Monday, 30 March 2020

Tahadhari Ya Corona: Ratiba Ya Bunge Litakaloanza Kesho Yabadilika

Na.Faustine Gimu Galafoni,Dodoma Vikao vya Bunge  la bajeti  kuu  vinatarajia kuanza kesho huku utaratibu mpya  ukiwekwa juu ya tahadhari ya Corona ambapo wataruhusiwa kuingia wabunge 150 pekee ukumbini tofauti na  ilivyokuwa hapo awali. Akizungumza na waandishi wa Habari...
Share:

MEYA TANGA AMPONGEZA RAIS MAGUFULI KWA KUTHAMINI IMANI ZA WATU

Mkuu wa wilaya ya Tanga Thobias Mwilapwa akizungumza wakati wa kikao cha Baraza la Madiwani MSTAHIKI meya wa Jiji la Tanga Alhaji Mustapha Selebosi akizungumza wakati wa kikao cha Baraza la Madiwani leo kulia ni Mkurugenzi wa Jiji la Tanga Daudi Mayeji kushoto ni Mwenyekiti wa CCM wilaya...
Share:

Wagonjwa Wa Corona Nchini Kenya Wafika 50

Waziri wa Afya wa Serikali ya Kenya Mutahi Kagwe leo Jumatatu Machi 30 ametangaza wagonjwa nane zaidi wa ugonjwa wa virusi vya corona COVID-19 na kufanya idadi ya wagonjwa nchini humo kufikia 50. Kwa mujibu wa gazeti la Daily Nation, waziri Kagwe amesema kuwa wagonjwa hao nane wameambukizwa virusi...
Share:

Waziri wa Viwanda na Biashara ampongeza mjasiriamali mtanzania aliyebuni kifaa maalumu cha kunawia mikono ili kujikinga na virusi vya Corona.

Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Innocent Bashungwa (Mb) leo tarehe 30 Machi, 2020 amepokea kifaa maalumu cha kunawia mikono kilichotengenezwa na mjasiriamali wa kitanzania ndugu. Jonas Urio (Ambaye anatokea katika mkoa wa Manyara). Mhe. Bashungwa amempongeza sana ndugu Jonas Urio kwa ubunifu...
Share:

Wizara Nne Zaunda Kamati Mzee Kisangani kuwa Bilionea

Issa Mtuwa – Dodoma Timu ya wataalam 9 kutoka wizara ya Madini, Wiziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira, wizara ya Viwanda na Biashara na Wiziri Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OR- TAMISEMI) imeundwa ili kumsaidia Mjasiliamali wa miaka 60 kutoka mkoani Njombe...
Share:

TAKUKURU Yakanusha Kusambaratisha Mkutano wa Katibu mkuu wa Wizara ya Maji, Profesa. Kitila Mkumbo

TAASISI ya kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) imekanusha taarifa inayosambaa katika mitandao ya kijamii kuhusiana na Mamlaka hiyo kusambaratisha mkutano wa Katibu mkuu wa Wizara ya Maji, Profesa. Kitila Mkumbo na wajumbe wa mkutano mkuu wa Wilaya (CCM) Iramba, Mkoani Singida. Kwa mujibu wa...
Share:

LADHA YAKE TAMU HULETA MSISIMKO, FURAHIA JAMBO UBUYU

...
Share:

Breaking : IDADI YA WAGONJWA WA CORONA TANZANIA YAFIKIA 19

 Waziri wa Afya nchini Tanzania, Ummy Mwalimu amesema wagonjwa wa corona nchini Tanzania wamefikia 19, baada ya watano kuongezeka leo Jumatatu Machi 30, 2020. Taarifa iliyotolewa na waziri huyo leo inaeleza kuwa wagonjwa hao watano walifanyiwa vipimo katika maabara kuu ya Taifa, “kati ya wagonjwa...
Share:

Rwanda Yaongoza Afrika Mashariki kwa Maambukizi ya Virusi Vya Corona....Waliombukizwa Hadi sasa ni 70

Rwanda imethibitisha visa 10 vipya vya maambukizi ya ugonjwa wa Corona  siku ya Jumapili na kufikisha 70 jumla ya watu wanaougua corona, Wizara ya afya Rwanda imetangaza. Katika hotuba yake kwa taifa usiku wa Ijumaa Rais Paul Kagame alisema idadi hiyo itaendelea kuongezeka kwasababu wale waliotangamana...
Share:

Idadi Ya Maambuki ya Corona Nchini Kenya Yafika 42

Watu wanne zaidi wameambukizwa virusi vya Corona nchini Kenya na kufikisha idadi ya wagonjwa kufikia 42, wakati huu serikali nchini humo ikiendelea kutekeleza amri ya watu kutotoka nje, ambayo imeathiri shughuli za biashara . Waziri wa afya Mutahi Kagwe amesema kuwa watatu walioambukizwa ni raia...
Share:

Marekani Yaendelea Kuongoza Kwa Maambuzi ya Virusi Vya Corona Duniani

Maambukizi ya kirusi cha corona yamepindukia 142,000 nchini Marekani na kulifanya taifa hilo kuongoza duniani, huku waliopoteza maisha wakipindukia 2,500. Katika jimbo la New York pekee, watu zaidi ya 1,000 wameripotiwa kufa, ikiwa ni chini ya mwezi mmoja tangu mgonjwa wa mwanzo kugundulika kwenye...
Share:

China Yatangaza Ushindi Dhidi Ya Virusi Vya Corona

China inasema kuna wagonjwa wapya 31 wa ugonjwa wa COVID-19 na vifo vinne hivi leo, kwa mujibu wa takwimu zilizotolewa na Kamisheni ya Afya ya nchi hiyo.  Miongoni mwa wagonjwa hao 31, thalathini walitoka nje ya nchi hiyo, na ni mmoja tu aliyeambukizwa katika jimbo la kaskazini magharibi la...
Share:

ALIYEKUWA MWENYEKITI WA TPSF SALUM SHAMTE AFARIKI DUNIA

Aliyekuwa Mwenyekiti wa Taasisi ya Sekta Binafsi Tanzania (TPSF)  na Mkurugenzi wa zamani wa Katani Limited Salum Shamte amefariki dunia katika Hospitali ya Taifa Muhimbili, alikokuwa akipatiwa matibabu. Mkewe Mariam Shamte amethibitisha. ...
Share:

ZITTO KABWE ATAJA MAMBO 8 KUKABILIANA NA CORONA

Kiongozi Mkuu wa Chama cha ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe, ametoa mapendekezo manane kupitia barua aliyomwandikia Rais John Magufuli, kuhusu nini kifanyike katika kuzuia maambukizi mapya ya ugonjwa wa corona. Zitto ambaye ni Mbunge wa Kigoma Mjini, kwenye barua hiyo alitoa pia ushauri juu ya namna...
Share:

Sita wajeruhiwa na fisi Shinyanga

Watu sita wa familia moja wakazi wa kijiji cha mwangalanga kata ya Samuye wilayani Shinyanga wamejeruhiwa kwa kung’atwa na fisi katika maeneo mbalimbali ya miili yao na ikidaiwa watu hao wamejeruhiwa na fisi huyo baada ya kumzingira kwa lengo la kumuua Tukio hilo lilitokea Machi 27, saa 10 jioni,...
Share:

New Video: Harmonize – Bed Room

New Video: Harmonize – Bed Room...
Share:

Jiko La Mkaa Lasababishavifo Vya Watu Wanne Shinyanga

SALVATORY NTANDU Wakazi wanne wa kitongoji cha Ngilimba ‘B’ kata ya Ulowa halmashauri ya Ushetu mkoani Shinyanga wamefariki dunia baada ya kuvuta  hewa yenye sumu  iliyosababishwa na mkaa waliouwasha kwenye jiko na kisha kuliweka ndani ya nyumba yao ili kujikinga na baridi. Akungumza na...
Share:
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © 2025 MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger