Monday 23 June 2014

WEMA SEPETU AFUNGUKA MAMBO MAZITO SOMA HAPA


Masikini Wema katika siku alizowahi kuongea kwa uchungu, leo ametisha. Kwa kilic
homkuta leo hatamani hata kuelezea.
Share:

JOYCE KIRIA AFUNGUKA KUHUSU KESI YA MUMEWE FROLA MBASHA



FRORA MBASHA POLE SANA...
Share:

Sunday 22 June 2014

KATIBU MKUU WIZARA YA ELIMU PROFESA MCHOME AZINDUA OFISI ZA NACTE MIKOANI



Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Profesa Sifuni Mchome (kulia) akimkabidhi Edward Mneda nyaraka za utendaji kazi kufuatia kuteuliwa kuwa Mkuu wa Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE) Kanda ya Kati. Kushoto ni Mkuu wa Kanda Msaidizi wa Kanda ya Ziwa Beatrice Mpanda. Baraza hilo limefungua ofisi katika kanda tano Dodoma, Arusha, Zanzibar, Mbeya na Mwanza kurahisisha utekelezaji wa majukumu yake.
Share:

DOWNLOAD WIMBO MPYA WA DIAMOND PLATNUMZ FT. LINAH - KIZAIZAI

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
 
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhnXbmRdumG0NzVpsQtwvZNXvVYYM1p0MytiNlAVjKyfS-U-CV7WICsQm44VSBpZGDzTtlNIO28IDsDYs44uNmmZ5U8Zvo9pFynwgapWMZLj5kmgrsJf8ADkzt0uN3irWoOVYcAVLeOox0C/s1600/DIAMOND+&+LINAH.jpg
Share:

MAMLAKA YA MAWASILIANO TANZANIA (TCRA) YAJA NA MBINU YA KUDHIBITI MITANDAO

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY

cy
Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), inajipanga kuja na mfumo wa kompyuta utakaoratibu taarifa zote zinazopakiwa mtandaoni ili kukabiliana na vitendo vya udhalilishaji vinavyofanywa na watu wasio na maadili ya uandishi wa habari. 
Share:

LOWASSA ATANGAZA"UAMUZI MGUMU"

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY

Monduli. Waziri Mkuu wa zamani na Mbunge wa Jimbo la Monduli, Edward Lowassa ametangaza kuanza kwa hatua za kuyarejesha kwenye Mamlaka za Serikali za Vijiji mashamba 21 ya wawekezaji  yenye ukubwa wa zaidi ya ekari 10,000,  ambayo hayajaendelezwa.
Share:

Mapendekezo ya Kamati za Bunge Maalumu yanayodhoofisha Muungano – 2

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY

Makala haya ni mwendelezo wa makala yaliyoanza wiki iliyopita. Madhumuni ya makala hizi ni kupitia kamati zote za Bunge Maalumu kiuchambuzi ili kubaini mapendekezo ambayo yanadhoofisha Muungano. Aidha, uchambuzi huu utawawezesha wadau wote katika mchakato wa kuandika Katiba Mpya ya Tanzania ikiwamo wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba kuwa na utambuzi wa kina kuhusu Rasimu ya Katiba Mpya.
Kamati namba 1 katika ukurasa wake wa 8 inasema “kiutawala na kimamlaka” Serikali ya Muungano kama ilivyopendekezwa katika Rasimu inatenganishwa na wananchi kwa sababu haihusiki na mambo yanayowagusa wananchi moja kwa moja. Hoja hii ya Kamati haina mashiko na haiakisi uhalisia sasa wa namna Serikali inaevyoenenda kiutawala na kimamlaka, lakini pia huu sio uhalisia wa yaliyomo katika Rasimu ya Katiba Mpya Toleo la Pili.
Share:

VYAMA VYA SIASA TANZANIA VYAIPINGA NEC

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY

http://freemedia.co.tz/daima/wp-content/uploads/2014/06/nccr.jpg
Hatua ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kuandika upya daftari la kudumu la wapiga kura, imeendelea kupingwa kwamba haijavishirikisha vyama vya siasa nchini kama wadau muhimu.Katika mahojiano na Tanzania Daima Jumapili, Katibu Mkuu wa NCCR – Mageuzi, Mosena Nyambabe, alisema NEC itegemee changamoto nyingi kujitokeza katika mchakato ambao wameupanga na Serikali ya CCM.
Share:

JAHAZI MODERN TAARAB: YAZINDUA ALBAMU MPYA IITWAYO 'CHOZI LA MAMA'

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Meneja wa Jahazi Modern Taarab, Mohammed Rashid Mauji 'Father Mauji' pamoja na shabiki wa Jahazi wakizindua albamu mpya iitwayo Chozi la Mama
Share:

Saturday 21 June 2014

WIZARA YA AFYA YATANGAZA:MAOMBI YA NAFASI ZA MAFUNZO 2014/2015

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
                              
 WIZARA YA AFYA INATANGAZA NAFASI ZA MAFUNZO MWAKA WA MASOMO
Share:

MAINDA WA BONGO MUVI AFUNGUKA KUHUSU WANAOHOJI ULOKOLE WAKE

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY

www.hypersmash.com/dreamhost/
Share:

ASKARI MAGEREZA WAPO FITI:ANGALIA MAADHIMISHO YA SIKU YA MAGEREZA NCHINI CHUO CHA UKONGA DAR!

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY

Askari akiwa kabeba tofali linalovunjwa kwa nyundo huku chini kukiwa na kisu.
Share:

DALADALA YAUA DAR

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY

Kushoto ni gari ndogo aina ya Range Rover ambayo iligongwa na Daladala (kulia) iliyosababisha ajali hiyo
Share:

"MOTO MKUBWA WATOKEA CHUO KIKUU CHA DODOMA (UDOM)", WANAFUNZI WAKOSA AMANI ONA MTUKIO YOTE HAPA

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY

Moto uhuu umezuka  karibu na hostel za mabinti katika skuli ya sanaa na lugha (humanities), chanzo cha moto huo hakijajulikana mpaka sasa..... tutakujuza kadri taarifa zitavyozidi kutolewa.
Share:

VICKY KAMATA AFUNGUKA,AFANYIWA SHEREHE KUBWA SOMA HAPA

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY

 

BAADA ya kimya kirefu tangu ndoa iliyopagwa kufungwa kati yake na Charles Pai kuyeyuka, Mbunge wa Viti Maalum (CCM) anayewakilisha vijana Mkoa wa Geita, Vicky Kamata ameibuka na kufunguka mambo mengi lakini kubwa ni kwamba, amefanyiwa sherehe.
Mbunge wa Viti Maalum (CCM) anayewakilisha vijana Mkoa wa Geita, Vicky Kamata akiwa Bungeni.
Share:

MCHUNGAJI AFUNGUKA NI KUHUSU FLORA MBASHA NA MUMEWE

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY


 Mbasha akiwa na Pingu.
WAKATI mume wa mwimba Injili Bongo,  Flora Mbasha, Emmanuel Mbasha akiachiwa huru kwa dhamana kufuatia kesi ya kudaiwa kumbaka shemejiye, Mchungaji wa Kanisa la Ufufuo na Uzima la jijini Dar es Salaam, Josephat Gwajima ameibuka na kunena mazito kuhusiana na sakata hilo, Risasi Jumamosi limesheheni mkobani.
Share:

Friday 20 June 2014

BREAKING NEWZ:ST.JOSEPH UNIVERSITY TAWI LA ARUSHA WAGOMA

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
                                                         

                       HABARI ZILIZOTUFIKIA HIVI PUNDE NI KWAMBA WANAFUNZI WA GHO KIKUU ARUSHA WAMEGOMA KUINGIA DARASANI KWA SABABU YA KUTOKUWA NA FEDHA YA KULA.
Share:
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger