INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
...
Friday, 6 May 2016
Thursday, 5 May 2016
ASHA ROSE MIGIRO ATEULIWA KUWA BALOZI WA TANZANIA NCHINI UINGEREZA
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amemteua
Dkt. Asha-Rose Migiro kuwa Balozi wa Tanzania nchini Uingereza.
Dkt. Asha-Rose Migiro anakwenda kuchukua nafasi iliyoachwa wazi na Balozi Peter Kalaghe ambaye amerudishwa nyumbani.
Dkt. Asha-Rose...
Wednesday, 4 May 2016
Mpya: Serikali Kutoa Ajira 71,456
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Serikali inakusudia Kuajili wafanyakazi wapya 71,456,
katika mwaka mpya wa fedha 2016/2017 kwa la kujaza nafasi zilizo wazi, huku
wilaya ya mbulu ikitengewa nafasi 466.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (Utumishi na utawala bora,
Angela Kairuki, aliliambia bunge jana kuwa,...
Wanafunzi 1,500 Vyuo Vikuu Wanolewa
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
KAMPUNI ya simu za mkononi ya Airtel, imedhamini kongamano la ajira
kwa vijana wa chuo kikuu, lenye lengo la kuwaweka pamoja waajiri na
waajiriwa watarajiwa, kuwapatia fursa zitakazowasaidia katika kuendesha
shughuli za kiuchumi....