Waziri wa Nchi,Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma Mh.Celina Kombani amefariki dunia nchini India alikokuwa akipatiwa matibabu.
Taarifa za kifo chake kimewastua Viongozi wa Serikali, Wanachama wa Chama Cha Mapinduzi na wananchi wa Jimbo lake .
0 comments:
Post a Comment