
SALVATORY NTANDU, SHINYANGA
Jeshi la Polisi mkoa wa Shinyanga linamshikilia mkazi wa Mtaa wa Kambarage Manspaa ya Shinyanga Petro Maro (43) kwa tuhuma ya Kumbaka mtoto wake wa kumzaa mwenye umri wa miaka 13 Mwanafunzi wa Darasa la Saba.
Taarifa iliyotolewa kwa vyombo vya habari Leo Septemba 29,2020...