Thursday 30 March 2017

Tangazo la kuitwa kazini Wizara ya Afya

...


Image result for nembo ya taifa tanzania

TANGAZO LA KUITWA KAZINI

Wizara ya afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto

inawajulisha waliofaulu usaili wa ajira za dharura kupitia ufadhili wa

CDC kuwa wanatakiwa kufika Wizarani Dar es salaam siku ya jumanne

tarehe 04 Aprili, 2017 kuanzia saa tatu asubuhi kwa ajili ya kujaza

mikataba na kupangiwa vituo vya kazi. wito huu ni muhimu wahusika

wote wanatakiwa kufika bila kukosa

Imetolewa na Idara ya Utawala na Rasilimaliwatu, Wizara ya afya,

Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto

KUPATA MAJINA>>BOFYA HAPA>>
Share:

0 comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger