Sunday, 20 June 2021

RAIS SAMIA ATEUA WAKUU WA WILAYA WAPYA KISHAPU NA KAHAMA... SHINYANGA AMBAKIZA JASINTA MBONEKO

...

Mkuu wa wilaya ya Shinyanga Jasinta Venant Mboneko 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan Jumamosi Juni 19,2021 amefanya uteuzi wa Wakuu wa Wilayanchini ambapo amewabadilisha vituo vya kazi baadhi, ameingiza sura mpya na kuwarudisha waliowahi kushika nafasi hizo.

Katika orodha hiyo, Kwa upande wa mkoa wa Shinyanga, Rais Samia amewateua Joseph Modest Mkude kuwa Mkuu wa wilaya ya Kishapu akichukua nafasi ya Nyabaganga Talaba, Festo Kiswaga kuwa mkuu wa wilaya ya Kahama akichukua nafasi ya Anamringi Macha huku Jasinta Mboneko akibakizwa katika nafasi ya Ukuu wa wilaya ya Shinyanga.

Share:

0 comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger