Wednesday, 31 July 2019

Waziri Kigwangalla atoa siku Saba kwa Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania

Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk Khamis Kigwangalla, ameipa siku saba Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS), kuhakikisha wanapeleka mapendekezo ya namna gani watawahakikishia wawekezaji malighafi. Katika mapendekezo hayo, amewataka kila mwaka walau kwa kipindi kisichopungua miaka mitano waweze...
Share:

Tamko la CHADEMA juu ya kukamatwa Mwandishi na kufariki Ofisa wa Wizara ya Fedha

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimetoa waraka kwa waandishi wa habari ambapo wametaka ufafanuzi juu ya matukio mbalimbali yanayotokea nchini ikwemo kukamatwa kwa Mwandishi wa habari za uchunguzi Erick Kabendera na kifo cha Ofisa wa Wizara ya Fedha. ...
Share:

TETESI ZA SOKA ULAYA JUMATANO

Manchester United wana nia kusaini mkataba na kiungo wa kati- nyuma wa Barcelona na Ufaransa Samuel Umtiti Manchester United wana nia kusaini mkataba na kiungo wa kati- nyuma wa Barcelona na Ufaransa Samuel Umtiti, mwenye umri wa miaka 25. (Le10 Sport ) Paris St-Germain wameweka turufu yao ya uhamisho...
Share:

Tuesday, 30 July 2019

POLISI WATAJA SABABU ZA KUMSHIKILIA MWANDISHI WA HABARI ERICK KABENDERA

Kamanda Lazaro Mambosasa Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, SACP Lazaro Mambosasa amesema Jeshi la Polisi linamshikilia kwa mahojiano mwandishi wa habari Erick Kabendera aliyekamatwa Julai 29, 2019 nyumbani kwake maeneo ya Mbweni Jijini Dar es Salaam. Kamanda Mambosasa amesema, mtuhumiwa...
Share:

UTEUZI MWINGINE KUTOKA IKULU MUDA HUU

...
Share:

Ofisa FEKI Wa jeshi la Polisi Atiwa Mbaroni

Jeshi la Polisi kanda maalum Dar es Salaam linamshikilia Daudi Ramadhani Iddy (23) mkazi wa Tabata Segerea kwa kujifanya ofisa wa Polisi, akiwa amevaa sare za Jeshi la Polisi na cheo cha mkaguzi msaidizi wa Polisi( Assistant Inspector). July 19, 2019 Jeshi la Polisi lilipata tarifa toka kwa askari...
Share:

Anayedaiwa kumuua na kumchoma mkewe Apandishwa Kizimbani

Mfanyabiashara Khamis Luwongo (Meshack), anayetuhumiwa kumuua mkewe na kumchoma kwa magunia mawili ya mkaa, amepandishwa kizimbani kwa tuhuma za mauaji ya kukusudia. Akisoma hati ya mashtaka Wakili wa Serikali Mwandamizi Wankyo Simon amedai leo mahakamani hapo mbele ya Hakimu Mkazi Salum Ally kuwa...
Share:

MKUU WA MKOA AWASHANGAA MADIWANI MANISPAA YA SHINYANGA KUVUNJA KIKAO CHA BARAZA,AKIRI MADUDU.. AAGIZA WATENGUE KAULI ...WAUFYATA!

Mkuu wa mkoa wa Shinyanga Mhe. Zainab Telack akizungumza kwenye kikao cha baraza la madiwani wa Manispaa ya Shinyanga leo Na Marco Maduhu - Malunde1 blog Shinyanga. Mkuu wa mkoa wa Shinyanga Mhe. Zainab Telack, ameagiza madiwani wa manispaa ya Shinyanga kutengua maamuzi yao ya kumkataa mkurugenzi...
Share:

MBUNGE WA CHADEMA WILFRED RWAKATARE AKANUSHA KUHAMIA CUF

Na Lydia Lugakila - Malunde1 blog  Bukoba Mbunge wa jimbo la Bukoba mjini mkoani Kagera,Mhe. Wilfred Muganyizi Rwakatare (CHADEMA) amekanusha uvumi wa kwamba amejiunga na Chama cha Wananchi CUF. Akitolea ufafanuzi huo leo Julai 30,2019 Rwakatare amesema hivi karibuni kumekuwepo na uvumi ambao...
Share:

Kutana na Mohamedi Buruhani Mwenye KUBRI kutoka kwa ALLAH .....Anauwezo wakufanya Dua mbalimbali Na Kutafsiri Ndoto

Kutana  na Mtabibu Mwenye KUBRI kutoka kwa ALLAH Mohamedi Buruhani Mtabibu wa Nyota za Binadamu  Mwenye UWEZO Kubaini tatizo lako Pindi tu Utakapo Fanya Mawasilino Kupitia Wasaa Husika.. JE UNASUMBULIWA NA Mapenzi? (Umeachwa na Umpendae,Awe Mume,Mke na Bado unampenda?Na  Umejaribu...
Share:

Nape Nnauye: " Wakubwa Wananichukia, Wacha Wanichukie maana Napigania Haki za Wananchi"

Mbunge wa jimbo la Mtama (CCM), Nape Nnauye amesema hana kinyongo na serikali yake na kwamba anapigania haki ya wananchi wake kama walivyoahidi kuwasimamia. Nape alisema awali mbaazi ilikuwa inafanya vizuri sokoni baadaye ikashuka kutoka Sh 2000 hadi Sh 100. “Ndio maana mbunge wenu nikawa mkali...
Share:

Rwakatale Akanusha Habari Za Kujiunga Na Chama Cha Wananchi CUF

NA AVITUS BENEDICTO KYARUZI, KAGERA. Mbunge wa jimbo la Bukoba mjini kupitia tiketi ya chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) mh wilfredy Muganyizi Rwakatale ametolea ufafanuzi  juu ya uvumi wa kujiunga na chama cha wananchi CUF ambao ulikuwa unasambaa katika mitandao mbalimbali ya kijamii...
Share:

Waziri wa Kilimo Japhet Hasunga Awasili Mkoani Simiyu, Aridhishwa Na Maandalizi Ya Nanenane Kitaifa

Na Mathias Canal, Wizara ya Kilimo-Simiyu Waziri wa Kilimo Mhe Japhet Hasunga tarehe 29 Julai 2019 amewasili Mkoani Simiyu kwa ajili ya kujionea maandalizi ya Maadhimisho 26 ya sikukuu ya wakulima maarufu kama (Nane Nane) yenye lengo la kuwatambua na kuwaenzi Wadau Wakuu wa Sekta ya Kilimo ambao ni...
Share:

Mahakama yasema itaifuta kesi ya Halima Mdee dhidi ya Rais

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam imesema itaifuta kesi ya kutoa lugha chafu dhidi ya Rais  Magufuli inayomkabili mbunge wa Kawe (Chadema), Halima Mdee kwa sababu ya shahidi kushindwa kutoa ushahidi wake kwa zaidi ya mara tatu mfululizo. Hayo yamesemwa leo Jumanne Julai 30,2019...
Share:

Jeshi la Polisi Latoa sababu za kumkamata mwandishi wa habari Erick Kabendera

Polisi kanda maalum ya Dar es salaam imethibitisha kumkamata mwandishi wa kujitegemea, Erick Kabendera kwa kutotii wito alioitwa na jeshi hilo.  Polisi wamesema kuitwa kwake ni kutaka kutoa utata wa uraia wake na wanaendelea na uchunguzi na kumuhoji kama ni Mtanzania. Akizungumza na waandishi...
Share:

Rais Magufuli afika Nyumbani kwa kina Mbowe kutoa pole ya msiba

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli ametoa pole kwa familia, kufuatia kifo cha Meja Jenerali Mstaafu Albert Lameck Mbowe aliyefariki dunia juzi katika Hospitali ya Taifa Muhimbili Jijini Dar es Salaam. Rais Magufuli amekwenda nyumbani kwa Marehemu Salasala Jijini Dar...
Share:

AUA MTU MMOJA,AJERUHI WAWILI KWA KUWAPIGA MSHALE BAADA YA KUNYIMWA BIA

Kijana mmoja ambaye jina lake halijajulikana ameibua taharuki katika Kijiji cha Kwitete Wilaya ya Serengeti mkoani Mara nchini Tanzania baada ya kutuhumiwa kuua mtu mmoja na kujeruhi wawili akiwemo baba yake wa kambo kwa sababu ya kunyimwa bia. Kamanda wa polisi Mkoa wa Mara, Juma Ndaki jana Jumatatu...
Share:
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © 2025 MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger