Tuesday, 20 January 2015

MPYA:MBARONI KWA MAPENZI YA JINSIA MOJA

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY MBARONI KWA MAPENZI YA JINSIA MOJA Makongoro Oging’ na Haruni Sanchawa/Uwazi DUNIA imekwisha! Wasichana wawili warembo, Maua Sadick (24), mkazi wa Stakishari, Ukonga wilayani Ilala na Lucy Fred (23), mkazi wa Karakata jijini Dar es Salaam, wanashikiliwa katika Kituo...
Share:

Monday, 19 January 2015

MPYA:KWA WALE WOTE KIDATO CHA PILI AMBAO HAWAJAPATA MATOKEO YAO,JAZA FOMU HII KUPATA MATOKEO YAKO

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY Habari yenu,endapo hujayaona matokeo yako ya kidato cha pili...
Share:

Saturday, 17 January 2015

BREAKING NEWZ:HAYA HAPA MATOKEO KIDATO CHA PILI 2014-2015,YATOKA KATIKA MFUMO WA GPA,UFAULU WAONGEZEKA

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY                                              Habari yenu,kwanza napenda kumshukuru Mungu nawe msomaji wangu wa blog hii pendwa ya MASWAYETU EXCLUSIVE BLOGSPOT,natumaini...
Share:

SOMA MAGAZETI YA LEO JUMAMOSI TAREHE 17 JANUARY 2015-KUBWA ZAIDI WATU WATATU WASHIKILIWA KUHISIANA NA SAKATA LA ESCROW

...
Share:

SALUNI YA NGONO YAFUMULIWA! -PICHAZ+STORI KAMILI VIPO HAPA!

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY HALI ni mbaya! Wakati suala la ajira likiwa bado ni kitendawili kikubwa kwa serikali, Jiji la Dar hivi sasa linatisha, baada ya watu kubuni mtindo mpya wa kujipatia fedha kwa kujihusisha na biashara haramu ya ngono katika maeneo yanayotambulika kufanya shughuli nyingine...
Share:

Friday, 16 January 2015

ORODHA YA MAJINA YA WALIOPANGIWA VITUO VYA KAZI KWA KADA YA AFYA 2014/2015-AJIRA ZA NURSING ZAONGEZWA

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY Habari yenu wadau wa blog hii ya MASWAYETU EXCLUSIVE BLOGSPOT yafuatayo ni majina ya watu waliopangiwa ajira mwaka huu 2015. Endapo utataka kuangaliziwa jina lako tafadhali fanya yafuatayo; 1.tuma jina kwenda namba 0653791475 mfano JOHN PAUL(AJIRA AFYA) 2.Huduma hii itatozwa...
Share:

VIDEO MPYA:DOWNLOAD VIDEO MPYA YA VICE-P IITWAYO NATAMANI HAPA

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY DOWNLOAD HAPA; ...
Share:

EXCLUSIVEE.......DOWNLOAD na SIKILIZA WIMBO MPYA WA BEN POL - SOPHIA

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY DOWNLOAD ...
Share:

Wednesday, 14 January 2015

BREAKING NEWZ:MGOMO WATOKEA CHUO KIKUU CHA DODOMA,WANAFUNZI 84 WASHIKILIWA NA POILIS,MWANAFUNZI MMOJA APOTEZA MAISHA HADI MDA HUU

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY UDOM wagoma  WANAFUNZI 84 WA PROGRAMU MAALUMU YA DIPLOMA YA UALIMU UDOM MBARONI KWA KUHAMASISHA MAANDAMANO MKOANI DODOMA Baadhi ya Wanafunzi 84 wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) wakiwa chini ya ulinzi kwa tuhuma za kuhamasisha uvunjifu...
Share:

Tuesday, 13 January 2015

BREAKING NEEWZ:HAYA HAPA MAJINA YA WALIOPATA AJIRA WIZARA YA AFYA 2015

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY Habari yenu wadau wa blog hii ya MASWAYETU EXCLUSIVE BLOGSPOT yafuatayo ni majina ya watu waliopangiwa ajira mwaka huu 2015. Endapo utataka kuangaliziwa jina lako tafadhali fanya yafuatayo; 1.tuma jina kwenda namba 0653791475 mfano JOHN PAUL(AJIRA AFYA) 2.Huduma hii itatozwa tshs.800 tu ambayo utaituma kwa mpesa kwenda namba 0768260834 au Tigo pesa kwenda namba 0653791475. 3.tutakujibu...
Share:

Tuesday, 6 January 2015

BREAKING NEEWZ:SEKRETARIETI YA AJIRA YATANGAZA NAFASI ZA KAZI ,KILIMO,ENGINNERS,WALIMU MWISHO WA KUOMBA NI JANUARY 18 2015

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA OFISI YA RAIS SEKRETARIETI YA AJIRA KATIKA UTUMISHI WA UMMA Kumb. Na EA.7/96/01/H/24 3 Januari, 2014 TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI Sekretariati ya Ajira katika Utumishi wa Umma ni chombo ambacho kimeundwa kwa mujibu wa Sheria ya Utumishi wa Umma...
Share:

TAKWIMU:VYUO VINAVYOONGOZA KWA MATUMIZI YA SIMU ZA SMARTPHONE ,WAKATI WATUMIAJI WAKE WAKITOKA KATIKA FAMILIA DUNI-KIUCHUMI

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY Habari yenu wadau pendwa wa blog hii ya MASWAYETU ,leo tunawaletea takwimu mpya za matumizi ya simu aina ya smartphone kwa wanafunzi wa vyuo vikuu ukilinganisha na maisha ya nyumbani kwao jinsi yalivyo. Kutokana na simu hizi kuwa gharama huku wanafunzi wa chuo wakilalamika...
Share:

TAARIFA YA IKULU KUHUSU HABARI ILIYOCHAPISHWA NA TANZANIA DAIMA

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY Rais hajadharau Bunge Gazeti la Tanzania Daima linalomilikiwa Chama cha Upinzani cha CHADEMA la leo, Jumapili, Januari 4, 2015, limeandika habari kwenye ukusara wake wa mbele chini ya kichwa cha habari: ”Wabunge: Ikulu imetudhalilisha” hata kama wabunge wanaokaririwa katika habari hiyo ni wawili tu, Mheshimiwa Freeman Mbowe na Mheshimiwa David Kafulila. Habari...
Share:

Wednesday, 31 December 2014

BREAKING NEWZ:MAFURIKO YATOKEA KATIKATI YA MJI MOROGORO

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY Mvua zinazoendelea mjini morogoro zimeleata maafa makubwa ambapo hadi mda huu ni kwamba baadhi ya barabara hazipitiki baada ya maji kujaa barabarani. Maeneo yalio pata mafuriko ni pamoja na KIGURUNYEMBE,MASIKA kuja HADI STAND YA DALADALA MASWAYETU BLOG tunaendelea kukuletea...
Share:

BREAKING NEEEWZ:HAYA HAPA MAJINA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA VYUO VYA UALIMU AWAMU YA PILI 2015

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY                                  kama kawaida yetu Maswayetu exclusive blogspot tunawaletea majina ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na mafunzo ya ualimu awamu ya pili. Enadapo utahitaji...
Share:

BREAKING NEWS:UKWELI KUHUSU KUBADILIKA KWA RATIBA YA MTIHANI KIDATO CHA SITA 2015

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY                                      BARAZA LA MITIHANI LA TANZANIA RATIBA YA MTIHANI WA KIDATO CHA SITA MWAKA 2015 HAIJABADILIKA Baadhi ya watu wamekuwa wakitumiana ujumbe kwenye...
Share:

Saturday, 27 December 2014

DOWNLOAD WIMBO MPYA-MKUBWA NA WANAWE UITWAO 'TULIA'

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY MKUBWA NA WANA... TULI...
Share:
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © 2025 MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger