Sunday, 3 July 2016

magazeti ya leo jumamosi july tarehe 2.7.2016

...
Share:

...
Share:

Friday, 1 July 2016

MAJINA YA WANAFUNZI(DIPLOMA NA CHETI) WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA CHUO KIKUU CHA MUCCOBS-MOCU 2016/2017

 >>>>Selected Applicants to Join Non-degree Programmes For Academic Year 2016/2017<<<&l...
Share:

Mtumishi wa umma atakayekwenda kusomea 'first degree' sasa kuchukua likizo isiyo na malipo

Mtumishi atakayekwenda kusomea FIRST DEGREE anatakiwa achukue LIKIZO ISIYO NA MALIPO na hastahili kulipwa chochote na Mwajiri wake ikiwa ni pamoja na kutolipwa Mshahara kwakuwa HAYUPO KAZINI. Hakuna malipo yoyote ya UHAMISHO kwa Mtumishi atakayehamishwa umbali usiozidi kilometa 10....
Share:

MPYA: Serikali imezuia Benki kupandisha viwango vya tozo katika miamala yake

Mamlaka ya mapato Tanzania 'TRA' imetoa ufafanuzi kuhusu kodi ya ongezeko la thamani kwenye huduma za kifedha kuwa marekebisho ya sheria ya mwaka 2014 yaliyopitishwa na bunge yanayolenga kutoza kodi la ongezeko la thamani kwa kiwango cha 18% kwenye ada ambazo benki inatoza wateja wake kwenye...
Share:

PICHA :Ajali Ya basi iliyotokea Mkoani Morogoro -imeua 11

Habari iliyoripotiwa hivi punde na kituo cha ITV ni kuhusu ajali ambayo imetokea eneo la Veta Dakawa mkoani Morogoro ikihusisha magari matatu ambayo ni lori la mafuta, kontena lililobeba mchele pamoja na basi. Taarifa hiyo inasema kuwa watu 11 wamefariki dunia na wengine ambao...
Share:

Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Ijumaa ya July 1

...
Share:

NECTA: TANGAZO LA USAJILI ACSEE 2017

TANGAZO LA USAJILI ACSEE 2017 <<<BOFYA HAPA>>&g...
Share:

Waziri Mkuu: Serikali Itatoa Waraka Juu Ya Ukusanyaji Mapato Kupitia Mawakala

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Halmashauri zitaelekezwa kwa waraka ni vyanzo vipi vitahitaji kutumia wawakala wa ukusanyaji mapato kwani siyo kila chanzo cha mapato ya Halmashauri kitakusanywa kwa ufanisi kwa kutumia au kwa kutotumia mawakala. Waziri Mkuu ametoa agizo...
Share:

Thursday, 30 June 2016

MPYA:MKURUGENZI WA TBS ATUMBULIWA JIPU,PIA MENEJA WA FEDHA APIGWA CHINI

Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji Charles Mwijage leo amemsimamisha kazi Mkurugenzi wa shirika la Viwango Tanzania TBS Bwana Joseph B. Masikitiko ili kupisha uchunguzi wa tuhuma zinazomkabili. Pia Waziri Mwijage ameagiza Bwana Emmanuel M. Ntelya Meneja wa Fedha, Mipango na Utawala wa TBS,...
Share:

KESI YA UCHOCHEZI:TUNDU LISSU APEWA DHAMANA,YAHAIRISHWA HADI AGOSTI 12 2016

  Mh Tundu Lissu apandishwa kizimbani Muda huu mahakama ya kisutu kwa zile tuhuma za maneno ya kuudhi, nunachokisubiri hapa ni maneno mengine yenye tafsiri nyingine kwa watu wengine atakayoitoa leo baada ya kupata dhamana panapo majaliwa. Ndio kwanza kumekucha mapambano yataendelea. UPDATES: Lissu...
Share:

UFAFANUZI KUHUSU SIFA, VIGEZO NA MASHARTI YA KUPATA MKOPO 2016/2017

  Habari zenu; Kwanza natumaini mu wazima wa afya,pia kwa upande wangu namshukuru Mungu nipo fresh kabisa. Leo nimeamua kufafanua kwa kina vigezo na masharti ya Kupata mkopo mwaka wa masomo 2016/2017. NANI ANAFAA KUPATA MKOPO? mwanafunzi anaehitaji mkopo lazima akidhi vigezo vifuatavyo; 1.yatima...
Share:

Breaking news:Wabunge wa CHADEMA Joseph Mbilinyi, Kubenea na James Millya wasimamisha kuhudhuria vikao vya Bunge

Wanajamvi wasalaam! Leo hii kamati ya haki,maadili na madaraka ya bunge leo inataraji kusoma taarifa ya shauri la Mbunge Joseph Mbilinyi baada ya kutoa ishara ya matusi bungeni na kunaswa na kamera za bunge! Tunataraji Mbunge Mbilinyi kupewa adhabu kali ili iwe fundisho kwa vizazi na wabunge wa aina yake ndani na nje ya bunge! Kwakuwa Joseph Mbilinyi alitoa ishara ya matusi kwa bunge na wabunge...
Share:
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © 2025 MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger