Friday, 11 July 2014

SERIKALI YA TANZANIA YATANGAZA NAFASI ZA KAZI 1,100 NYINGINE

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY

Na Frederick Katulanda, Mwananchi
Serikali kupitia Ofisi ya Rais Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma imetangaza nafasi za kazi 1,134 katika sekta mbalimbali za ofisi za umma.
Share:

MBUNGE MH. SHIBUDA NOMA,AWACHANA LIVE WASUKUMA,AWATAKA KUACHANA NA DHANA YA "NDUHU TABHU" KWA KILA JAMBO,SIKILIZA HAPA

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Mlezi wa chama cha wakulima wa pamba nchini na msemaji wa wabunge wanaotoka katika mikoa inayolima zao la pamba nchini,mbunge wa Maswa Magharibi kupitia Chadema mheshimiwa John Shibuda amewapigia filimbi wasukuma kwa kuwataka kuamka na kueleza wazi wazi matatizo yanayowakabili badala ya kukaa kimya na kusema hakuna tatizo(Nduhu Tabhu” wakati kuna tatizo linawasumbua.
Share:

MH RAIS:KILA HALMASHAURI KUPATIWA SH MIL 500 KWA AJILI YA UJENZI WA NYUMBA ZA WALIMU

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY

 
Rais Jakaya Kikwete amesema serikali imetenga kwa kila halmashauri ya wilaya nchini kupatiwa shilingi milioni 500 kwa ajili ya ujenzi wa nyumba za walimu ili kuwapunguzia adha na usumbufu walimu wanapopangiwa kwenda katika vituo vya kazi wanakosa mahali pa kuishi.
Share:

Thursday, 10 July 2014

FUMANIZI :JIBABA LADAKWA LAIVU LIKIMLA URODA MWANAFUZNI, TENA NDANI YA GARI LAKE KWEUPE

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY



Hiki ndicho kilichomkuta jibaba hili Baada ya kunaswa akila Uroda na mwanafunzi
Share:

SOMA MAGAZETI YA LEO-ALHAMISI,KUBWA "JK AONGELEA KAULI YA JANUARY MAKAMBA KUGOMBEA URAIS 2015"

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Share:

AOZA MGUU BAADA YA KUPATA AJALI-ANAOMBA MSAADA

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
AMA kweli ng’ombe wa maskini hazai, kijana Peter  Sitiwati (26), mkazi wa Sinza ya Kwaremmy jijini Dar amejikuta akikatisha ndoto za utafutaji maisha kufuatia kuoza mguu baada ya ajali mbaya ya gari.
Akizungumza na mwandishi wetu jijini Dar juzikati kwa sauti ya kukata tamaa, Peter alisema alipata ajali ya gari mwaka 2013 maeneo ya Sinza-Mori, Dar na kuumia vibaya mguu wa kulia.

kijana Peter  Sitiwati akiwa na maumivu makali yaliyosababishwa na kuoza kwa mguu.
’’Baada ya kugongwa na gari niliangukia mtaroni nikachomwa na kijiti kwenye mguu wa kulia.
Share:

ROSE NDAUKA:ASEMA KUWA SASA NI KAZI TU,NI BAADA YA KUMALIZA BIFU NA JACK CHUZI

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY

STAA wa filamu Bongo, Rose Ndauka  amefunguka kuwa kwa sasa yeye na msanii mwenzake, Jacqueline Pentzel ‘Jack Chuz’  ambaye aliwahi kukwaruzana naye wameshamaliza na kujikita katika kazi zaidi.
Share:

HIZI NDO SABABU ZA MUME KUMCHINJA MKEWE,KUBWA NI KUTOKANA NA "WIVU WA MAPENZI"

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
JESHI la Polisi Mkoa wa Arusha linamsaka kwa udi na uvumba, muuza nyama jijini hapa, Lucas Lomayany Molel (37) mkazi wa Ilboru kwa madai ya kumuua mkewe wa ndoa, Agnes Lucas (24) kwa kumcharanga na sime kwa kile kinachoelezwa kuwa ni kutokana na wivu wa mapenzi.
Share:

KOMBE LA DUNIA:HATIMAE FAINALI NI GERMANY(TEAM MULLER) VS ARGENTINA(TEAM MESSI)

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY

Kipa wa Argentina Sergio Romero alikuwa Nyota wa mechi hiyo
Argentina imejukatia tikiti ya kufuzu kwa fainali yake ya kwanza tangu mwaka wa 1990 ambapo itachuana Ujerumani.
Argentina ilikuwa imetoka sare tasa baada ya muda wa kawaida na ule wa Ziada na hivyo kulazimu mechi hiyo kuamulia kwa mikwaju ya penalti.
Kipa wa Argentina Sergio Romero ndiye aliyekuwa nyota katika mechi hiyo baada ya kuokoa mikwaju miwili na kuipa Argentina Ushindi wa mabao 4-2 dhidi ya Uholanzi.
Share:

BABA KANUMBA AMCHANA MKEWE,AMWAMBIA AACHE NJAA

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
“Namshangaa mama Kanumba…
BABA wa aliyekuwa msanii maarufu wa filamu Bongo, marehemu Steven Kanumba, Charles Kanumba ameibuka na kumtaka mama Kanumba, Flora Mtegoa kuacha tabia ya kuombaomba michango mbalimbali.
Share:

40 YA MSANII TYSON MAMA AKE AUGUA GHAFLA,SOMA HAPA NINI KIMETOKEA

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Na Mwandishi Wetu
WAKATI jana, Julai 9, 2014 George Otieno Okumu ‘Tyson ametimiza siku 40 tangu kifo chake kilichotokea kwa ajali mbaya ya gari mkoani Dodoma, mama mzazi wa marehemu, Gladys Okumu ameripotiwa kuugua ghafla nchini Kenya anakoishi.
Share:

DIAMOND PLATNUM AMLIZA MAMA AKE MZAZI

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Stori: Waandishi Wetu
STAA wa muziki wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’ amefanya tukio la kihistoria kiasi cha kumliza mama yake mzazi, Sanura Kassim ambaye alimwaga machozi kama mtoto mbele za watu.
Tukio la mama Diamond kumwaga machozi lilishuhudiwa na kamera za Amani, juzi Jumatatu, mishale ya saa mbili usiku nyumbani kwake, Sinza jijini Dar es Salaam ambako kulikuwa na ‘bethidei’ ya mama huyo.
Share:

SEKREATIETI YA AJIRA:MATOKEO YA MCHUJO ULIOFANYIKA TAREHE 8 JULAI 2014

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
        MATOKEO YA USAILI WA MCHUJO WA TAREHE 8
                                      JULAI 2014



EXAMINATION RESULTS FOR RESEARCH ASSISTANTNCC
Usaili wa mahojiano utafanyika tarehe 9/7/2014 SAA MOJA KAMILI ASUBUHI. 
katika OFISI ZA NATIONAL CONSTRUCTION COUNCIL (NCC)
NB: WASAILIWA WANATAKIWA KUZINGATIA MUDA NA SEHEMU ILIYOTAJWA KWA AJILI YA USAILI NA KUJA NA VYETI HALISI (ORIGINAL CERTIFICATES).
Na.    EXAMINATION NUMBER      SCORE   REMARKS
1       PSRS RESE ASS NCC - 121         80     SELECTED
2       PSRS RESE ASS NCC - 118         73     SELECTED
3       PSRS RESE ASS NCC - 124         73     SELECTED
4       PSRS RESE ASS NCC - 128         66     SELECTED
Share:

Wednesday, 9 July 2014

WANAFUNZI MKOANI MBEYA WAANDAMANA HADI KWA MKUU WA MKOA KWA KUKOSA NAFASI KIDATO CHA TANO

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY

WAHITIMU 39 wa kidato cha nne mwaka jana katika Shule ya Sekondari Karobe jijini hapa wakiwa na wazazi wao, jana waliandamana hadi ofisi za Mkuu wa Mkoa ili kujua hatma yao baada Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi kushindwa kuwapangia nafasi za kujiunga kidato cha tano licha ya kufanya vizuri katika mitihani yao.
Share:

KIONGOZI WA MBIO ZA MWENGE AFUNGUA BWENI LA WASICHANA-NAMTUMBO

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY

Kiongozi wa mbio za mwenge RACHEL KASSANDA
Kiongozi wa mbio za mwenge RACHEL KASSANDA, amefungua bweni la wasichana la shule ya sekondari MSINDO na kuweka jiwe la Msingi katika majengo ya vyumba vinne vya madarasa na Maabara moja katika shule ya Sekondari RWINGA wilayani NAMTUMBO mkoani RUVUMA.
Share:

MASHABIKI WA BRAZIL WACHOMA BASI MOTO BAADA YA KIPIGO CHA 7-1

Basi lililochomwa na mashabiki wa Brazil waliokuwa na hasira likiteketea kwa moto.
Share:

WANAFUNZI WAFUNGWA JELA MIAKA 6 KWA MAUAJI YA MWALIMU WAO MKOANI SINGIDA

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY

Vijana wawili waliokuwa wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Chemchem wilayani Mkalama katika Mkoa wa Singida, wamehukumiwa kifungo cha miaka sita kila mmoja baada ya Mahakama kuwatia hatiani kwa kosa la mauaji ya mwalimu wao.
Share:
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger