Habari wakuu,
Ile kamati iliyoundwa na Nape Nnauye ya masaa 24 inawasilishwa leo,
baada ya kuzungumza historia ya tatizo, msemaji anasema wamejaribu
juhudi zote za kumpata mkuu wa mkoa wa Dar ikiwemo kumpigia simu na
kumpelekea taarifa ofisi.
The
Ministry of Health, Community Development, Gender, Elderly and Children
in Tanzania has announced 500 job opportunities to Doctors. The qualified candidates who are willing to work in Kenya are invited to apply through an e mail address maombiyakazi@moh.go.tz Please read the full announcement at the image below and apply before 27 March 2017. Please, share this announcement as much as you can. You may also download this announcement in PDF File from the Ministry of Health Official Website, click here
Wajumbe
wa Chama cha Wanasheria wa Tanganyika (TLS), leo wamefanya uchaguzi wa
kumchagua rais pamoja na wajumbe wa ngazi mbalimbali za uongozi wa chama
chao.
Uchaguzi
huo umefanyika mjini Arusha ambako wanachama wa TLS wamekutana
kutekeleza ratiba hiyo pamoja na kupanga mipango mbalimbali ya utendaji
kazi wa chama hicho.
Matokeo ni kama ifuatavyo:
Urais: Kura zilizopigwa 1682
Tundu Lissu 1411 sawa na asilimia 88
Francis Stolla 64
Victoria Mandari 176
Godwin Mwapongo 64
==>Kwa
upande wa nafasi ya Makamu wa Rais (TLS) mshindi ni Godwin Ngwilimi
aliyekuwa Mwanasheria wa Tanesco na kutimuliwa kwa kupinga Escrow.