Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Msalala, Khamis Katimba akifunga mafunzo hayo.
Afisa Elimu Halmashauri ya Msalala, Seleko Ntobi
Mmoja wa wakufunzi waliondesha mafunzo hayo akongea wakati wa hafla hiyo.
Mwakilishi wa Mgodi wa Barrick Bulyanhulu, William Chungu, akiongea katika hafla ya kufunga...
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk. Emmanuel John Nchimbi akisalimiana, kuzungumza na kufurahia jambo na Mkurugenzi Mkuu wa Wasafi Media Group Ndg. Nasib Abdul Isack (Diamond platinumz), ambaye pia ni mmoja wa wasanii nyota na maarufu wa Mziki wa Bongo Fleva na mfanyabiashara,...
Mwakilishi kutoka Wizara ya Fedha Dkt Muhajir Kachwamba akichangia umuhimu wa upatikanaji wa vyanzo endelevu vya Mwitikio wa UKIMWI nchini wakati wa kikao cha wadau kilichofanyika jijini Arusha tarehe27 hadi 29 Februari,2024
Mkurugenzi wa fedha na Utawala wa TACAIDS CPA(T) Yasin Abas akiwasilisha...
Na Christina Cosmas, Morogoro
HALMASHAURI kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Morogoro
imemteua na kumpitisha Gervas Mbaruku Zugumbwa kugombea nafasi ya udiwani kwenye uchaguzi mdogo ndani ya kata ya Kamwene wilayani Kilombero.
Akizungumza kupitia taarifa yake kwa vyombo vya Habari...