MKUU WA MKOA PAUL MAKONDA KATIKA JIJI LA DAR


15
Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda akizungumza na Vijana walioathirika na madawa ya kulevya (hawapo pichani) alipotembelea kituo cha Sober House cha kurekebisha waathirika wa dawa za kulevya kilichopo Vijibweni Kigamboni wakati wa ziara yake ya siku 10 ndani ya jiji la Dar es Salaam kwaajili yakusikilza kero za wananchi. PICHA ZOTE NA PHILEMON SOLOMON-FULLSHANGWEBLOG
2
Kulia ni Kijana mmoja aliyeko kwenye kituo Sober House cha kurekebisha waathirika wa dawa za kulevya, kilichpo Vujibweni Kigamboni, akimuonyesha Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda tumbo lake lilivyobaki na makovu ya kutisha kutokana na operesheni aliyofanyiwa kutolewa dawa za kulenya tumboni
3
Baadhi ya Vijana walioathirika na madawa ya kulevyo wakipiga makofi kumpongeza Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda wakati akizungumza.
14
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda akipokea zawadi kutoka kwa  Mmiliki wa Kituo cha vijana wa Sober House,Nuru Saleh jana jijini Dar es Salaam
Share:

SERIKALI KUBORESHA MAZINGIRA RAFIKI YA BIASHARA NCHINI


mich1
Katibu Mkuu wa Baraza la Michezo la Taifa (BMT) Mohammed Kiganja akiongoza Wachezaji wa timu ya Taifa ya mchezo wa kabadi walipowasili jijini Dar es salaam wakitokea nchini India kwenye mashindano ya mchezo huo uliofanyika hivi karibu nchini humo .
mich2
Wachezaji wa timu ya Taifa ya mchezo wa kabadi wakiwasili jijini Dar es salaam wakitokea India kwenye mashindano ya mchezo huo uliofanyika hivi karibu nchini humo ambapo Tanzania imetolewa kwenye mashindano hayo .
mich3
mich4
Katibu Mkuu wa Baraza la Michezo la Taifa (BMT) Mohammed Kiganja akiongea na waandishi wa habari mara baada ya kuwasili uwanja wa ndege wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es salaam wakitokea nchini India kwenye mashindano ya mchezo wa kabadi uliofanyika hivi karibu nchini humo .
Na Ally Daud-Maelezo.
SERIKALI imekusudia kuboresha mazingira rafiki ya biashara nchini ili kuwezesha utashi wa Serikali ya Awamu ya Tano katika kuifanya Tanzania kuwa nc hi ya uchumi unaoongozwa na viwanda kama inavyoelekeza Dira ya Maendeleo ya Taifa ya Mwaka 2025.
Akizungumza hayo wakati wa uzinduzi wa kamati ya kuboresha mazingira ya biashara Tanzania jijini Dar es salaam Waziri wa Viwanda ,Biashara na uwekezaji Charles Mwijge amesema kuwa Serikali imejidhatiti kuweka mazingira rafiki kwa maendeleo ya biashara nchini.
“Ili kuweza kufikia malengo ya Serikali ya Awamu ya Tano katika kuifanya Tanzania kuwa nchi ya uchumi unaoongozwa na viwanda kama inavyoelekeza Dira ya Maendeleo ya Taifa ya Mwaka 2025 ni lazima kuboresha mazingira ya biashara ambayo ni rafiki kwa wawekezaji” alisema Mwijage.
Aidha Waziri Mwijage amesema kuwa maboresho ni  kusaidia kupata mikopo kwenye mabenki na taasisi za kifedha zitakazosaidia uwekezaji na uzalishaji wenye tija kwa maendeleo ya uchumi wa taifa letu.
Waziri Mwijage amesema kuwa Serikali itahakikisha inaboresha mazingira rafiki ya biashara ili kufikia lengo kwa kurahisisha utoaji wa vibali vya ujenzi wa viwanda kwa wawekezaji wa nje na wa ndani ili kufanya sekta ya viwanda kua endelevu Zaidi.
Mbali na hayo Waziri Mwijage amesema kwamba kwa kuwa Serikali imeamua kujenga uchumi wa viwanda  basi itahakikisha inarahisisha suala la uboreshaji wa mazingira rafiki ya biashara nchini .
Kamati hiyo iliyozinduliwa rasmi na Waziri Mwijage ina kazi ya kufanya uchambuzi wa kina katika mazingira ya kufanya biashara nchini na kutoa mapendekezo kwa Serikali juu ya kuboresha mazingira rafiki ya biashara nchini
Share:

Trump alipa dola milioni 25 kumaliza kesi


Wanafunzi walilipa maelfu ya madola kwa masomo baada ya kuhadaiwa kwamba watafunzwa siri juu ya uwekezaji
Wanafunzi walilipa maelfu ya madola kwa masomo baada ya kuhadaiwa kwamba watafunzwa siri juu ya uwekezaji.
Wakili wa rais mteule wa Marekani Donald Trump ametatua kesi ya mamilioni ya madola iliyokuwa inamkabili mteja wake ili apate nafasi ya kutekeleza majukumu yake mapya na kuangazia changamoto zinazoikabili Marekani.
Trump alikuwa ameshtakiwa na wanafunzi wa zamani kwa ubadhirifu wa pesa katika chuo kikuu cha Trump,ambapo wanafunzi walilipa maelfu ya madola kwa masomo baada ya kuhadaiwa kwamba watafunzwa siri juu ya uwekezaji
Rais huyo mteule amekuwa akikanusha madai hayo lakini hatimaye ameamua kulipa dola milioni ishirini na tano ili kumaliza kesi hiyo. Mpango huo hata hivyo haumuhitaji kukiri kwamba alifanya makosa
Share:
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger