Thursday, 16 November 2023

HAYA HAPA MAGAZETI YA LEO IJUMAA NOVEMBA 17,2023

Share:

NIMEPATA MTOTO BAADA YA KUACHIKA KATIKA NDOA TATU

Naweza kusema katika maisha kila jambo huwa na wakati wake, huwezi kulazimisha mambo kutokea wakati muda wake bado hajafika, ni kama kifaranga cha kuku, ukipasua yai kabla ya muda wake huwezi kupata kifaranga.

Ndivyo ilivyokuwa katika maisha yangu na yale niliyopitia katika ndoa zangu tatu za mwamzo, kila mwanaume ambaye alinioa alitaka nimzalie mtoto na alipoona muda unaenda bila kushika ujauzito alifunikuza.

Hakuna ubishi ni kwamba walishindwa kujua ni muda wangu wa kuzaa mtoto haujafika. Nilikuwa najipa moyo kuwa kuna muda wangu utafika lakini muda nilikaaa na kuwa na mawazo sana hasa nilipoachana na mume wangu wa tatu.

Baada ya muda wa kama mwaka mmoja nilikuja kukutana na huyu mwanaume wangu wa sasa, alinipenda na tukaanzisha mahusiano ambayo naweza kusema mwanzo yalikuwa matamu ajabu.

Tuliendelea kupenda hadi ukifikia muda akaniambia kuwa anataka kunioa, nilimwambia sina mpango wa kuolewa tena kwani nimeshaolewa mara tatu na kuachika na yote kisa siwezi kubeba ujauzito.

Aliniambia nisiwe na shaka kwani anajua kitu cha kufanya, alinihakikishia kuwa ndani ya ndoa yetu nitazaa tena vizuri hivyo nimkubalie aweze kunioa.

Nilikaa na kutafakari sana na hatimaye nilikubali kufunga naye ndoa, tulifanya sherehe nzuri, ndugu jamaa na marafiki walijumuika nasi na kutuzawadia vitu vya thamani sana. Wiki moja baada ya ndoa, mume wangu alinipeleka kwa African Doctors ambaye ndiye  aliniwezesha kupata mtoto wangu.

African Doctors alinifanyia tambiko lake na kunipa dawa za kwenda kutumia nyumbani, nilitumia dawa zile, baada ya muda mfupi niliweza kubeba ujauzito, ilikuwa ni furaha ajabu sana maishani mwangu. Nilikuja kujifungua salama mtoto wa kiume na hadi sasa nimejaliwa kupata watoto watatu wenye afya njema kabisa. 

Wale wanaume walioniacha kipindi cha mwanzo wamekuwa wakinipigia simu na kuniuliza kwanini sikuwazaliwa watoto kama ilivyo kwa mume wangu huyu wa sasa. Binafsi huwa sina jibu la kuwapa zaidi ya kujisemea kimoyo moyo kwamba nyie mlichelewa kumjua  mtu muhimu ambaye ni African Doctors.

Kumbuka African Doctors ana uwezo kumfanya mtu kuwa na bahati maishani mwake, kushinda michezo ya bahati nasibu, kukukinga na maadui zako, kukufanya ushinde migogoro kama ya ardhi, kuwa na mvuto wa kimapenzi, kuongeza mauzo katika biashara.

Pia anatibu magonjwa kama kaswende, kisonono, kifua kikuu, presha, kifafa, upungufu wa nguvu za kiume, kuvimba miguu, kaswende, vile vile anawezesha wanawake kubaba ujautizo, wanaume kutungisha mimba n.k.

Wasiliana na African Doctors kwa namba; +254 769 404965, tembelea tovuti yao; www.african-doctors.com au watumie email; africandoctorheals@gmail.com.

Mwisho.


Share:

HAYA HAPA MAGAZETI YA LEO ALHAMISI NOVEMBA 16,2023

 

 
Share:

Wednesday, 15 November 2023

VIJANA 224 WAHITIMU MAFUNZO YA JESHI LA AKIBA KISHAPU

Mkuu wa wilaya ya Kishapu mkoania Shinyanga Bw. Joseph Mkude  akizungumza wakati wa kufunga mafunzo ya jeshi la akiba (Mgambo) Novemba 14,2023, katika viwanja vya shule ya Msingi Idukilo, kata ya Idukilo  mafunzo yaliyojumisha wahitimu  224 wanawake 17   na wanaume  207
Mkurugenzi mtendaji wa halmashauri ya Wilaya ya Kishapu mkoani Shinyanga Bw.Emmanuel Johnson akizungumza kwenye sherehe za kufunga mafunzo ya jeshi la akiba (Mgambo) love Novemba 14,2023  katika viwanja vya shule ya Msingi Idukilo, kata ya Idukilo.

***************

Mkuu wa wilaya ya Kishapu mkoani Shinyanga Bw. Joseph Mkude  amefunga mafunzo ya jeshi la akiba (Mgambo) tarehe 14/11/2023, katika viwanja vya shule ya Msingi Idukilo, kata ya Idukilo  mafunzo yaliyojumisha wahitimu  224 wanawake 17   na wanaume  207

Akizungumza wakati wa kufunga mafunzo  Mkuu huyo ametoa pongezi na shukrani kwa viongozi wa kata ya Idukilo kwa kuhakikisha mafunzo ya  jeshi la akiba "Mgambo" yameanza na kumalizika salama, huku akiwashukuru Wakufunzi waliohusika kutoa mafunzo na kuwafanya wanafunzi kuhitimu mafunzo hayo kwa viwango vinavyohitajika.

" Ninawapongeza na kuwashukuru  sana wakufunzi wote mliotoa mafunzo haya ya viwango vinavyohitajika, wahitimu wote mkawe mstari wa mbele katika kuilinda, nchi yenu na kuwa mstari wa mbele  kujitolea kazi mbalimbali za ujenzi wa Taifa, 
Vilevile mafunzo mliyoyapata yakawe ni sehemu ya kupeleka elimu kwa jamii juu ya maadili mema, ikiwa ni pamoja na kushirikiana  na vyombo vya Ulinzi na usalama katika kutoa taarifa za uhalifu popote pale unapotokea." Alisema Mkude

Aidha  Mkude  ametoa wito kwa makampuni yote ya ulinzi wilayani kuajiri vijana waliopitia katika mafunzo ya Jeshi la Akiba (Mgambo) na kuwapa kipaumbele katika nafasi za Jeshinla Kujenga Taifa ( JKT ).

Kwa upande wake Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Kishapu Ndugu. Emmanuel Johnson  amewapogeza sana wahitimu pamoja na wakufunzi kwa kumaliza salama mafunzo pamoja na kuahidi kutenga bajeti kupitia Mapato ya ndani kwaajili ya sare za Jeshi la akiba 

Naye Kamanda wa Jeshi la Polisi Wilaya ya  Kishapu  Ocd .Esther Gesogwe Amewataka wahitimu wote kuhakikisha usalama maeneo yote amabayo watakuwepo na kushirikiana kwa ukaribu na Jeshi la Polisi  pamoja na kuimarisha Amani.

Aidha mafunzo hayo yaliyoanza tangia julai 10, 2023 na kumalizika November 15 ,2023 yenye lengo la  kuwajengea uwezo vijana hao ili kuimarisha ulinzi na usalama ndani na nje ya Wilaya hiyo.

Share:

Tuesday, 14 November 2023

KAMATI YA BUNGE YAJIONEA MAANDALIZI YA MASHAMBA YA MBEGU MAMA ARUSHA


Na Nyabaganga Taraba - Arusha

Kamati ya Kudumu ya Bajeti ya Bunge la Jamhuri ya Tanzania imeendelea na ziara yake ya kutembelea miradi ya Wizara ya Kilimo kwa kutembelea baadhi ya miradi iliyoko mkoa wa Arusha

Ikiwa mkoani Arusha Novemba 13,2023 imetembelea miradi ya ujenzi wa miundombinu ya umwagiliaji ya taasisi za TARI na Wakala wa uzalishaji Mbegu Tanzania (ASA) na kujionea maandalizi ya mashamba ya uzalishaji Mbegu mama kwa upande wa taasisi ya utafiti(TARI) na mashamba ya uzalishaji mbegu kwa ajili ya wakulima yaliyo chini ya Wakala wa Mbegu Tanzania (ASA) yaliyoko eneo la Ngalamtoni na Tengeru na TARI Seliani.


Mwenyekiti wa Kamati hiyo Daniel Sillo amesema hawana shaka na kazi zinazoendelea katika mradi hiyo 

Wakichangia na kutoa maoni yao wanakamati hao wamewataka TARI na ASA kuhakikisha wanatoa elimu kwa umma kuhusu kazi na huduma wanazotoa zinawafikia wananchi .

Wakati wa hitimisho la ziara Mkurugenzi wa ASA Dk Sophia Kashenge amewapitisha wanakamati kwenye wasilisho lenye takwimu za hali ya sekta ya kilimo ilivyo kwa sasa takwimu zote ni nzuri kwa mipango ya nchi ila takwimu iliyoonyesha ongezeko la ukuaji wa kilimo kuwa ni 3.4 asilimia na ongezeko la watu hapa nchini kuwa ni 3.2 asilimia ni kuwa karibu sawa ni changamoto ambayo inahitaji hatua za kuitatua kama taifa ili kuepuka upungufu wa chakula kwani hii ni ishara kuwa tunakoelekea kama hatutachukua hatua za uzalishaji tutajikuta tuko kwenye uhitaji mkubwa wa chakula siku za uso ni jambo ambalo ni hatari kwa usalama wa chakula.

"Changamoto hii inatuhimiza kuongeza juhudi katika sekta hii kama taifa na kama mtu mmoja mmoja hususani vijana ni vyema wajikite katika sekta hii wazee wakulima wamepungua takwimu zinaonesha",amesema.

Share:
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger