Saturday, 16 July 2016

Breaking news:TCU WAFAFANUA KUHUSU MINIMUM ENTRY QUALIFICATION CHUO KIKUU 2016/2017



Tanzania Commission for Universities



Tokeo la picha la TCU.GO.TZ


PUBLIC NOTICE

CLARIFICATION ON THE MINIMUM ADMISSION ENTRY QUALIFICATIONS FOR UNDERGRADUATE STUDENTS
It has been brought to the attention of the Tanzania Commission for Universities (TCU) that, there are mixed interpretations and misconceptions of the Public Notice issued on 11th July, 2016 about Change of Procedures, Requirements and Minimum Admission Entry Qualifications for Undergraduate Students. The major area of concern has been on the (Two Ds) as the minimum admission entry qualifications for the category of Form Six applicants who completed A-Level Studies before 2014 and those who completed A-Level studies from 2016.
TCU would like to clarify that the Minimum Admission Entry Qualifications for Form  Six applicants who completed A-Level Studies before 2014 and those who completed A-Level studies from 2016 is Two principal passes with a total of 4.0 points from Two Subjects defining the admission into the respective programme  ( where   A = 5; B = 4; C= 3; D = 2; E = 1). The following table presents possible scenarios of Entry Qualifications.

Possible scenarios of Entry Qualifications

TWO PRINCIPAL PASSES
TOTAL POINTS

TWO PRINCIPAL PASSES
TOTAL POINTS

TWO PRINCIPAL PASSES
TOTAL POINTS

TWO PRINCIPAL PASSES
TOTAL POINTS
A+A
10.0

B+B
8.0

C+C
6.0

D+D
4.0
A+B
9.0

B+C
7.0

C+D
5.0



A+C
8.0

B+D
6.0

C+E
4.0



A+D
7.0

B+E
5.0






A+E
6.0










Issued by

The Executive Secretary

Tanzania Commission for Universities 16th July, 2016
Share:

Breaking news:RAIS MAGUFULI AFANYA UTEUZI WA WATU 34 KATIKA IDARA MBALIMBALI,AGUSTINO MREMA AULA

Cne1psyWYAANxk6.jpg






Share:

URGENTLY:TAARIFA KWA WANAFUNZI WOTE WA UDOM AMBAO HAWAKUVERFY BODI YA MIKOPO




THE UNIVERSITY OF DODOMA


 





URGENTLY REQUIRED TO CHIMWAGA HALL FOR
RE-VERIFICATION EXCERCISE

All students whose names have been listed on HESLB website as not signed during verification of loans beneficiaries; should appear in person at CHIMWAGA HALL (UDOM) on Monday 18th July 2016, 8:00 to 16:00 hours for re-verification.
Students concerned with this verification should come with their Students’ Identity Cards. Each concerned student must find a time slot within the stipulated time frame without affecting his/her examination timetable.
It should be noted that the time allocated to this exercise is limited and there will be no extension. Failure to appear on this exercise will conclude that you are not registered at this University.

ISSUED BY THE OFFICE OF DEPUTY VICE CHANCELLOR (ACADEMICS, RESEARCH AND CONSULTANCY)
Share:

JINSI YA KULIPIA TSHS.30000 BODI YA MIKOPO,ILI UWEZE KUFANYA APPLICATION KUPATA FORM ZA MIKOPO 2016/2017

 
1.KUPATA MENYU YA MPESA 
   BONYEZA *150*00#
2.BONYEZA NAMBA 4 LIPA KWA MPESA
3.CHAGUA KWA KUBONYEZA NAMBA 3 AINA YA BIASHAR UNAYOLIPIA 
4.BONYEZA NAMBA 8 ELIMU
5.BONYEZA NAMBA 2 HESLB
6.BONYEZA NAMBA 1 KWA NAMBA YA KUMBUKUMBU
7.INGIZA NAMBA YA ACCOUNT AMBAYO NI NAMBA YAKO YA FORM 4 KWA MFUMO 
    HUU  mfano:  S0123.0123.2013
8.INGIZA AMMOUNT/KIASI TSHS 30000
9.WEKA NAMBA ZA SIRI
10.CONFIRM

Baada ya hapo,utatumiwa ujumbe wa MPESA wa uthibitisho,TUNZA SMS HIYO kwani utatumia code za mwanzo KU APPLY MKOPO. 

MFANO WA UJUMBE:Utapokea ujumbe mfano "BA54KP432 imethibitishwa. Tsh 30,000..................

CODE UTAKAZO TUMIA NI HIZI HAPA: BA54KP432





Share:

New Audio | Yamoto Band – Mijudo | Download


yamoto
New Audio | Yamoto Band – Mijudo | Mp3 Download
Hii ni mpya ya YAMOTO BAND, wimbo unaitwa MIJUDO, Pakua na kusikiliza hapa
mp3
Share:

UFAFANUZI KUHUSU SIFA/MAKSI KULINGANA NA MATOEKO YAKO YA FOMR 6 ZA KUINGIA CHUO KIKUU 2016/2017

Habari yako,
Kama ambavyo ahadi yetu kukufanya wewe mdau wetu upate kitu roho inapenda.Jana matokeo ya kidato cha sita yalitangazwa.

Hongereni sana kwa mliofaulu na mliofeli msikate tamaa,jaribuni kutafuta altenative mapema kabla mda haujakupita.

MASWAYETU BLOG imepokea maswali mengi sana,kutoka kwa wadau wa blog hii hasa form 6 wanaotarajia kwenda chuo kikuu.
swali lililoulizwa sana:JE DIV III WANAENDA CHUO KIKUU?
JIBU: siku zote kuchguliwa chuo kikuu hawaangalii divison ya mtu,ila wanaangalia minimum entry qualifcation za kuingia chuo.Minimum entry qualifiction hapo nyuma ilikuwa ni lazima upate E mbili kwenye combination yako.
Lakini juzi TCU walibadilisha Vigezo na kupandisha hadi D mbili.
Hii inamaana kwamba Endapo kama umepata D D F-DIV 3 Pts 15 chuo utapata kwa sababu una minimum entry qualification za kujiunga chuo kikuu.
ila kama una A E E DIV 2 pts 11 chuo huwezi kupata kwa sababu hauna minimum entry qualification.

Kutokana na maelezo hapo juu ni kwamba ,umeona mtu alie na D mbili ana DIV 3 pts 15 lakini sifa za kwenda chuo kikuu
anazo.lakini mwenye DIV 2 pts 11 hana sifa za kwenda chuo.


swali jingine:Je,mwenye DIV III Atapata mkopo mwaka huu?  

jibu:Wengi mmekuwa mkichanganya kati ya GRANT na MKOPO ,kutokana na guidelines za bodi ya mikopo ni kwamba ,
GRANT ni kama schoralship utolewa kwa wanafunzi waliofaulu sana yaani DIV 1 & 2 ,pia lazima uwe umechaguliwa kusoma kozi za MEDICINE,MIFUGO au LABORATORY.

LOAN utolewa kwa wanafunzi wote waliofaulu kwa kiwngo cha kuanzia DIV 1 hadi 3 ,ila kigezo kikubwa uwe umechaguliwa kusoma kozi zenye priority na mkopo.

bonyeza hapo kuona kozi zenye priority>>>>KOZI PRIORITY 2016/2017


bonyeza hapo kuona matokeo form 6 na ualimu 2016>>>>ACSEE,GATCE AND DSEE NECTA RESULTS 2016



Conclusion: 
Kuanzia leo naomba ujue na umwambie rafiki yako kwamba chuo kikuu huwa hawaangalii DIVISON katika kuchagua wanafunzi ,bali wanaangalia MINIMUM ENTRY QUALIFICATIONS ambazo ni lazima uwe na principle passes mbili ambazo ni D D ktk combination yako uliyosomea.mfano kama ni PCM lazima uwe na  atleast kuanzia D D katika masomo yako ili uwe na sifa za kwenda chuo kikuu 2016/2017.

thanks.
MASWAYETU BLOG TEAM 
TUPO KWA AJILI YAKO!
Share:

RIPOTI KWA UFUPI KUHUSU MATOKEO YA ACSEE 2016 SHULE ZA VIPAJI MAALUM-KIBAHA,ILBORU,MSALATO,TABORA GIRLS,TABORA BOYS,MZUMBE NA KILAKALA

Kutokana na Waziri wa elimu kuamua kutaka kuinua matokeo na e;limu katika shule kongwe TANZANIA maswayetu blog imeona si mbaya tukikuwekea overview ya matokeo ya kidato cha 6 katika shule za vipaji maalum Tanzania.


S0119 KIBAHA SECONDARY SCHOOL


DIV-I = 90; DIV-II = 59; DIV-III = 14; DIV-IV = 1; DIV-0 = 0

NAFASI KITAIFA YA 7 KATI YA SHULE 423

 

S0155 TABORA BOYS SECONDARY SCHOOL

DIV-I = 83; DIV-II = 68; DIV-III = 2; DIV-IV = 0; DIV-0 = 0 

 

NAFASI KITAIFA YA 5 KATI YA SHULE 423

 

 

S0110 ILBORU SECONDARY SCHOOL

DIV-I = 116; DIV-II = 72; DIV-III = 30; DIV-IV = 0; DIV-0 = 0

NAFASI KITAIFA YA 9 KATI YA SHULE 423

 

S0140 MZUMBE SECONDARY SCHOOL

DIV-I = 59; DIV-II = 42; DIV-III = 15; DIV-IV = 0; DIV-0 = 0

NAFASI KITAIFA YA 8 KATI YA SHULE 423

 

 

S0214 MSALATO SECONDARY SCHOOL

DIV-I = 32; DIV-II = 40; DIV-III = 10; DIV-IV = 1; DIV-0 = 0 

NAFASI KITAIFA YA 21 KATI YA SHULE 423

 

S0206 KILAKALA SECONDARY SCHOOL

DIV-I = 54; DIV-II = 79; DIV-III = 15; DIV-IV = 0; DIV-0 = 0 

NAFASI KITAIFA YA 20 KATI YA SHULE 423


S0220 TABORA GIRLS SECONDARY SCHOOL

DIV-I = 62; DIV-II = 56; DIV-III = 15; DIV-IV = 0; DIV-0 = 0

NAFASI KITAIFA YA 13 KATI YA SHULE 423




 BONYEZA HAPO CHINI KWENYE RANGI YA NJANO KUANGALIA MATOKEO FORM 6,UALIMU 2016>>>



 

 

Share:
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger