Monday, 20 July 2020

Waziri wa TAMISEMI Selemani Jafo Aibuka Mshindi kwenye kura za maoni katika Jimbo la Kisarawe kwa kupata Kura 588

...
Zoezi la kuhesabu kura za maoni, Jimbo la Kisarawe limekamilika na Waziri wa TAMISEMI Selemani Jafo ameibuka mshindi.

Selemani Jafo-588
Hassan Bangusilo- 1
Fransis Gosbert -1
Mohamed Masenga-1
Ally Goha -2
Zemba Mumbi -2
Zainabu Zowange-2
Chaulembo -3


Share:

Related Posts:

0 comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © 2025 MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger