Wednesday, 12 July 2023
Tuesday, 11 July 2023
KILA JUMANNE FURAHIA BONASI KWENYE AKAUNTI YAKO
Mwaka una jumla ya siku 365 ikiwa ni jumla ya miezi 12, kila mwezi ukiwa na wiki 4 sawa ya siku za Jumanne 4, je kati ya siku 7 za wiki ni siku gani yenye bahati kwako?
Meridianbet kama kawaida yao kila kukicha huja na vitu spesho kwa wateja wake, na mwezi huu wa 7 wameanzisha utaratibu wa kugawa bonasi za kucheza sloti, kasino ya mtandaoni na ubashiri wa soka kila wiki lakini siku ni moja tu je ni siku gani hiyo?
Kama nilivyosema kuna siku 7 kwenye wiki moja, na Meridianbet wakali wa odds kubwa wameichagua siku ya Jumanne kuwa ndiyo siku ya kumwaga bonasi, siku hii inaitwa Jumanne supa “Super Tuesday bonus” ambapo inahusisha wateja wote wa Meridianbet waliojisajili.
Ili kujua kama umepata bonasi ya Jumanne Supa unapaswa kuingia kwenye akaunti yako ya Meridianbet nyumba ya mabingwa yenye odds kubwa, na michezo ya kasino ya mtandaoni na sloti. Kila siku kuanzia saa 1 jioni bonasi itawekwa kwenye akaunti yako endapo kama utabahatika kupewa.
Ofa hii ni kwa wateja wote wanaobashiri soka na michezo mingine, pia na kwa wale wanaocheza michezo ya sloti na kasino ya mtandaoni, kupitia kwenye simu zao ama kwa kutembelea duka ya Meridianbet lililopo karibu yako.
NB: Kila unapojisajili Meridianbet unapewa bonasi ya mizunguko ya bure kucheza michezo ya kasino ya mtandaoni. Jisajili hapa.
RESHAPING INDUSTRIES WITH AI:HUAWEI CLOUD LAUNCHES PANGU MODELS 3.0 AND ASCEND AI CLOUD SERVICES
MWENYEKITI WA BODI YA WADHAMINI YA NSSF ATEMBELEA SABASABA
Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF), Balozi Mstaafu Ali Idi Siwa, ametembelea banda namba 13 la ushirikiano baina ya NSSF na PSSSF kujionea shughuli mbalimbali zinazofanywa na Mfuko katika Maonesho ya 47 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam ‘Sabasaba’ yanayoendelea katika viwanja vya Mwalimu Julius Nyerere. Balozi Siwa alipata maelezo kuhusu huduma mbalimbali zinazotolewa na NSSF na PSSSF.
UKIBETI MECHI ZA WIMBLEDON MERIDIANBET WANAKUPA BONASI
Ofa hii ipo katika mtindo wa bonasi ambapo washindi 50 wenye tiketi nyingi zenye mechi za mashindano ya Wimbledon watapatiwa bonasi hizo moja kwa moja kwenye akaunti zao za Meridianbet.
Meridianbet ni moja ya kampuni bora kwenye michezo ya kubahatisha ambayo kila siku imekuwa ikianzisha promosheni kabambe kwaajili ya wateja wake, na mwezi huu wa Julai wanakupatia mteja wao odds kubwa, michezo ya sloti na kasino ya mtandaoni. Cheza Kasino ya mtandaoni hapa, na tengeneza tiketi yako ya ushindi yenye odds kubwa ili uwe moja ya washindi.
Vigezo vya Kushiriki Meridianbet
Weka pesa kwenye akaunti yako dau la chini Tsh 25,000/=, kisha andaa tiketi ambayo itakuwa na mechi moja kutoka kwenye mashindano ya Wimbledon na ujipatie nafasi ya kushinda bonasi.
Mpaka kufika mwishoni mwa michuano, wachezaji wenye tiketi nyingi za Wimbledon watajishindia zawadi zifuatazo:
Vilevile ikiwa sio mpenzi wa kubashiri soka na michezo mingine, bado una nafasi ya kupiga hela kama tu utacheza michezo ya sloti na kasino ya mtandaoni, kupitia kwenye simu yako ama kwa kutembelea maduka ya Meridianbet lililopo karibu yako.
NB: Kila unapojisajili Meridianbet unapewa bonasi ya mizunguko ya bure kucheza michezo ya kasino ya mtandaoni. Jisajili hapa.


























.jpeg)








