Monday, 20 July 2020

Abbas Tarimba Aongoza kura za maoni CCM Jimbo la Kinondoni

...
Katika kura za maoni CCM Jimbo la Kinondoni Abbas Tarimba Abbas Tarimba ameongoza  kwa kupata kura 171, akifuatiwa na Idd Azann kura 77, George Wanyama 32 huku mbunge anayemaliza muda wake Maulid Mtulia akipata kura 11.


Share:

Related Posts:

0 comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © 2025 MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger