INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Habari yenu wadau wa blog hii pendwa ya MASWAYETU EXCLUSIVE BLOGSPOT,kwanza kabisa napenda kutoa shukrani za dhati kwa wale wadau wa blog hii na watembeleaji bora wa matandao huu unaowapa raha kila siku kwa kuleta vitu vipya vipya.
Leo napenda kuzungummmzia utaratibu wa TCU katika udahili w awanafunzi mwaka huu,Tcu wamesema kuwa kama ulikuwa kwa mafano na CCD mwaka huu basi nisa wa kabisa na DDE kwa miaka iliyopita na nikihesabu hizo point tayari una point 5 amabazo zinakuruhusu kusoma kozi yoyote chuo kikuu,JE MWENYE DIV 4 anaweza chaguliwa chuo kikuu?