Monday, 20 July 2020

Waziri William Lukuvi aibuka kidedea katika kura za maoni Jimbo la Isimani, Iringa

...
Zoezi la kuhesabu kura katika Jimbo la Isimani mkoani Iringa limekamilika na Waziri wa Aridhi William Lukuvi ameibuka mshindi kwa kupata kura 453.

Lukuvi - 453
Kiyoyo - 16
Mwilinge - 5
Kidunye - 5
Kalinga - 4
Mfilinge - 4
Kushoka - 0
Chengula - 0
Gange - 0


Share:

Related Posts:

0 comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © 2025 MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger