Monday, 19 May 2014

MAGAZETI LEO JUMATATU


001_89fd2.jpg
01_f949a.jpg
1_9de56.jpg
2_4ad41.jpg
3_07633.jpg
4_1691e.jpg
05_8e832.jpg
5_207f9.jpg
06_6b737.jpg
6_2533e.jpg
7_a25ce.jpg
8_2da8e.jpg
9_1d0fe.jpg
10_6541d.jpg
11_7da32.jpg
12_759bf.jpg
13_e090b.jpg
014_3b203.jpg
14_4bdc5.jpg

015_4bc41.jpg
15_f081a.jpg
16_77b36.jpg
017_00a52.jpg
17_e6ffe.jpg
18_23476.jpg
19_1419d.jpg
20_66f8d.jpg
21_67519.jpg
IMG-20140519-WA0009_56b7b.jpg
IMG-20140519-WA0010_75129.jpg
IMG-20140519-WA0012_176e8.jpg
IMG-20140519-WA0013_c8bf3.jpg
IMG-20140519-WA0015_da3c9.jpg
IMG-20140519-WA0031_69382.jpg
IMG-20140519-WA0036_bfa33.jpg
Share:

WEMA, DIAMOND WACHAFUA HALI YA HEWA

JAMBO limezua jambo. Pamoja na kuanza kwa kishindo safari yake ya kuelekea Afrika Kusini ‘Sauz’ kwa ajili ya fainali za kuwania Tuzo za MTV Africa (MAMA), mwanamuziki Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ na baby wake, Wema Isaac Sepetu wamechafua hali ya hewa, Ijumaa Wikienda lilikuwa linarandaranda ndani ya nyumba.
Mkali wa Bongo Fleva, Diamond Platinumz 'akijidai' ndani ya ukumbi wa Club Billicanas.
Pamoja na kufanya makamuzi ya kufa mtu kwenye shoo ya kuwatambulisha wasanii wanaowania tuzo hizo kwenye Ukumbi wa Bilicanas uliopo Posta, Dar, Diamond hakumpandisha Wema stejini kama kawaida yake, jambo lililozua kizaazaa.
Kuna muda mashabiki wake walipiga kelele wakimtaka Wema apande stejini lakini hakufanya hivyo.
Awali Diamond alipanda stejini mishale ya saa 8:00 akipishwa na msanii kutoka Sauz, Jigger ambaye alikuwepo kwa ajili ya kutoa sapoti kwa Mbongo Fleva huyo.
Wema Sepetu akihojiwa na mmoja ya watangazaji katika ukumbi wa Billicanas.
Msauz huyo alifanya shoo ya dakika 20 kisha akampisha Diamond ambaye aliingia na Kibao cha Uswazi Take Away Remix, ambacho ndani yake amemfagilia Halima Haroun ‘Kimwana’ ambaye ni hasimu wa mpenzi wake, Wema.
Baada ya kumaliza wimbo huo ndipo baadhi ya mashabiki wakasikika wakimwambia Diamond ampandishe Wema la sivyo watakinukisha.
Diamond akigonga shoo.
Ishu hiyo iliendelea hadi jamaa aliposhuka stejini hapo.
Wakati Diamond akiendelea kufanya makamuzi yake hayo, Wema na Halima Kimwana wote walikuwepo ukumbini hapo na kwa bahati nzuri kama si mbaya walijikuta wote wakimshangilia Diamond, tena wakiwa VIP ya juu ambapo walikuwa wakiingia watu maalum.
Mwanahabari wetu aliwashuhudia wawili hao walipogeukiana kila mmoja alionekana kumwekea mwenzake uso wa mbuzi.
Nyomi ya kufa mtu.
Hali hiyo ilidumu hadi Diamond alipomaliza shoo yake na Wema kushuka na kumuacha Halima Kimwana.
Baada ya shughuli za shoo Diamond alibaki na Halima Kimwana wakicheza disco.
Kufuatia hali hiyo kwenye mitandao ya kijamii usiku huohuo, kuliibuka maneno mengi kutoka kila upande kuwa shoo ya Diamond ilichafuliwa na Wema na Halima Kimwana ambaye alidaiwa alijipanga kwenda kumfanyia fujo Wema kwa kuwa yupo upande wa Penniel Mungilwa ‘Penny
Share:

HAPANA CHEZEA MASOGANGE WEWE MCHEKI HAPA AKIWA NDANI YA KIGAUNI KIFUPI

NISHIDDAH......
Share:

KILICHOMUUA KUMBIANA...

KWELI kifo hakina huruma! Msemo huu umetimia juzi kufuatia kifo cha ghafla cha mwigizaji na mwongozaji wa filamu za Kibongo, Adam Philip Kuambiana (38) kilichotokea akiwa njiani kukimbizwa kwenye Hospitali ya Mama Ngoma, Mwenge jijini Dar es Salaam baada ya kuugua.
Mwili wa Adam Kuambiana ukipelekwa Hospitali ya Muhimbili.
Kuambiana aliugua ghafla kwenye kambi ya kurekodi filamu na wasanii wenzake iliyopo katika Nyumba ya Kulala Wageni ya Silvarado iliyopo Sinza ya Kwaremmy, Dar.
NINI CHANZO CHA KIFO?
Akizungumza na Ijumaa Wikienda Jumamosi iliyopita nje ya Hospitali ya Mama Ngoma, msanii wa Bongo Fleva, Aboubakar Katwila ‘Q-Chillah’ alisema muda mchache kabla ya kufikwa na mauti,  Kuambiana alimlalamikia maumivu ya tumbo ambapo Ijumaa iliyopita alisema hali yake si nzuri kwani alikuwa akiendesha damu tupu.
Mmoja wa wasanii aliyekuwa katika harakati za kushuti video na Adam Kuambiana akilia kwa uchungu.
Q-Chillah alisema: “Jana (Ijumaa) jioni Kuambiana na wasanii wenzake walikuwa baa wakinywa pombe hadi usiku mnene lakini bado aliendelea kulalamikia maumivu ya tumbo.
“Wenzake walimuuliza ni kwa nini alikuwa akiendelea kunywa pombe kama anaumwa? Akawaambia wamuache!
“Baada ya kumaliza kunywa kila mmoja alikwenda kulala chumbani kwake huku tukiahidiana kwamba itakapofika saa 3:00 asubuhi tuwe tayari kwa ajili ya kwenda ‘location’.
“Lakini ulipofika muda huo sisi tukiwa tayari kwa safari tulikwenda kugonga mlango wa chumba chake bila mafanikio.
Yobunesh Batuli akiwa na simanzi nzito.
“Cha kushangaza, alisikika sauti yake kwa mbali. Kwa bahati nzuri mlango ulikuwa wazi, mmoja akaingia ndani na kumkuta ameanguka chooni na hajiwezi. Neno lake la mwisho alisema kwamba anajisikia kuishiwa nguvu na anaharisha damu.
“Kutokana na hali yake hiyo mbaya tulimbeba na kumlaza kitandani kisha tukatafuta gari na kumkimbiza Hospitali ya Mama Ngoma ambapo daktari alisema kwamba alishafariki dunia muda mrefu.”
Rais wa Bongo Muvi, Steve Nyerere (katikati) na Mtitu wakiwa katika hali ya majonzi.
VIDONDA VYA TUMBO VYATAJWA
Kwa mujibu wa watu wa karibu, Kuambiana kwa muda mrefu amekuwa akisumbuliwa na ugonjwa wa vidonda vya tumbo (ulcers). Lakini pia inadaiwa alikuwa akisumbuliwa na kisukari (diabetes).
DAKTARI AELEZEA
Ijumaa Wikienda lilimtafuta daktari mmoja wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (aliomba jina kuhifadhiwa) ili azungumzie kuhusu vidonda vya tumbo, alisema:
“Kwa kawaida, mtu kuharisha damu kwa sababu ya vidonda vya tumbo inawezekana kabisa, hiyo kitaalam inaitwa heamatemesis. Inatokana na perforation ya tumbo yaani kidonda kuwa kikubwa.
“Kwa mtumiaji wa pombe ni kipindi anatakiwa kusimama au kuacha moja kwa moja. Kama hatajali afya yake anaweza kufa ghafla kwani uwezekano wa utumbo kukatika ghafla ni mkubwa.”
ALIJUA KIFO CHAKE
Q-Chilla ambaye ni miongoni wa wasanii wanaocheza filamu hiyo, aliendelea kusema kuwa siku chache kabla ya kifo, Kuambiana alimwambia filamu yake hiyo inayoitwa Jojo ndiyo ya mwisho, hatajishughulisha tena na sanaa na alikuwa na mpango wa kwenda China kupumzika kwa muda mrefu.
Ni simanzi na majonzi.
“Nimeumia sana kwani hii filamu ndiyo ilikuwa apate fedha nyingi sana kwa sababu ni ya kwake mwenyewe na ni kali mno, amecheza vizuri akinishirikisha mimi.
“Lakini ndiyo hivyo tena imeishia katikati, sijui ni nani atakayeiendeleza maana mwenyewe katuachia majonzi yasiyoelezeka,”alisema Q-Chillah.
AMEMFUATA MDOGO WAKE
Habari zaidi zinasema kwamba, Kuambiana ameaga dunia hata arobaini ya mdogo wake wa damu, Patrick  haijafika. Patrick alifariki dunia mwezi mmoja uliopita.
AKUTANA NA MHARIRI WA GLOBAL
Ijumaa saa 10:00 jioni maeneo ya Sinza Kwaremmy jirani na Silvarado, Kuambiana alikutana na Mhariri Kiongozi wa Magazeti Pendwa ya Global Publishers, Oscar Ndauka.
Mhariri huyo alimuuliza ni kwa nini hawaonani siku hizi, Kuambiana akajibu:
“Nipo Mr Ndauka, nipo bwana. Tutaonana lakini sina hakika sana.” Kuambiana alionekana mwenye afya njema na alimtania mhariri huyo kwa kumwambia: “Naona siku hizi Ndauka unazidi kunenepa tu, mi maisha yananipiga.”
Msanii Sandra akilia kwa uchungu.
STEVE NYERERE, BATULI WALIA SANA
Baada ya taarifa kuenea, wasanii mbalimbali wa filamu walikusanyika katika Hospitali ya Mama Ngoma ambapo Mwenyekiti wa Bongo Movie Unity, Steven Mengere ‘Steve Nyerere’ na Yobnesh Yusuf ‘Batuli’ walivunja rekodi ya kulia kufuatia kifo hicho.
WADAU WAZUNGUMZIA MTU KUANGUKA CHOONI
Wadau na mashabiki wa filamu waliokuwa eneo hilo walisikika wakisema kwamba wasanii wengi hawana tabia za kucheki afya zao, jambo ambalo linawagharimu kiasi cha kupoteza maisha.
Wengine walisikika wakisema kwamba watu wanaoanguka chooni mara nyingi huwa hawaponi, wakipona huwa wanapooza miili.
Mke wa marehemu Adam Kuambiana, Janeth Rithe ambaye ni Diwani wa Kata ya Kunduchi akifarijiwa.
“Unajua watu wengi wanakosea, pale mtu anapodondoka chooni wanamkimbiza hospitali badala ya kumtibu kienyeji, mtu akianguka  chooni tu anatakiwa kupewa ndizi mbivu lakini akipelekwa hospitali lazima afe,” walisikika watu.
HISTORIA YAKE KWA UFUPI
Marehemu Kuambiana alizaliwa mwaka 1976, Ifunda mkoani Iringa. Kabila ni Mmakua wa mkoani Mtwara.
Marehemu Kuambiana anatarajiwa kuzikwa kesho kwenye Makaburi ya Kinondoni jijini Dar.
Mungu ailaze pema peponi roho yake. Amina.
Share:

WANAOKWENGDA MLALE SONGEA AWAMU YA PILI

S/NoMKOANAMBA YA SHULEJINA LA SHULEJINSIJINA
1 ARUSHA S0857 LONGIDO SECONDARY SCHOOL M BENJAMINI M ALANDO
2 ARUSHA S0857 LONGIDO SECONDARY SCHOOL M BENSON FLEXON SHIRIMA
3 ARUSHA S0857 LONGIDO SECONDARY SCHOOL M BONIPHACE KISARWA
4 ARUSHA S0857 LONGIDO SECONDARY SCHOOL M BRYSON SEMO
5 ARUSHA S0857 LONGIDO SECONDARY SCHOOL M CHRISTOPHER K BARNABA
6 ARUSHA S0857 LONGIDO SECONDARY SCHOOL M CHRIZOSTOM MANGA MACHUMU
7 ARUSHA S0857 LONGIDO SECONDARY SCHOOL M DANIEL KIZUMI
8 ARUSHA S0857 LONGIDO SECONDARY SCHOOL M DANIEL MUNYONYO
9 ARUSHA S0857 LONGIDO SECONDARY SCHOOL M DAUDI NAIMAN NYITI
10 ARUSHA S0857 LONGIDO SECONDARY SCHOOL M DAVID ELIAS
11 ARUSHA S0949 IRKISONGO SECONDARY SCHOOL M BENSON JAMES LEMA
12 ARUSHA S0949 IRKISONGO SECONDARY SCHOOL M DAUDI PHILIPO AMASI
13 ARUSHA S1061 MAKIBA SECONDARY SCHOOL M CHIEF S PAUL
14 ARUSHA S1061 MAKIBA SECONDARY SCHOOL M COSMAS REUBEN
15 ARUSHA S1061 MAKIBA SECONDARY SCHOOL M DAUD LAMECK ROBERT
16 ARUSHA S1061 MAKIBA SECONDARY SCHOOL M DAUDI QWARI SAKTAY
17 ARUSHA S1098 MAJI YA CHAI SECONDARY SCHOOL M CHESCO ALEY
18 ARUSHA S1098 MAJI YA CHAI SECONDARY SCHOOL M DATIUS VEDASTO
19 ARUSHA S1098 MAJI YA CHAI SECONDARY SCHOOL M DAUDI FRANCIS QWARAY
20 ARUSHA S1098 MAJI YA CHAI SECONDARY SCHOOL M DAVID ELIBARIKI
21 ARUSHA S1198 TANZANIA ADVENTIST SECONDARY SCHOOL M BRIAN SESSAN
22 ARUSHA S1198 TANZANIA ADVENTIST SECONDARY SCHOOL M CASTORY M KANDILA
23 ARUSHA S1549 ENGUTOTO SECONDARY SCHOOL M BONIPHACE CHARLES
24 ARUSHA S1549 ENGUTOTO SECONDARY SCHOOL M CELESTINE INOCENT NGAILO
25 ARUSHA S2433 GANAKO SECONDARY SCHOOL M CHACHA J MARWA
26 ARUSHA S2433 GANAKO SECONDARY SCHOOL M CHARLES SAREYO LOSIYO
27 ARUSHA S2433 GANAKO SECONDARY SCHOOL M DAUDI KIMARIO ABASI
28 ARUSHA S4746 CORNERSTONE LEADERSHIP SECONDARY SCHOOL M DAMAS LAMECK
29 ARUSHA S4746 CORNERSTONE LEADERSHIP SECONDARY SCHOOL M DANIEL S MWASONGWE
30 DAR ES SALAAM S0342 SHAABAN ROBERT SECONDARY SCHOOL F NEEMA HAMISI HALFAN
31 DAR ES SALAAM S0342 SHAABAN ROBERT SECONDARY SCHOOL F NEHA VIJAY DHARAMSI
32 DAR ES SALAAM S0342 SHAABAN ROBERT SECONDARY SCHOOL F NURU MKIBA
33 DAR ES SALAAM S0342 SHAABAN ROBERT SECONDARY SCHOOL F POOJA RAMESH DIVECHA
34 DAR ES SALAAM S0342 SHAABAN ROBERT SECONDARY SCHOOL F SAKINA MUSTAFA AMIJEE
35 DAR ES SALAAM S0342 SHAABAN ROBERT SECONDARY SCHOOL F SHIVANGI MUKESH MANDANIA
BONYEZA HAPA KUANGALIA MAJINA ZAIDI
Share:

MAJINA WANAOKWENDA-MAFINGA IRINGA AWAMU YA PILI

S/NoMKOANAMBA YA SHULEJINA LA SHULEJINSIJINA
1 ARUSHA S0110 ILBORU SECONDARY SCHOOL M HUDHAIFA A ISSARE
2 ARUSHA S0110 ILBORU SECONDARY SCHOOL M IDD GODFREY
3 ARUSHA S0110 ILBORU SECONDARY SCHOOL M IDDI MSHANA
4 ARUSHA S0110 ILBORU SECONDARY SCHOOL M INNOCENT ABEL KAFUGUGU
5 ARUSHA S0110 ILBORU SECONDARY SCHOOL M ISAAC ELIAS SANGA
6 ARUSHA S0110 ILBORU SECONDARY SCHOOL M ISACK ISSA
7 ARUSHA S0110 ILBORU SECONDARY SCHOOL M ISMAIL M RAMADHAN
8 ARUSHA S0110 ILBORU SECONDARY SCHOOL M ISSA MAJURA
9 ARUSHA S0164 USA SEMINARY M HENRY MAGESSA
10 ARUSHA S0164 USA SEMINARY M INNOCENT JAMES MWANGA
11 ARUSHA S0302 ARUSHA SECONDARY SCHOOL M HASSAN ADAMU
12 ARUSHA S0302 ARUSHA SECONDARY SCHOOL M HASSAN HAMISI MAGUZO
13 ARUSHA S0302 ARUSHA SECONDARY SCHOOL M INNOCENT YAHAYA EMMANUEL
14 ARUSHA S0308 ENABOISHU SECONDARY SCHOOL M IBRAHIM S LYIMO
15 ARUSHA S0329 MAKUMIRA SECONDARY SCHOOL F JANETH KISSIRI
16 ARUSHA S0364 KARATU SECONDARY SCHOOL M HASSAN A BUU
17 ARUSHA S0364 KARATU SECONDARY SCHOOL M HASSANEMANUEL LANTA
18 ARUSHA S0364 KARATU SECONDARY SCHOOL M HENRICO MBAYA
19 ARUSHA S0364 KARATU SECONDARY SCHOOL M HERMAN JOHN
20 ARUSHA S0364 KARATU SECONDARY SCHOOL M IBRAHIMMARWA BENJAMIN
21 ARUSHA S0364 KARATU SECONDARY SCHOOL M IDRISA HAMISI
22 ARUSHA S0364 KARATU SECONDARY SCHOOL M IGNAS DYEGURA
23 ARUSHA S0364 KARATU SECONDARY SCHOOL M INOCENT C MMBAGA
24 ARUSHA S0364 KARATU SECONDARY SCHOOL M INOCENTJOSEPH MUSHI
25 ARUSHA S0364 KARATU SECONDARY SCHOOL M ISAYAISRAELI QAMARA
26 ARUSHA S0409 MORINGE SOKOINE SECONDARY SCHOOL F JANETH J NAMOYO
27 ARUSHA S0454 ST.JOSEPH NGARENARO SEC. SCHOOL F JANETH STEPHEN MBUYA
28 ARUSHA S0526 MRINGA SECONDARY SCHOOL F JANE HAONGA
29 ARUSHA S0629 EDMUND-RICE-SINON SECONDARY SCHOOL M HASHIM A NOKO
30 ARUSHA S0629 EDMUND-RICE-SINON SECONDARY SCHOOL M HASSAN BAKARY
ANGALIA ZAIDI
Share:

MAJINA WANAOKWENDA MRAMBA TANGA AWAMU YA PILI

E-mail Print
S/NoMKOANAMBA YA SHULEJINA LA SHULEJINSIJINA
1 ARUSHA S0302 ARUSHA SECONDARY SCHOOL M MAXMILIAN GABRIEL MALISA
2 ARUSHA S0329 MAKUMIRA SECONDARY SCHOOL M MARTINIAN S KAMILI
3 ARUSHA S0364 KARATU SECONDARY SCHOOL M LUKA GAMA
4 ARUSHA S0364 KARATU SECONDARY SCHOOL M MABULA MOSES
5 ARUSHA S0364 KARATU SECONDARY SCHOOL M MAGABE JOSEPH
6 ARUSHA S0364 KARATU SECONDARY SCHOOL M MAGANGA PETRO
7 ARUSHA S0364 KARATU SECONDARY SCHOOL M MAGEMBE MADUHU
8 ARUSHA S0364 KARATU SECONDARY SCHOOL M MAHUNA MUSSA
9 ARUSHA S0364 KARATU SECONDARY SCHOOL M MAJUTO C MASEKE
10 ARUSHA S0364 KARATU SECONDARY SCHOOL M MALIJOEL S MALI
11 ARUSHA S0364 KARATU SECONDARY SCHOOL M MALKIADI T PASCHAL
12 ARUSHA S0364 KARATU SECONDARY SCHOOL M MALKIORIKWASLEMA LAPYA
13 ARUSHA S0364 KARATU SECONDARY SCHOOL M MANENOMACHIMU MAYALA
14 ARUSHA S0364 KARATU SECONDARY SCHOOL M MANETH J LAMECK
15 ARUSHA S0364 KARATU SECONDARY SCHOOL M MANSWABU J SHEMALADI
16 ARUSHA S0364 KARATU SECONDARY SCHOOL M MANYERERE EVARIST
17 ARUSHA S0364 KARATU SECONDARY SCHOOL M MARWA CHACHA
18 ARUSHA S0364 KARATU SECONDARY SCHOOL M MATHEW K ERNEST
19 ARUSHA S0364 KARATU SECONDARY SCHOOL M MATOVU MUHIHI
20 ARUSHA S0364 KARATU SECONDARY SCHOOL M MAXMINOBARABOJICK MEDARD
ANGALIA ZAIDI
Share:

MAJINA AWAMUA YA PILI WANOKWENDA MGAMBO TANGA-AWAMU YA PILI

S/NoMKOANAMBA YA SHULEJINA LA SHULEJINSIJINA
1 ARUSHA S2295 MAIRIVA SECONDARY SCHOOL M RAYMOND K WILSON
2 ARUSHA S2433 GANAKO SECONDARY SCHOOL M MICHAEL STEVEN
3 ARUSHA S2433 GANAKO SECONDARY SCHOOL M MKWEPO M MKWEPO
4 ARUSHA S2433 GANAKO SECONDARY SCHOOL M PASCHAL MAGATI
5 ARUSHA S2433 GANAKO SECONDARY SCHOOL M SADIKI ELITWAZA ELINAJA
6 ARUSHA S2433 GANAKO SECONDARY SCHOOL M SAMWEL STEPHANO
7 ARUSHA S2433 GANAKO SECONDARY SCHOOL M THOBIAS ROBERT MASALU
8 ARUSHA S2433 GANAKO SECONDARY SCHOOL M TUMAINI KASTULI SAFARI
9 ARUSHA S3646 DULUTI SECONDARY SCHOOL M PETER HAMISI CLEMENCE
10 ARUSHA S3646 DULUTI SECONDARY SCHOOL M WILLIAM SONDA
11 ARUSHA S3646 DULUTI SECONDARY SCHOOL M YAHAYA ADINAN MUSHI
12 ARUSHA S4746 CORNERSTONE LEADERSHIP SECONDARY SCHOOL M MICHAEL SAMWEL
13 ARUSHA S4746 CORNERSTONE LEADERSHIP SECONDARY SCHOOL M NG'ITU JONAS JAMES
14 ARUSHA S4746 CORNERSTONE LEADERSHIP SECONDARY SCHOOL M NOEL A HAULE
15 ARUSHA S4746 CORNERSTONE LEADERSHIP SECONDARY SCHOOL M RAJAB Y SALUM
16 ARUSHA S4746 CORNERSTONE LEADERSHIP SECONDARY SCHOOL M SAMWEL ZACHARIA JOSEPH
17 ARUSHA S4746 CORNERSTONE LEADERSHIP SECONDARY SCHOOL M WAMBUI R KINYANJUI
18 DAR ES SALAAM S2499 TUSIIME SECONDARY SCHOOL M MIBAZI GODFREY
19 DAR ES SALAAM S2499 TUSIIME SECONDARY SCHOOL M MICHAEL SIMBILA
20 DAR ES SALAAM S2499 TUSIIME SECONDARY SCHOOL M MOGELLA ALKADO HENRY
ANGALIA ZAIDI
Share:
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger