
KIKAO Maalum cha Sekretarieti ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kilichokutana Dodoma tarehe 30, Machi, 2022 pamoja na mambo mengine ikifanya uteuzi wa watendaji wa Jumuiya ya Wazazi ngazi ya wilaya.Sambamba na kufanya uhamisho kwa baadhi ya watendaji wa wilaya na makao makuu...