Jeshi
la Polisi mkoani Morogoro linamshikilia mtu mmoja aliyefahamika kwa
jina la Zakaria Benjamini mkazi wa Tungi Manispaa ya Morogoro baada ya
kuingia hospitali ya rufaa kwa nia ya kufanya utapeli na kutaka kutoa
huduma kwa wagonjwa waliolazwa hospitalini hapo.
Akizungumza
na waandishi wa habari Kamanda wa jeshi hilo Ulrich Matei amesema mtu
huyo ameshikiliwa na jeshi hilo kufuatia tuhuma zinazo mkabili na mara
baada ya kubaini ukweli wa jambo hilo atafikishwa mahakamani kujibu
tuhuma hizo.
0 comments:
Post a Comment