Saturday, 12 June 2021

Tanzia : MTANGAZAJI MAARUFU FREDWAA AFARIKI DUNIA

...

 

Mtangazaji Fred Fidelis maarufu kama Fredwaa amefariki dunia leo Jumamosi Juni 12, 2021 baada ya kupata ajali maeneo ya Kawe, Dar es salaam.


Fredwaa amewahi kufanya kazi Times FM Dar es salaam, Radio Free Africa Mwanza pamoja na CloudsFM


Share:

0 comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger