INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
DK.
Vincent Mashinji Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo
(chadema), amesema kuwa Katiba Mpya inayotokana na maoni ya wananchi
ndiyo msingi imara pekee unaoweza kuweka mifumo na taasisi kwa ajili ya
maendeleo ya kweli yatakayogusa maslahi ya Watanzania...
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Spika wa Bunge, Job Ndugai amefanya mabadiliko mengine ya kamati za
Bunge kwa kuwaongeza wabunge wapya na kuwahamisha wengine kwenda kwenye
kamati nyingine, jambo ambalo limepingwa na baadhi ya wabunge wakidai
linapunguza ufanisi.
Juzi, Spika Ndugai (pichani) aliwaongeza...
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Mkuu
wa Wilaya ya Kinondoni, Ally Hapi amesema idadi ya watumishi hewa
katika wilaya hiyo, imeongezeka hadi kufikia 89 wakiwa wamesababisha
hasara ya zaidi ya Sh bilioni moja.
Aidha,
Hapi amebaini uwepo wa watumishi vivuli 81 katika kada ya ualimu na
hivyo...
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Treni
ya kwanza ya abiria ya Deluxe kutoka Dar es Salaam kwenda bara
itaondoka saa 2 asubuhi siku Jumapili Mei Mosi, 2016 kuelekea Kigoma.
Kuanza
kwa safari hiyo kunatokana na kutengemaa kwa eneo korofi baina ya
stesheni za Kilosa mkoani Morogoro...
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwasili
katika Ikulu ya Chamwino Mkoani Dodoma wakati akitokea mjini Dar es
Salaam. Kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Jordan Rugimbana.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli...
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Hapa kuna Picha Kadhaa za Wanajeshi wetu wa JWTZ Wakiwa katika uwanja wa Mapambano katika Misitu ya Ben Congo DRC.
Juzi kati, jeshi letu limetunukiwa medani na MONUSCO Kwa umahili wake.
==>Habari hii,picha pamoja na video ni kwa...